hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hata wakiandamana wachache kesho, hii kitu imepenya

    Sikutarajia kwamba maandamano yatazungumzwa had na watoto mitaani, yani mtaani maandamano yamekua maarufu kuliko uchaguzi, ama hakika walioanzisha hii kitu mpaka hapa wamefanikiwa sana yani. Hili bomu hata lisipolipuka kesho ipo siku, vichwani watu washajazwa sumu sana.
  2. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz yuko wapi? CCM mlisema ni mtanzania halisi

    CCM mlisema Rostam Aziz ni mtanzania, mfanyabiashara mashuhuri, ni mwenzenu. Sisi wana Igunga hatumuoni mbunge wetu wa zamani. Haonekani kufuatia hotuba ya Kapteni Tesha. Taarifa za chini zinasema katimkia Zambia. Tunamuomba mzalendo huyu toka Iran, aje kupiga kura. Tunachezewa sana! Eti...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ila hii picha ina ukweli wa uhakika

  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ulinzi wa Mungu mwenyezi ndio unaleta utulivu nchi hii

    Niseme tu kwamba wale wanadhani kuwa mabadiliko nchi hii yataletwa na mandamano wamefeli vibaya sana Nature ya nchi hii sio vurugu nchi hii mtwana ni mtwana na bwana ni bwana Niende MBALI niseme kuwa hata waingereza wangeamua kututawala milele wangefanukiwa Wangemweka Nyerere...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani?

    Wajameni hivi ikitokea unawasha simu yako unaona message inasomeka android starting optimizing apps 60 of 60 halafu phone ikitaka kufunguka inarudi tena kuanza mpaka inafikia hizo namba hili tatizo nini? na mbaya zaidi inafanya hivyo mpaka chaji inaisha na unaiweka kwenye chaji bado inaandika...
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Mi sina Mapenzi na Magari ya China, ila hii XPeng P7 inashawishi sana!

    Kutoka moyoni, napenda sana EV. Sana. Na ndio maana Tesla Model 3 au Model S zipo kwenye menu by 2028. Sasa kuna wapinzani wengi kutoka China wanakuja, mona wapo ni XPeng P7 ya 2025. Specifications zake ni za moto, battery 75 kWh na 92 kWh, range ya 700 km hadi 820 km, charging system 400 kW...
  7. Madwari Madwari

    JamiiForums Tanzania Kwa kinachoendelea kwa Mkapa, Tanzania itakombolewa kweli?

    Hii hali ya uwanja leo huku watu wanazidi kutekwa. Tundu Lissu yupo ndani watu wanacheza mchiriku. Mama iba hela mpaka unga uwe 10000 kilo. Piga hela mpaka umeme wa 10000 upate unit 5. Piga hela mpaka watu wawe tayari kuuwa polisi. https://www.youtube.com/watch?v=aimNKl6X4xQ
  8. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hii ni nini wanangu?

    Juzi, nilipita sehemu. Nilikuta watu wazima tena wanaojiita wenye akili na busara wakishindana kumpaka kiti moto lipstick nikashangaa. SIkkujua akili, busara na maana yake ni nini. Nilijiuliza. Kwanini wasimtafunilie mbali badala ya kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa. Nilijiuliza. Je, hii ni...
  9. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata spare part hii ya pellet machine ya chakula cha kuku kwa kuchonga au kukunua

    Wakuu nahitaji muongozo wenu wapi ninapoweza kununua au kuchonga spare part hii ya mashine ya kutengeneza chakula cha kuku cha punje(pellets),nataka disk yenye matundu madogo pungufu ya 3mm,nimejaribu sehemu mbalimbali wanashindwa hii kazi pakiwemo kwenye ile taasisi fulani kubwa ya serikali ya...
  10. The outpost

    JamiiForums Tanzania Walioelewa hiki kibonzo cha Masoud Kipanya naomba tafsiri yake

    Siku ya leo katika mitandao ya kijamii kuna hii katuni nimekutana nayo, imenitafakarisha sana lakini nimeshindwa kuelewa umaana wake hivyo nimeona haja ya kuileta hapa jukwaani nieleweshwe
  11. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Contemporary and cross cutting issues, Hii Korean TV series inaweza ikawa case study.

