hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Lycaon pictus

    Hii ni kemikali hatari iliyomo kwenye plastic

    Kwenye plastic kunakundi moja la kemikali linalipatikana kwa wingi ndani yake. Linaitwa biphenols. Hii ni kemikali hatari sana sababu ni carcinogenic. Na mbaya zaidi kemikali hii inafanana na hormone inayopatikana kwa wanawake iitwayo estrogen na inaweza fanya kazi za estrogen. Hii inaweza...
  2. May Day

    Hii kusema kuwa Waamuzi wanazibeba timu kubwa ni kuwatwika mzigo isiyostahili

    Kumekuwa na mijadala iliyoibuka haswa kwa hizi timu zetu kongwe huku kila upande wakijaribu kutumu kuwa Refa alipendelea timu kubwa. Mbaya zaidi ni pale hata wale wenye nafasi ya kusikilizwa au kuaminiwa kama Makocha, nao wakiingia kwenye mkumbo huo. Inashangaza na kuhuzunisha kwa Mtu Mzima...
  3. ESCORT 1

    Watu wa itifaki Ikulu hii sio sawa

    Watu wa itifaki ikulu naomba muwe mnaondoa aibu ndogondogo kama hii, inakuaje mpambe wa Rais Samia abebeshwe mzigo huu wa begi kubwa wakati Rais alipowasili airport ya Dar akitokea Scotland! Hapo inamuondolea uwezo wa yeye kufocus katika mausala ya msingi, lakini pia hata kwenye suala la picha...
  4. koba lee

    Kama unadhani unafanya kazi under pressure tizama hii

  5. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    Mwalimu Chaula: Mambo manne yanayofelisha viongozi - Part 2; Kushindwa kukuza uwezo wa watu

    MAMBO MANNE YANAYOFELISHA VIONGOZI-PART 2-Kushindwa kukuza Uwezo wa watu. (FAILURE IN TALENTS DEVELOPMENT) Mtu mmoja aliwahi kusema, "good leaders have many followers but great leaders produce many leaders." Akimaanisha kwamba, "viongozi wazuri wana wafuasi wengi sana wanaowashabikia lakini...
  6. M

    Simba mtateseka sana msimu huu kama staili yenyewe ndo hii

    Ni ajabu na kweli timu iliyokuwa inajinasibu kuwa na kikosi bora imebaki kutegemea mbeleko ya kadi nyekundu na penalty ili kupata matokeo,,,na licha ya kupata matokeo wanatoa machozi jasho na damu kupata angalau kagoli kamoja mbele ya timu inayocheza pungufu kwa muda mrefu. Kama mpinzani akiwa...
  7. M

    360 mawingu wameidadavua faini ya Musiba Tsh bilioni 6 kisheria, inashangaza kwa tusiojua sheria tunaweza kucheka

    Leo nilipata wasaa wa kusikiliza kipindi cha 360 Mawingu ambapo alialikwa mwanasharia nguli na mwanasharia msomi mama Gloria Kahaya kutoka kituo kimoja cha kutoa haki za kisheria hapa nchini. Walikuwa wakijadili mambo ya ndoa na taraka lakini baadae bila ya kutegemea wakatumbukia katika hukumu...
  8. Jesusie

    Hii huenda ndio hotuba bora ya Conference of Parties ( COP 26 ) na huenda ikaacha historia kwa miaka mingi, Mungu Ibariki Tanzania

    Hii huenda ndio ikawa hotuba bora ya Conference of Parties (COP 26 ) na huenda ikaacha historia kwa miaka mingi, Mungu Ibariki Tanzania === Baada ya jarida la Foreign Policy ( FP) ya Marekani kuitaja hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya Sept 23|2021 UN Gen Assembly kuwa ndio hotuba bora zaidi...
  9. K

    Hii ni kazi inayopaswa kufanywa na Jaji au Mahakimu wa Mahakama ya Mwanzo?

