Kumbe maana ya ‘kukinukisha’ ndiyo hii?

Kumbe maana ya ‘kukinukisha’ ndiyo hii?

Hata kama Ruto ataondoka ajae atafanya nn kuboresha maisha yao? Wanabomoa hata kile kilichopatokana kwashida kwa Kodi zao, ndio Martha Karua anataka kutufundisha hivi tuwe kama wao?

View: https://youtu.be/GF2phAJ9_4o?si=tucl1UWNHZzqXZj7

View: https://youtu.be/fJ5USRBsM-Y?si=2McBkDNFYy6HF8hx

Watu waelewe luwa vurugu sio nzuri,matokeo yake ni mabaya,kuna wajawqzito walioshindwa kufikishwq hospital,wagonjwa,watoto hawakwenda shule,vyuo,biashara zilifungwa,hawakwenda magazine,wapo waliouliwa kwa risasi,waliojeruhiwa,wizi na wapo waliovsmia nyumba za watu.
 
Hivi wewe mtu mzima bado unataka kufundishwa? Ndiyo maana Ccm mpaka leo wanatuongoza. Hizi akili za kijinga sana
Kwa hiyo wewe unataka watu wauliwe,waibe mali za watu,wagonjwa na wajawazito wakose kufikishwa hospital,mpaka hospital wamevunja kws mawe,na madaktari na wauguzi kukimbia,kuchoma magari,kuiba maduksni na majumbani,kujosa kwenda kazini,biashara kufungwq,kuwaibia watu majumbani,ni ujinga huu.
 
Unafki kitu kibaya ssna.
ukiwa Mwanaume jitahidi kupunguza Unafki.
 
Wakenya ni wajinga sana.Wanaharibu walivyojenga kwa kodi zao Haya huo Umojacwa Ulaya,waingilie hapo,na Bunge lao.Hspo kumeuliwq watu 10,na wengine kadhaa kujeruhiwa,kwa ujinga wa maandamano.Na wizi wa madukani na majumbani,kuharibu hospital mpska madaktari wamekimbia,watoto hawakwenda shule,watu hawakwenda makazini.Biashars zinefugwa Wajawazito wamekosa kujifungua hospital nk
 
Watu waelewe luwa vurugu sio nzuri,matokeo yake ni mabaya,kuna wajawqzito walioshindwa kufikishwq hospital,wagonjwa,watoto hawakwenda shule,vyuo,biashara zilifungwa,hawakwenda magazine,wapo waliouliwa kwa risasi,waliojeruhiwa,wizi na wapo waliovsmia nyumba za watu.
Kama maana ya kukinukisha tena "kukinukisha vibaya sana" inamaanisha Tanzania na watanzania tunatakiwa tupitie haya basi kuna haja ya kuwasihi watanzania wenzetu hawa wafikirie upya, na kama watashupaza shingo zao tuhangaike nao mapema ili tusifike kule waliko wenzetu Kenya.

Hawa vijana wa Kenya hawaaa wanatumiwa tu kwa manufaa ya watu wachache. Hata Ruto akianguka sera ya waandamaji hawa sio kuwafukuza wachache na wageni walioatamia uchumi na rasilimali zao. `
 
Wakenya ni sawa na Mgema,ukimsifia sana tembo ulitia maji.
Akina TAL wanaumiza ngoma za masikio yetu kutuambia tuwe na katiba kama ya Kenya, eti tushinde barabarani TUKIKINUKISHA KUandamana na kuchoma moto reli na mabwawa yetu yanayozalisha umeme tuliyoyajenga kwa taaabu sana kwa kodi na mikopo ambayo lazima tuilipe. Nilishasemaga kwamba mjinga na maskini huwezi kumpatia demokrasia pana, anaweza kujiunguza yeye mwenyewe. Watu wetu bado ni wajinga sana, hawazijui siasa za kimataifa na wazungu, hawajui nani anasema kweli na nani anawaongopea; na ni maskini sana kiasi kwamba anaweza kufanya chochote ili kupata chakula, nguo, malazi na matibabu (physiologic needs). Siungi mkono demokrasia pana sana katika level hii, bado tuko kwenye stage ya kuwaswaga watu kwa nguvu waende shambani wakalime badala kuzurura mitaani kuuza pea mbili za viatu mitaani.
 