    Affection | The King's Affection. :
  12. R

    JamiiForums Tanzania "..Nayafakari sana Kuusiana na miungurumo hii ninayoisikia kuelekea OCTOBER 29"

    Heloo jf Nimeamka leo hii nikajikuta nikiwa katika hali ya tafakari sana!🤔🤔🤔🧐 Nimejikuta natafakari matokeo ya vita vya Kongo!🤔 Nikitafakari pia vita vya Rwanda!😤 Nikitafakari vita vya urusi na ukrein!🤯 Nikitafakari vita vya israeli na palestini!🥵 Mwisho nimejikuta nazama zaidi kuitafakari nchi...
  13. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo matokeo ya Jeshi kutwaa madaraka ya uongozi wa nchi. Wewe unasemaje mdau?

    Katika pitapita yangu huko kwenye social medias, ghafla nikajikuta Facebook ktk moja ya page ya wadau wanaojiita "TUJIFUNJE BIBLIA MADHEHEBU YOTE" na kukiwa na article hii yenye kichwa cha habari "MADHARA YA KUPINDUA SERIKALI NA NCHI KUONGOZWA NA JESHI" HOJA ZAO NI HIZI 👇🏻👇🏻👇🏻 Kama serikali...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kuinasibisha hii serikali na uislam

    Uislam ni moja kati ya dini zilizojijengea heshima kubwa kutokana na kufuata misingi imara, maadili na itikadi thabiti. Hata hivyo, katika siku za karibuni kumezuka baadhi ya mashehe na waumini wanaoamini kuwa serikali iliyopo madarakani ni ya dini yao, na kwamba changamoto nyingi wanazipata...
  15. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Najiuliza hivi RC au DC anaongeaje kama Rais wa nchi, hii nchi inaongozwa nani hasa?

    Wakuu... Nimekaaa nimetafakari sana mkuu wa mkoa au wiliya wanatoa kauli za vitisho kuliko hata Rais kuelekea uchaguzi mkuu lakini ukweli ni kwamba hawa watu wanatakiwa kuwa NEUTRAL kipindi cha uchaguzi lakini utakuta jamaa amevaa kofia na tisheti ina picha ya Samia wao ni nani? kuna hawa...
  16. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Miloud Hamdi atemwa Ismaly, Yanga ndio nafasi pekee ya kumrudisha ndio hii

    I salute you kinsmen Tayari miloud kashatimuliwa Tuache kuzunguka bure huyu alikuwepo yanga majuzi tu hakuna haja ya kumrudisha tu maana sidhani kama bado anasahau team yetu maana alikuwepo juzi tu Makocha wa kiarabu huwa ni makocha wazuri sana kama huyu bwana Hakuna haja ya kuhangaika huyu...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Unakisia hii TV inaweza kuwa nch ngapi?

  18. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Oktoba 29 tukubaliane tutatoka na hii ngoma?

    "Safusafu wanapita, wamejaa kwenye mitaa na mabango wameshika, wanalilia katiba yao, wanalilia nchi yao, wanalilia tume huru. Na polisi wanajigamba ehee, kuzuia maandamano. X2 watawaua na wenzao, watatuvunja na miguu ndivyo walivyosema. Nchi imetiwa giza, macho yana kiu ya nuru. Kumbe si...
  19. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wamakonde ndio wanaiweza kazi ya kutetea haki yao

    Naona watu wa Mara wanapewa sifa ambazo ni feki kama ikitokea ikapigwa risasi juu huwezi kumuona mkurya hata mmoja barabarani tunajuana watanzania ila watu walionishangaza ni wamakonde wale watu Hadi polisi waliushindwa mziki wao ilikua mtu akiuliwa basi na polisi lazima auwawe aisee big up...
  20. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Tech guyz, Msaada wa kutoka kwenye hii Error message: 0x80070057

    Hii PC mwenyewe anasema ghafla tu ilizima. Nikiwasha inalizimisha kufanya Auto repair. Inakaa hivyo kwa zaidi ya masaa 12. Nimejaribu kureset, kufanya system restore, kufanya new installation of window. Inaleta Error message hii: 0x80070057
Back
Top Bottom