hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Matatizo ya nchi hii, Kumlaumu Nyerere ni mwendelezo wa uoga wa kutochukua hatua ya kubadili Katiba ili iendane na mahitaji ya sasa

    Sensa ya watu iliyofanywa na serikali hivi karibuni, ilibainisha kuwa, nchi yetu kwa sasa ina idadi ya watu zaidi ya milioni 60 Tuna zaidi ya miaka 20 sasa tangu baba wa Taifa letu Tanzania Mwl JK nyerere atutoke Duniani Mwalimu Nyerere, amekuwa Rais wa kwanza katika nchi yetu huku kukiwepo...
  2. Genius Man

    Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa

    Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa. Kama mtu anaweza kutoa rushwa kama hivi ili achaguliwe inamaana yeye ni rushwa rushwa tu kwenye maisha yake anaweza kupokea rushwa pia anaweza kuuza rasilimali za nchi. "Mimi sitaki rushwa na ninapinga kwa...
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    Hii ni tofauti kubwa kati ya GSM na Mo

    GSM: "Yanga Bingwa" MO: Unajua hii timu inanimalizia sana pesa zangu, tangu 2017 nimewekeza bilioni 87 na hakuna chochote ninacho pata. Nimewanunulia wachezaji boxer mpya za kuvaa, nanunuaga mchicha, jana nimemnunulia kocha vitumbua vya buku na bado kiungo mshambuliaji anadaiwa bagia za mia...
  4. Knock life

    Kuna habari nzito inakuja hii ya polepole ni cha mtoto .!

    Wakuu mkae kwa kutulia , jamaa wa super black anaelekea kuuchochea moto
  5. R

    Nilikuwa najiuliza sababu ya vita kati ya Ukraine na Russia ni ipi? Majibu generated by Artificial Intelligence (AI) ni haya

    The war between Russia and Ukraine is rooted in a complex interplay of historical, political, and geopolitical factors. Key causes include: 1. Russia's desire for a sphere of influence: Russia seeks to regain control of Ukraine and prevent its integration into Western institutions, which it...
  6. Genius Man

    Katuni hii ya CCM inakupa picha gani?

  7. Zee la madawa

    Hili la wanawake kutokuwa na bikra linanichefua hasa hasa kwa hii dini yetu pendwa ya kikristo

    Ni ngumu sana tena sana kukutana na bikra Leo hii hili jambo kiukweli linanichefua sana tena sana na hii ni ngumu kukutana na bikra kwa upande wa hii dini yetu pendwa ya kikristo ni ngumu asilani abadani yaani umkute mwanamke bikra wa kikristo hilo ni mwiko kabisa tofauti na kukutana na bikra...
  8. Genius Man

    Katuni hii ya Samia na Polepole inakupa picha gani ?

  9. sinza pazuri

    Je ikitokea hii first eleven inaingia uwanjani, Samia atatoboa?

    Kikosi kiwe namna hii. 1. Dr Philip Mpango 2. Simbachawene 3. Mpina 4. Sugu 5. Job Ndugai 6. Dr Bashiru Alli 7. Halima Mdee 8. Josephat Gwajima 9. Kassim Majaliwa 10 Freeman Mbowe 11. Humphrey Polepole Coach Sinde Warioba Supersubs 1. Boniyai 2. Kigwangwala 3. Gambo 4. Kabudi Paramagamba 5...
  10. Samia atosha tukutane2030

    Watanganyika wamerogwa. Polepole leo hii wanamuona shujaa. Anatetea tumbo lake

    Kipindi cha Jiwe polepole na Bashite na wengine walikuwa mstari wa mbele kutetetea kila aina ya uovu wa kipindi cha Magufuli. Walikuwa wanakula mezani kwa mfalme. Walikuwa na ukwasi wa kutosha. Eti sasa hivi Polepole mzee wa v8 anaupondea utawala wa Rais Samia!!! Hiki ni kituko sana. Sisemi kuwa...
  11. KING MIDAS

    Hii ni kwa watu maalum tu.

    Alfa Romeo Tractor unit concept
  12. F

    Ni sawa Muumini kuungama dhambi kwa mchungaji/padri, Je padri/mchungaji anaungama kwa nani?