Kwa hiyo wewe unataka watu wauliwe,waibe mali za watu,wagonjwa na wajawazito wakose kufikishwa hospital,mpaka hospital wamevunja kws mawe,na madaktari na wauguzi kukimbia,kuchoma magari,kuiba maduksni na majumbani,kujosa kwenda kazini,biashara kufungwq,kuwaibia watu majumbani,ni ujinga huu.
Kwahiyo haya yote uliyoandika ndiyo unata kufundishwa kuwa siyo mambo mazuri?
 
Akina TAL wanaumiza ngoma za masikio yetu kutuambia tuwe na katiba kama ya Kenya, eti tushinde barabarani TUKIKINUKISHA KUandamana na kuchoma moto reli na mabwawa yetu yanayozalisha umeme tuliyoyajenga kwa taaabu sana kwa kodi na mikopo ambayo lazima tuilipe. Nilishasemaga kwamba mjinga na maskini huwezi kumpatia demokrasia pana, anaweza kujiunguza yeye mwenyewe. Watu wetu bado ni wajinga sana, hawazijui siasa za kimataifa na wazungu, hawajui nani anasema kweli na nani anawaongopea; na ni maskini sana kiasi kwamba anaweza kufanya chochote ili kupata chakula, nguo, malazi na matibabu (physiologic needs). Siungi mkono demokrasia pana sana katika level hii, bado tuko kwenye stage ya kuwaswaga watu kwa nguvu waende shambani wakalime badala kuzurura mitaani kuuza pea mbili za viatu mitaani.
Akili hizi ndiyo zilisababisha Jiwe akawa Rais.
 
Una hoja, ni vema kuona mambo kwa mtindo huu

Lakini dunia ya sasa imewashwa moto kwa teknolojia ni Zaidi ya bomu la atomic

Ufahamu wa vijana wa kileo popote alipo duniani hautofautiani sana kama miaka ile

Tusiwe slow learner tuchangamke japo mabadiliko yanakuja kwa kasi sana wakizembea hayo ya Kenya yanabisha hodi TZ bila kupoa

Unajua tz ipo kama uranium inachelewa kuwaka inapashwa moto ila siku ikikolea tutakuwa kituko Zaidi ya hao majirani niamini
 
Dunia Hii ogopa sana mtu anayeonekana mbulula, asili hutumia nguvu za kutisha kushinikiza wakorofi kutii

Hakuna binadamu mtii dunia hii ukiona vitu vipo kimya sana ujue vina ujazo wa laana ya kutisha pls don't awake a Dimon within

Magharibi wameshatambua muamko wa watu weusi wameamua kuachia bomu la teknolijia kurestore order

Wameshaamua tuuane tukimaliza wakute Wachache wenye hofu maisha yaendelee

Ukiwa kiongozi jua biti inapigaje unaflow, ukikaza Ngenga unaliwa kichwa
 
Hata kama Ruto ataondoka ajae atafanya nn kuboresha maisha yao? Wanabomoa hata kile kilichopatokana kwashida kwa Kodi zao, ndio Martha Karua anataka kutufundisha hivi tuwe kama wao?

View: https://youtu.be/GF2phAJ9_4o?si=tucl1UWNHZzqXZj7

View: https://youtu.be/fJ5USRBsM-Y?si=2McBkDNFYy6HF8hx

Nasi Tanzania tunahitaji ushujaa kama huu, nyie wana CCM mnakują tu hapa kupotosha watu.....Watanzania tuamkeni nasi tuwaige Wakenya kwa ujasiri walionao. Big Up Kenya✊🏽🫡
 
Back
Top Bottom