hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Hii ni kwa wafanyabiashara tu tunaotoaga 10% ili tupate kazi/Tender. Tuijadili hii 10% tuiwekee utaratibu

    Katika upambanaji wa kutafuta kazi tender kutoka makampuni makubwa binafsi au taasisi za Serikali ni kawaida jamaa wanaotoa kazi kuomba 10% ya thamani ya kazi. Mfano kazi ya 10M wataomba 1M na kazi ya 100M wataomba 10M lasivyo hupati kazi. Sasa tatizo linakuja wakati unapofanya kazi!! Kazi ya...
  2. GenuineMan

    DPP akikaa Mwaka mzima au hata miwili hajaamua kuhusu hii Kesi ya Uhaini, Ni sawa tuu? Kuna Sheria inambana.?

    Maana jana Hakimu Mkazi kasema hakuna sheria inayoipa nguvu mahakama ya kumamuru DPP atoe maamuzi kuhusu hii Kesi. Sasa mimi nauliza Wanasheria Ukomo upo kisheria?, au hilo file linaweza kukaa kwa DPP hata Miaka 2, 3 hadi 5 bila kufanyiwa maamuzi.?? Kama ni hivyo mfumo wetu wa utoaji haki una...
  3. K

    Naomba kupata utaratibu wa hili kutoka Latra

    Samahani waungwana mimi ni dereva bolt nipo Mwanza lkn ninasiku km 30 sijaingi mzigo kwani document yangu moja ya Latra sina. Kwahiyo account imefungwa. Nilitamani kupata uzoefu kidogo kwa ambae amewahi kulipia na akapata latra anisaidie namna wanavyoipata ili hatimae niingie mzigoni maana...
  4. KENGE 01

    Kwa Wamiliki wa Maduka ya Spare za Magari, Mafundi, Wamiliki wa Gereji, Wapenda Habari za Magari Hii ni Yetu Sote

    Ndugu Wajumbe, Miezi kadhaa nyuma nilileta Nyuzi fulani juu la Kiu yangu ya kukamilisha jambo hili ambalo kwa asilimia 90 limekamilika, na leo ninaleta habari njema na fursa ya kipekee kwenu nyote mnaohusika na sekta ya magari nchini! Tunayo furaha kubwa kuwatambulisha rasmi App ya Auto...
  5. Chibike

    Hii tabia kitaalamu tunaiitaje?

    Nacheka kwa uchungu Embu wanaume tuongee hapa, una kitu umekiona umekitaman na unaona kabisa kitakufaa ama kitaifaa familia yako, na zaidi una shida nacho sana na pengine unamudu garama kabisa kukipata Ila unamshirikisha mkeo/mwanamke wako /songea tuishi wote, anakataa, na wewe unakubali...
  6. Kisesetusese

    Nimekuwa nikitafuta wimbo wenye lyrics hii naomba mwenye kuujua

    Ni miaka sasa natafuta huu wimbo sijui bali huu mlio ndio nautambua naomba sana anayejua Ninaamini mtanisaidia. Ni kumbukumb yangu kubwa sana.
  7. B

    Hivi hii inawekana?

    Naomben msaada wenu nimepata tatizo kidogo kwenye familia kuna mtu katunga kitu na icho kitu alitumiwa msg ijumaa jinsi ya kuandaa hii kesi Je nauliza kuna uwezekano nikapata mtu wa voda hata kwa kumpa kidogo akanionyesha tu sms za siku husika???
  8. kyagata

    Kiukweli sifurahishwi na harufu ya hii kitu

    Wakuu,hamjambo. From deep of my heart na bila kuathiri kifungu chochote cha katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huwa siipendi ile harufu ya asili ya K. yani huwa nahisi hadi kutapika sometimes. Sijui nyie wenzangu huwa mnavutiwa nini hadi wengine mnafikia hatua ya kulamba kabisa ile kitu.
  9. Superbug

    Hii ajali ya same iliyouwa watu 50 mbona sijaiona jamiiforums?