    Nashangazwa Sana yaani utakuta jitu kubwa au au mtu mtu mzima kabisa na ndevu sake anaenda kwa mchungaji au padri eti kuungama dhambi zake yaani unaenda kuconfess dhambi zako kwa mwanadamu mwenzio sasa sio kama vituko ni nini? Je huyo padri au mchungaji anaenda kuungama dhambi zake kwa Nani...
  13. U

    Jenerali Ulimwengu: Nchi ni kama haina uongozi. Kwa hali hii ya kisiasa, kuna jambo baya laweza kutokea wakati

    https://youtu.be/pbWyJh60zWk?si=arsKsXtmfdkBEJf- Huyu mzee amewahi kuwa kiongozi Mwandamizi wa serikali ktk awamu za u Rais wa Nyerere, Mzee Mwinyi na mpaka awamu ya Mkapa na anachokisema hapa ni wazi anakijua, habahatishi Anashangaa kuwa, kuna watu (viongozi) ukiwaona wamevaa suti au kanzu...
  14. R

    Kwa maoni yangu: Kama kweli Polepole kajiuzulu , sababu ni hii: FOMU MOJA YA URAIS NDANI YA CCM

    Wapinzani wake walitegemea kumngoa kwenye kutafuta mgombra Rais ndani ya chama . Sasa ameziba kila mwanya wa kumngoa. Polepole et al wanaona watoke..LILE KUNDI LA BASHRU ALLY LILILOTAKA ASIWE RAIS, HALIJAFURAHI NA FOMU MOJA. ANGLE YAO ILIKUWA KWENYE KURA ZA KUMTAFUTA RAIS! SASA KAWAZIBA! Mods...
  15. Kusini pride

    Matatizo ya nchi hii chanzo ni ndugu Nyerere

    Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana...
  16. Mr Beach Boy

    Na Hii shahada yangu, niuze matikiti? This is not fair.

    C Bora nisingesoma kabisa How come na shahada yangu niuze matikiti kwenye deli... Hii sio haki
  17. Brojust

    Je ? Huyu director wa hii movie anataka kuiambia nini Dunia

    Wakuu, Najua wengine mpo kanisani sasahv au ndio mnajiandaa kwenda. Licha ya nyuzi nyingi sana hapa jukwaani naomba kujua kwa uchache tu. Director wa hii movie anataka kuthibitisha nini kwa walimwengu. Natanguliza shukrani. Freedom is coming, No Reform, No Election. Kidumu chama Cha...
  18. Course Coordinator1

    Nchi hii viongozi wengi ni wanafiki, unaagiza wenzako wachujwe ila wewe hutaki uchujwe

    Aman iwe nanyi Mwaka huu 2025 ni mwaka wa Uchaguzi. Kama tunavyojua hiki kilikua kipindi ambacho Hayati Magufuli ikiwa angekuwepo angekabidhi kijiti kwa Rais mwingine ambaye ndo angekua Rais wa Awamu ya Sita, yakatokea yaliyotokea Mzee wa Watu mwili ukarudi katika mavumbi, mwili ukarudi katika...
  19. A

    GE2025 CHADEMA mjifunze demokrasia hii ya CCM upatikanaji wa wagombea

    Nimepitia baadhi ya majina yaliyopitishwa na CCM hakika chama kimeonesha ukomavu wa kidemokrasia wa hali ya juu na ya kupigiwa chapuo na kila mpenda demokrasia awaye yoyote. Chama kimekomaa na ndio dhana kubwa kuwa CCM ni chama kikubwa ndani ya TZ Pamoja na nje ya bara la Africa na duniani...
  20. Carlos The Jackal

    CCM ya Samia, humkosoi ila ukiutaka Urais, Unaliwa Kichwa. Huutaki Urais ila Ulikosoa utendaji, Unaliwa Kichwa pia!

    Wakuu tuwachukulie Watu Hawa Makamba na Mpina kama ndo Subjects wetu. Siasa za Makamba, zilijikita kwenye Harakati za chini chini, hakua anamkosoa Rais Samia kwenye Vyombo vya habari, in fact Makamba alikua anamsifia sana Samia Kuna Ile speech yake ya 'Hilo tu Mh Rais inatosha kukufanya...
Back
Top Bottom