Mimi siyo mwandishi mzuri. Hivyo mtanisamehe kwa makosa yoyote ya kiuandishi yaliyopo kwenye wasilisho la ndoto hii.
Kabla ya kuielezea ndoto hii, nimekumbuka kuwa leo ni siku ya kumbukumbu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Alfajiri kuamkia leo tarehe 26/04/2022, nimeota ndoto ya...