Combination iliyopo kwenye hii picha ni hatari sana

Combination iliyopo kwenye hii picha ni hatari sana

Perfectz

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Posts
9,580
Reaction score
29,716
Hii nchi kama unataka kuchukia watu bila sababu unaweza kufa kabla ya wakati.

Hii nchi kama una akili timamu kabisa jidai huna utaishi kwa amani kabisa.

Jipendekeze kwa sana na kuwalamba miguu watawala,utakula mema ya nchi

IMG_1396.jpeg
 
#utaniKIDOGO

MWISHO KABISA KOBAZI WOTE NI WA KUSAIDIWA KISAIKOLOJIA SIO KUWATENGA,KUWA KOBAZI NI JANGA KAMA YALIVYO MAJANGA MENGINE.

View attachment 3398092
Wanostahiki kusaidiwa akili ni wale ambao kila siku bible ya inaeditiwa wao wanaona sawa tu

Wanawake wao full kuvaa uchi

Dini yao imeruhusu unywaji wa pombe
Dini yao imejaa matapeli

Walikuwepo akina kakobe wakawadanganya leo hii wako wapi

Gwajima nae anakuekeeni ahadi ya treni na helicopter sijui mshapewa?
Gwajima amefufua wangapi?

Yani nyie kudanganywa ni rahisi ata mtoto mchanga humdanganyi kirahisi ivo
 
Inabidi mtu awe na msimamo kuepukana na Ujinga
Mfano Siku ukipewa utoe speech mbele ya R
Kwa nn kila siku uwe unasifia
Jaribu kumkosoa hadharan na kusema ukweli halisi Unexpected kwenye speech uliyepewa naye alafu Niambie nini kitakachofuata?
 
Yesu hajaoa kwanini nyie mnaoa?

Yesu hajala nguruwe nyie mbona mnakula?

mama ake yesu alijistiri vzr tu nyie mnavaa uchi kabisaaa

Yesu Alimuamini Mungu wake nyie mnamfanya yesu Mungu
Sasa we jamaa mbona unahama hama mada?
Turudi nyuma hapo, umesema ukristo unaruhusu kunywa pombe....nimekupa Aya ya Quran ya kuruhusu pombe tena inasema ni riziki nzuri. Mbona umeruka unakuja na mambo mengine?

Jibu hoja usikimbie, halafu hadi peponi kwa Allah wenu mmeahidiwa pombe. Unalijua hilo?

Nimekuelekeza maana ya agano jipya na kale, umeelewa?

Acha kuruka ruka, mada iishe kwanza ndo twende nyingine
 
Wanostahiki kusaidiwa akili ni wale ambao kila siku bible ya inaeditiwa wao wanaona sawa tu

Wanawake wao full kuvaa uchi

Dini yao imeruhusu unywaji wa pombe
Dini yao imejaa matapeli

Walikuwepo akina kakobe wakawadanganya leo hii wako wapi

Gwajima nae anakuekeeni ahadi ya treni na helicopter sijui mshapewa?
Gwajima amefufua wangapi?

Yani nyie kudanganywa ni rahisi ata mtoto mchanga humdanganyi kirahisi ivo
Al-akhy wanakuja kukupopoa… msema kweli usiyepingwa wala kubishiwa 😄😅🙌🏾👍🏾
 
Back
Top Bottom