King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Leo nimetumiwa message kutoka kwenye namba +255733326905 kuwa nimeshinda Biko ya milioni 5 waliniona mimi ni zuzu wa kuona milioni tano nitahaha. Wakanipa maelekezo nipige kwenye namba hii 0719254427
Nawaomba cyber polisi na TCRA fuatelieni nyendo za hizi namba mishowe mtamkamata huyu mtu.
+
Habarini wakuu, poleni na majukumu, kwenye pita pita zangu nimeona hii program na na kupitia guidelines zake. Wenye uelewa naombeni mtueleweshe kwenye ; azimio lake, manufaa kwa jamii na watumishi kwa ujumla. Sisi watumishi wapya wa afya. Maana naona kuna points lazima uwe nazo ilikufanikiwa...
Hivi majuzi nimeota ndoto ambayo bado inanisumbua sana.
Hii ndoto ilikuwa inamhusu mwendazake Rais Magufuri. Niliota ilikuwa siku ya uzinduzi wa reli ya Chini kwa Chini au unaweza kuziita treni za kutumia umeme. Hivyo na Mimi nikaenda kwenye ufunguzi wa reli hiyo pamoja na wananchi wengi. Kama...
Nakumbuka enzi za Pius Msekwa, Sita na hata Makinda kidogo kulikuwa na mjadala mkali na mpambano wa fikra kuhusu qualities za mtu wa kushika Nafasi hii nyeti.
Ila Kwa miaka ya hivi Karibuni kiti Cha spika kimekuwa kama mchakato wa kumpata mwenyekiti wa Kijiji na siyo vijiji vyote.
Spika...
Hayati JPM alikuwa na mapungufu yake ila pia alikuwa na mambo mazuri.
Sisi wapinzani huwa tunakosoa kwa kuangalia shilingi upande mmoja tu
Sasa tokea amefariki huyu hayati JPM wamachinga ni watu wa kuumizwa tu. Kuhamishwa hovyo bila hata mikakati, masoko yao kuungua huku wengine wakila...
Hii ni hatari kama sio balaa.Wenzetu wanaongoza kwa mambo ya msingi,ni ajabu Tanzania yetu inaongoza Afrika kwa kuwa na wale wengi.
Si ajabu wanawake wanakosa wanaume na waliopo hawana nguvu za kiume na za mwili,hupigwa hovyo kwa sababu ya ulevi.
Kana kwamba haitoshi Tzn iko mingoni mwa nchi...
Baada ya kufurumushwa wafanyi biashara ndogondogo a.k.a wachuuzi/machinga na kuwekwa uzio wa mabati, wananchi wengi walitazama eneo hili kama sehemu sahihi ya kuwa na jengo la mfano litakalokuwa na huduma za kila aina kama zilivyo Mall nyingine huko duniani.
Nilinasa picha hizi kwa mbali...
Uyu kocha naona ana hasira za haraka sana, awe makini zisije zikamgharimu pale zitakapokwenda mpaka kwa wachezaji, ajue hii ni ligi kuu na sio kombe la mapinduzi hili kila timu inajituma kwasababu kuna pesa ndefu asitegemee ushindi wa bwelele.
Lakini pia ajue gape la point 5 na anayeongoza ligi...
MMEA WA AJABU – COMFREY
Comfrey ni mmea uishio miaka mingi. Una umuhimu kama mboga zenye afya kwa familia, pia malisho bora kwa wanyama wengi. Majani ya mmea huu huweza kutengenezwa mbolea kwa ajili ya bustani. Pia mmea huu hutumika kwa tiba mbalimbali kwa binadamu.
Comfrey ni mmea...
Kama tunajenga Ikulu hiyo hiyo kama ya Dar es Salaam nini maana ya Wasomi wetu hasa wa Ujenzi kuhimizwa zaidi Suala la Ubunifu ili Kupendezesha eneo na hata Mazingira pia?
Nayasubiri tu majibu yenu Wapendwa.
Nitakataa mpaka kesho ukiniambia mechi za ligi yetu ya mpira wa miguu ni mchezo sawa na mpira wa miguu wa wenzetu tunaowaona kwenye Tv zile game za akina Mbappe, Messi na Ronaldo, adhani ni michezo miwili inayofanana tu, kama ilivyo soccer ya ufukweni nk.
Mbona hawa wa kwetu wote wanakimbilia...
Kuungua kwa soko la Mitumba Karume limefanya nifikirie mambo mengi mpaka jibu sina, kumbuka huyu bwana alipokuwa Mbeya mwendo wa kuwaka moto masoko, ilikuwa shida sasa naona imehamia DSM. Sasa huyu mkuu ana mkosi au kuna namna?
Pia soma: Soko la Kariakoo lateketea kwa moto
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima (mwana Simba SC Mwemzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 20 wakiifunga Yanga SC leo.
Mbunge wa Tanga na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Oddo (mwana Simba SC Mwenzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 10 wakiifunga Yanga SC...
Watu naona wanauliza uliza siri ya mafanikio ya baadhi ya shule binafsi za sekondari hapa nchini, siri ziko 2 tu, kwanza sio siri maana hizi mbinu japo sikubaliani nazo ila zinafahamika na zinatumika sana kwa shule binafsi zenye majina makubwa ili waendelee kupiga pesa ndefu. (Hii ni biashara...
Prof Mpoki Mafwega amechukua fomu ya kugombea Uspika wa bunge na kuahidi atashinda na kuweka historia mpya nchini kwani bunge siyo kwa ajili ya wanasiasa pekee.
Prof Mpoki amesema tokea mwaka 1954 wakati wa mkoloni hapajawahi kuwa na Spika wa bunge aliyetoka kwenye sekta ya Utumishi wa umma...
Tulia Ackson unaamini Raisi wa nchi yetu hastahili kunyooshwa kidole, ona hii clip ya kilichotokea huko Uingereza kwenye Jumba la Waziri Mkuu uone jinsi dola ilivyojitenga na siasa na wanasiasa hata pale Waziri Mkuu anapopigwa kwa kukejeliwa na wananchi wa kawaida (sio Bunge wala wabunge)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.