hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Kuna siku Moja tena hii nchi itarudi mikononi mwa wazalendo kama Magufuli

    Siku zinakuja hii nchi itarudi tena mikononi mwa wazalendo wenye uchungu na rasilmali za nchi na wananchi wake. Kama ilivyokua Magufuli aya mambo ya unyonyaji utaisha kukusanya kodi inaishia mifukoni mwa wachache litaisha. Mda utafika maana tumeshawajua wanamtandao vizuri na propaganda zao...
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku alituasa vijana tujihadhari na watawala wahuni leo hii naye kageuka kuwa Muhuni.

    GT Waafrika tunashida kubwa sana vichwani mŵetu that is why hatusongi mbele njaa inatufanya tuwe vigeugeu. Mzee Butiku alishawahi kukemea hadharani dhidi ya viongozi makanjanja na wahuni akisema vijana tusiwe waoga hata kama uhai wetu utakuwa hatarini. Ninachokiona wahuni wamemweka mfukoni...
  3. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mdau kwa kutumia ujuzi ulionao bainisha dosari zinazoonekana katika video hii

    Wakuu, Kumekuwa na hiki kipande cha video huku ikielezwa kuwa hakuna kinachowashinda Bodaboda kubeba. Kwa kutumia ujuzi wako wa kubaini iwapo maudhui ni halisi au lah! Tuambie dosari zinazoonekana katika video hii
  4. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kuna mwenye uzoefu wa hii style humu?

    Kuna mwenye hii style? Inaitwa marehemu magawa mtegua mabomu?
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Hii Nchi hii asee kwahiyo Yeriko Nyerere naye ni jasusi?

    Akipata kura hata 3 tu basi hii Nchi Ina wajinga wengi kama uyoga. Au Ili uwe jasusi ni lazima uwe na vigezo Gani?
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Awamu hii Vijana Wanahasira sana wamefika huku, CCM ijitafakari mara mbili

    GT Jionee mwenyewe mbogamboga wanalazimisha tu mambo hali ni mbaya sana.
  7. Sambinyakwe kitololo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je magari , ndege za kijeshi ni Mali ya chama tawala au imekaaje hii

    Nipo Arusha Leo kwa kweli inasikitisha Ñaona ndege za jeshi zimabandikwa stika za mama zinazunguka hapa zaidi ya saa na nusu hazijatua ziko hewani tu gari zinasomba watu kupeleka stadium kwenye kampeni Hali kwa sasa ni mbaya wananchi wengi wamekerekwa na Namna helcopter zinazunguka TU hapa...
  8. 4

    JamiiForums Tanzania GE2025 Unaenda vipi kwenye Uchaguzi nchi ikiwa katika alert kubwa namna hii?

    Wakuu jf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,poleni na Tanzania pia. Kwa mara ya kwanza nchi ya tz inaweza kwenda kwenye uchaguzi mkuu katika alert kubwa , why , na nini kipo Ikulu kisa madaraka tu ambayo huwezi zikwa nayo, baki nayo milele. Leo wenda vijana wetu katika...
  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kama huna nidhamu ya fedha kamwe usifanye hii biashara

    Angalia picha hapo. Sina haja ya kuelezea zaidi. Cha muhimu KAMA HUNA NIDHAMU YA PESA KAMWE USITHUBUTU KUFANYA HIYO BIASHARA.
  10. kyagata

    JamiiForums Tanzania Wife kasema "Ndani kwangu sitaki watu walevi" ina maana gani hii haswa?

    Ccm oyeee!!!!!!! Wakuu, last weekend nilikua na jamaa zangu tukapiga vyupa mpaka mida mibovu. Nikarudi home salama wife akanifungulia mlango fresh me nikaoga then nikachapa mbonji mpaka kesho yake saa 6 mchana hata church sikwenda siku hiyo. Sasa kesho yake nikiwa niko zangu chumbani nakula...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mara nyingi sisi CCM Vijana huwa tunachagua viongozi wa aina hii. Sijui kwanini?

    Nimeona wamekuwa wakijipenyeza sana hawa watu kwenye uongozi miaka ya hivi karibuni. Najua watasema nao ni haki yao lakini inaleta picha mbaya sana kwa jamii. Tukumbukeni yule mama wa Tanga alisema kitu kuhusu hawa watu kuwa wanajiingiza sana kwenye uongozi. Na kwa sasa ndo wanapata sana...
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania TISS imefikia huku. Wanapiga picha wakiwa kwenye msafara na kujipost. Kweli Nchi imejifia hii

    Huko Instagram nimekutana na hiki kituko. TISS ya sasa wamefikia kujipiga picha wakisafirisha consignments na kujipost. Kweli Nchi imeshajifia hii
  13. Isenye

    JamiiForums Tanzania Ungekua ni wewe umeletewa hii kesi ya jamaa yangu na mkewe ungeisuluhisha vipi?

    Kuna jamaa yangu kanishirikisha kisa chake na mkewe ili nimpe ushauri. Kisa chenyewe ni hiki,huyu jamaa yangu alisafiri kikazi huko mkoani akakaa kama wiki tatu hivi. Sasa karudi juzi home kwake kakuta mkewe kajinyoa mavvvvzi yote. Jamaa anasema utaratibu wao waliojiwekea ni kuwa wananyoana...
  14. Think2

    JamiiForums Tanzania Hii ni kiboko ya wadudu wote wasumbufu sumbufu

    Hii dawa ni nouma sana inzi, mende, kunguni , mbuu na n.k ukipulizia ndani hutoona mdudu yeyote akikatiza. Lkn pia nyoka hatoboi kwenye hii dawa hawezi kuingia ndani akisikia hii dawa akijaribu kuingia kwa kuforce akigusa tu anakwenda na maji Inaitwa canye 😁😁😁
  15. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Tupe ushuhuda kuhusu hii kamati ya nidhamu

    Tupe ushuhuda kuusu hii kamati ya nidhamu
  16. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Traditional Media kama TV & Radio zinaenda kutoweka miaka ya mbeleni na hii ndio sababu

    Ukweli mchungu ni kwamba traditional media (TV, Radio, Magazeti) zipo kwenye kipindi cha mpito. Watu wengi wanahamia kwenye digital & on-demand content kwa sababu wanataka control (wao ndio wadhibiti nini waone au wasione), freedom (uhuru kupata habari yoyote) na diversity (habari za maudhui...
  17. Macbook pro

    JamiiForums Tanzania Mnaopost wapenzi wenu hii inawahusu

    Habarini za asubuhi 5 am Club members na Wengine ? Nimeamka asubuhi hii nikawa na natizama status kidg kabla sijaenda mezani kufanya kazi zangu binafsi kabla ya muda wa kwenda kutimika utumwani (Utumishi). Nimekutana na post ya mshikaji mmoja amepost picha ya Mwanamke ambaye ni mke wake kwa...
  18. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Sifa na kiburi kikizidi

    Wakristo mnasemaje hapo?!
  19. N

    JamiiForums Tanzania Week hii nina jambo langu

    Habari wakuu, Week hii ninajambo langu zito sana nafikiri baadhi ya watu wanalielewa vizuri. Kwahiyo tukae attention Weka kambi hapa
  20. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Kuna namna hii sekta imenikataa kabisa

    Naona kabisa hii sekta ikielekea kunishinda maana kila napoingia ni afadhali nilipotoka🥲 Au mimi sijaandikiwa kuwa na mwenza wa maisha, maana hii siyo hali ya kawaida kabisa kwa kijana mdogo kama mimi. Naona kwasasa niachane na hii sekta nijikite kwenye masuala mengine ya msingi.
Back
Top Bottom