King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Habari wakuu poleni na Majukumu ya kutafuta ugali ,japo ni mgumu naamini sote tutaupata.
Wakuu kuna hii ndoto imenishtua sana leo naomba wale wenye utaalamu wa ndoto hii wanielezee iko hivi.
Nimeota nipo shule ya bweni sasa siku hiyo ilikua ni siku ya kufunga shule majira ya mchana hivi mimi...
Marekani peke yake,ama NATO ama Marekani na washirika wake,kwa nyakati tofauti wamekuwa wakipeleka majeshi kwenda kufanya kile wanachokiita kuisaidia kuziokoa nchi zilizo ama vamiwa ama kuongozwa na watu wao waliowaita madikteta.
Kwa mara ya kwanza toka nimeijua Marekani na hata NATO.naposema...
Kuna changamoto kwa sasa tunapitia watu kupandisha bei ya vitu kwa taarifa kuwa mafuta yamepanda bei sababu ikiwa vita vya Ukraine, sawa tunakubali ila kuna kama wengine wanafata mkumbo tu, maana jana mwenye nyumba wetu katuambia kodi mwezi ujao itapanda sababu ikiwa gharama za maisha kupanda...
Vibanda vya wafanyabiashara wadogo 'Machinga' na mama lishe zaidi ya 30 vimeteketea kwa moto katika Soko la Karume Jijini Dar es Salaam, asubuhi ya leo Aprili 8, 2022.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam (ACP), Muliro Jumanne Muliro amekiri kutokea kwa moto huo na kusema chanzo cha...
kwa kweli nchii hii ina safari ndefu embu jionee maarifa na uwezo "mkubwa" wa wachambuzi wa kibongo a.k.a ma genius, huyu bwashee kajiandikia ka tweet chake halafu kafuta.
Rais wa Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema hajapokea Mshahara wake kutokana na hali Ngumu ya Kiuchumi kwa Miezi Nane iliyopita tokea aingie Madarakani.
Chanzo: Radio One Taarifa ya Habari Asubuhi hii.
Je, unadhani na Marais wengine unaowajua Weww hapa Barani Afrika wangekuwa na Uthubutu huu...
Baada ya kuwasilishwa bungeni leo ripoti ya Uchafuzi wa Mto Mara, wabunge wameikataa na kutaka kuundwe tume huru ya uchunguzi.
"Ripoti ya Kamati ya Kitaifa kuhusu Uchafuzi wa Mto Mara ina upotoshaji. Isiwekwe hata kwenye tovuti ya wizara. Hakuna mafuta Ziwa Victoria. Ikiwekwa kwenye tovuti...
Huyu mwanamke ndo wa kwanza kabisa mimi ku sex naye akiwa ni mwembamba. Binafis nimekuwa nikipenda wasichana wanene, wenye hips, huo ndo ugonjwa wangu sana, yaani nikiona wa hivyo nachanganyikiwa kabisa. Basi nikasema anyway ngoja nijaribu na upande wa pili hasa kwa kuwa huyu dada alikuwa...
Kenya itasoma bajeti yake siku ya Alhamisi wiki hii. Bajeti yenyewe itakuwa ya ksh 3.3 trillion ambayo ni zaidi ya mara dufu ya bajeti ya Tanzania.
=======
Budget reading Thursday as MPs end revenue share row
These measures will be contained in the Finance Bill, which must be tabled in...
Nakumbuka kipindi kile walimtosa mpinzani mwenzao Raila na kumuunga mkono Uhuru Kenyatta tena nakumbuka mzee Lowassa alifunga safari mpaka Kenya kwenda kuwashawishi wamasai wamuunge mkono Uhuru Kenyatta.
Sasa mwaka huu Raila anaungwa mkono na Uhuru Kenyatta. Je,CHADEMA watalazimika kumuunga...
Wakuu habari, nataka kujua kama kuna mtaalamu wa kunifundisha namna ya kutengeneza forex robot (automated trading system) kwa kutumia MQL script language hata kwa malipo
Ni programu ambayo inasaidia ku trade automatically, ukishaitengeneza na kuweke vigezo vyako vya ku trade, unaijaribisha...
Nikupongeze kwa hatua hii ya kuzindua gari uliyoitengeneza wewe mwenyewe kama ulivyotuaminisha ila naomba basi utusaidie yafuatayo ili utuvutie zaidi kuweza kununua gari yako
1. Je, ukichaji gari ikajaa unaweza kutembea kwa umbali wa kilomita ngapi?
2. Je, vipuri vya gari vikiharibika...
Katika wimbo wake wa 'what's my name' kuna sehemu mgumu huyu (dmx) anasema;
"Look at all these off‐brand niģgaz runnin' around yappin' about they be holding figures as big as jigga's"! Halafu kuna sauti inasindikiza hiyo verse inasema, "that's the bullshit"!
Nimejikuta tu nakumbuka siku chache...
Artist Unashinda Tuzo Ya Muziki, Toa Speech Mshukuru Producer, Shukuru Label, Management, Family, Media House & Fans!
HAYA MAMBO UNAPANDA UNAISHUKURU SERIKALI, UNAMSHUKURU MAMA MHESHIMIWA, AAH MIMI SIONI KAMA NI SAWA BWANA!
Habari wakuu!! Ningependa kuuliza kama kwa hii (Msc IT Management) program Content inatosha mtu kuwa na Technical knowledge za IT au zipo based on Management tu
CORE COURSES
COURSE TITLE
CODE
Units
TCU CREDITS
Scientific Research Methods
OCS 601
1
10
IT Entrepreneurship and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.