Wakuu Hii Pc kwa hii bei ni sawa?

Afrocentric view

JF-Expert Member
Jun 19, 2022
1,373
2,267
Wakuu vipi,
Nmeenda dukani kununua Pc used abroad.
Ni hp 840 zile new design nyepesi flan nyembamba.
Core i5, Ram8, ssd 256 generation 6
Kwa 550, 000/=
Ni sawa au napigwa?

IMG_20221010_211602.jpg
 
Ina tatizo kwa izo equivalent huwezi kupata chini ya 700k na maanisha laki Saba Tena used hapo ni parefu mno ...Kuna mahali Kuna danger haswa betri
 
Wakuu vipi,
Nmeenda dukani kununua Pc used abroad.
Ni hp 840 zile new design nyepesi flan nyembamba.
Core i5, Ram8, ssd 256 generation 6
Kwa 550, 000/=
Ni sawa au napigwa?
Unapigwaje sasa wakati mali uko nayo? Check battery life tu apo na muonekano wa nje kama unaridhika nayo beba hamma difference ya kutisha sana PC yenyewe mtumba
 
Unapigwaje sasa wakati mali uko nayo? Check battery life tu apo na muonekano wa nje kama unaridhika nayo beba hamma difference ya kutisha sana PC yenyewe mtumba
Inaonekana battery ni ya masaa7 maana kpindi nanunua llikuwa na 85% inasema 6hrs 8min reamining.
Saivi nmetumiatumia ina 74% 5hrs remaining
 
Nilipata pc kama hiyo isipokua haikua na ssd ilikua hdd 500gb kwa laki 550 baada ya kuconvert kwa ela ya Tz baada ya muda kama week 3 hv ilipata changamoto ya keyboard kutofanya kazi baadhi ya button ingawa ilikua na warranty ya mwaka mmoja niliamua kubadili keyboard kwa gharama zangu ambapo nilitumia elf 40 ya kitanzania toka hapo haijanisumbua kitu ipo poa mpka sasa ..Mwanzoni ilikua na blacklight keyboard ila sasa nimeweka keyboard ya kawaida tu..
 
Ishi nayo iyo mkuu

Ulinunulia wapi?
 
Wakuu vipi,
Nmeenda dukani kununua Pc used abroad.
Ni hp 840 zile new design nyepesi flan nyembamba.
Core i5, Ram8, ssd 256 generation 6
Kwa 550, 000/=
Ni sawa au napigwa?

View attachment 2382965
Kimsingi hii ni mil 1.2 sasa kama wanauza hiyo bei yaani 550k basi hakikisha sio feki na ingia mwenyewe uone hizo specifications kama ni sahihi. Tofauti na hapo lipa haraka uondoke
 
Wakuu vipi,
Nmeenda dukani kununua Pc used abroad.
Ni hp 840 zile new design nyepesi flan nyembamba.
Core i5, Ram8, ssd 256 generation 6
Kwa 550, 000/=
Ni sawa au napigwa?

View attachment 2382965

Mmmh mkuu ni kweli umenunua kwa bei hiyo? Mbona cheap sana? Mmh labda kama umekosea kuandika aisee!

Aisee natamani huo mtelezo ungenidondokea mimi!
 
Back
Top Bottom