    Nashangaa sana hii ni habari kubwa watu hamsini kufa Kwa ajali huko same na jamiiforums yote isijue sio kawaida. Naomba kama kuna Uzi wa hiyo ajali nijue maana Mimi ni mpare na same ni kwetu.
  10. Superbug

    Hii ajali ya same iliyouwa watu 50 mbona sijaiona jamiiforums?

    Nashangaa sana hii ni habari kubwa watu hamsini kufa Kwa ajali huko same na jamiiforums yote isijue sio kawaida. Naomba kama kuna Uzi wa hiyo ajali nijue maana Mimi ni mpare na same ni kwetu.
  11. Kijakazi

    Hii ni sababu KUU kwa nini afrika masikini bado!

    Ni kwa sababu hakuna hata nchi moja ya kiafrika inayo-practice capitalism, na hii ni ktk cairo mpaka cape town, wote wanafwata aidha 100% communism/islam au some sort of communism/ socialism lkn hakuna anayefwata capitalism thats why, afrika iko backward kila mahali kwa maana communism iko...
  12. Technophilic Pool

    Term hii Nchi itakua inachekesha zaidi duniani kama hawa wabunge wote wakishinda😎

    Ninao ona wanachukua form nashindwa kuelewa au ni maigizo Yaan ni kama bongo movie itaongoza nchi
  13. L

    Arajiga Mechi ameshindwa kuimudu

    Nimeangalia dakika 5 tu za mchezo, ila nimeona kabisa hii mechi imemshinda na ameshindwa kumudu. Ni Ubabe tu na kutoa Macho kwa wachezaji ndio kitu anajua.
  14. N

    Kwa wanaume; Hii imekaaje??

    Hivi wanaume wenye uzoefu Hii imekaaje Wakati mnapomaliza Mechi yaani Sex huwa hamtaki kuguswa hizo uume zenu au inakuaje Kuna huyu Kijana Wakati wa maandalizi huwa ananilazimisha kabisa nishike dudu yake tena ananivuta mkono niiguse Sasa kinachonishangaza mkishamaliza pale labdaa mmepumzika...
  15. amarina

    Maeneo yaliyokatwa umeme, Dsm hii tuiiteje?

    Wameanza figisu. Tanesco ijue tunamatumizi na nishati hizi. Umeme unakatwa vipi bila taarifa halafu kwa nini asb tena jumapili? Hii tunaiitaje?
  16. BLACK MOVEMENT

    Mkuu wa mkoa anaagizwa akalinde heshima ya Spika wa Bunge Mbeya? CDM waliona mbali make vipi wangekuwa ulingoni na haya yakatamkwa?

    Bado kuna wahuni humu wanataka Sugu aende ACT wazalendo na agombee Ubunge?
  17. Z

    Hii hazi ilitakiwa ifanywe na viongozi wa EAC .nakubariana na Felix chitsekedi ,unafiki wa viongozi ni gonjwa baya

    https://youtu.be/18sRirxJAqo?si=LBEdYlUa0rtZF0dh Tulishindwa kumkemea Kagame aliyevamia DRC kwenda kuiba madini ya Kongo!! Mwafrica haendelei kwa sababu ya unafiki wa viongozi wa africa
  18. T

    Jamani hii chukua chukua form imezima kabisa sauti za no reform no election?

    Jamani naona kama upepo umegeuka ghafla sisikii tena kishindo cha no reform no election kama ilivyokuwa siku chache zilizopita. Badala yake kumeibuka mjadala mkubwa sana juu ya watia nia na zoezi la kuchukua na kurudisha form. Je hii inaweza kuwa uthibitisho kuwa chadema walikosea kuchanga...
  19. FYATU

    Ndoto kama hii imekaaje?

    Ingawa mimi si muamini sana wa ndoto niotazo,nikiamini kuwa ni mambo ya kawaida tu ila juzi juzi hapa kuna jambo limeniacha na maswali.Niliota ndoto nimekutana na Nyoka wa kijani uso kwa uso,wakati tunaangaliana na nikiwa nimepoteza matumaini ya kumuepuka mara nikagundua yule Nyoka alikuwa...
Back
Top Bottom