    Jaji ni mtu mkubwa na mwenye hadhi ya juu Sana katika mfumo wa Mahakama. Majaji pamoja na kuwa na hadhi ya juu pia ni watu ambao wanamajukumu mahususi na wanapaswa kufuatilia mambo nyeti kwenye kesi zinazofikishwa mbele yao. Hili kuweka heshima ya Mahakama na kuzuia Mahakama kuchezewa Jaji...
  10. C

    Unafiki wa wala nchi hii: Mkutano wa TEHAMA umekwisha na maazimio ya kinafiki

    Limkutano huko Arusha lilikuwa na mbwembwe kwelikweli aisee yaani nimekaaa hapa natengeneza apps fulani bando limeisha kabisa kushoto kulia hata buku 3 ya kupata gb 2 sina niweze kuchukua baadhi ya vitu online na kucheki tutorials Ama kweli hili li nchi nuksi sana , walivyokuwa wanajiliza...
  11. Sky Eclat

    Hii nyumba ilijengwa mwaka 1509 katika kijiji cha Argentan, Ufaransa

  12. R

    Kwa mlio Mwanza tafadhali nisaidieni case law hii

    Ipo kwenye TanzLii lakini kuna some missing pages page no.6 and 13.. Naomba tafadhali kama kuna aliye Court of Appeal Mwanza anisaidie kuniwekea complete judgement. Pia ikiwezekana na High Court Judgement. Please and please IN THE COURT OF APPEAL OF TANZANIA...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Nchi hii hata watu wote wawe na Degree moja, haiwezi kuendelea

    Kwema Wakubwa! Kwa tathmini zangu ninazoziamini kuliko kitu chochote kile. Nachelea kusema, nchi hii hata watu wote yaani wote milioni 60 tuwe na Degree moja moja na zaidi kamwe haiwezi kuendelea. Kwa bahati nzuri Mimi ninayo hiyo degree hivyo ninachokiongea nakielewa vizuri Sana. Kama...
  14. Niache Nteseke

    PSRS | Utumishi Wa Umma/Sekretarieti ya ajira angalieni hii

    Salaam kwenu wakuu. Natumai muwazima wa afya kabisa. Well, suala lilionifanya mpaka kuanzisha topic hii ni kuhusiana na restrictions tunazokutana kwenye Ajira Portal. Mmekuwa mkisisitiza sana kea waombaji wa nafasi za kazi kuhuisha (update) taarifa zao, hata wengine wamekuwa wakishindwa...
  15. Equation x

    Jiajiri kwenye hii biashara hata kama huna mtaji

    Najua wengi wana akaunti katika mitandao ya kijamii; sasa ni wakati wa kutumia hiyo mitandao kuingiza pesa. Anza hivi:- No. 1 Tengeneza 'database' ya mambo yote yanayohusu ujenzi Ingia makubaliano na hawa mafundi:-...
  16. The Father of All

    Unajifunza nini toka kwenye katuni hii?

  17. Nakfa

    Hii ilikuwa Durban 1982

    Tanzania inajivunia hivi vitu mwaka 2021 😥 S.A sijui itakuwa inajivunia nini mwaka huu baada ya miaka zaidi ya 39 kupita. Tanzania ni nchi ya kusikitisha sana.
  18. AVO28

    Naomba Ushauri Wenu Wajuzi Wa Sheria Au Waliowahi Pitia Ishu kama hii

    Salaam Wakuu. Naomba ushauri kwa wajuzi wa sheria au hata wasio wajuzi wa sheria lakini wamepitia ishu kama yangu. Kufupisha Stori, Nilinunua Viwanja viwili maeneo ya tabata, viwanja hivi vipo kwenye eneo la sqm 6000+ (Lina hati ) mimi nimenunua maeneo mawili ndani ya eneo hilo kubwa, na...
  19. Vhagar

    Rockstar games wanazirejesha gta 3, vice city na san andress november hii.

    Zote tatu ndani ya cd moja zikiwa zimeboreshwa graphics mpyaa kwa ulimwengu wa sasa. system requirements OS: Windows 10 (probably 64 Bit) RAM: 8 GB. Processor/CPU: Intel Core i5-2700K / AMD FX-6300. Graphics Card/GPU: NVIDIA GeForce GTX 760 2GB / AMD Radeon R9 280 3GB. Storage space: 45 GB...
  20. Superbug

    Morogoro: Kuna sehemu kunajengwa msikiti mkubwa unaopakana ukuta na kanisa, Je hii imekaaje?

    Manispaa ya morogoro Kuna eneo nadhani ukitoka hospital kubwa Kama unaelekea bigwa Kuna sehemu mkono wa kulia Kuna kanisa Kama sio yehova ni sabato; kanisa Hilo linapakana ukuta tu na eneo linapojengwa msikiti mkubwa Sana. Sasa naomba mamlaka husika za kiserikali zitolee ufafanuzi kwamba...
Back
Top Bottom