hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siasa za majukwaa awamu hii ya Rais Hassan itakuwa ni vioja

    "Political manipulation with protection and defence" Chadema iliyolamba asali, ACT iliyolamba asali, NCCR na CUF za Msajili, na vyama vingine mdebwedo, jiandaeni kwa vichekesho. Mimi sio mtabiri ila hali ndio itakuwa hivyo, hii inaitwa awamu mpito na awamu mseto. Tanganyika haina furaha na...
  2. JamiiForums Tanzania Je, katika ujana wako umewahi kuingia na Demu chumbani, ghafla mashine ikagoma kusimama. Ulifanyaje? Maada hii ni kwa wanaume tu

    Morning wakuu! Kumekuwa na stori nyingi za vijana wakati tukisoma secondari na vyuo ,anamtokea Binti mkali na anamfatilia kwa muda mrefu hata miezi 2 na zaidi lakini ikitokea siku bint amekubali kuja kuliwa, amefika gheto/ room ghafla Hofu na Ile mstuko unafanya jogoo likatae kupanda mtungi. Je...
  3. JamiiForums Tanzania Mji wa Ukraine wa Soledar umetekwa lakini waliokufa wengi ni Warusi. Ipo vipi hii?

    Jeshi la Ukraine pamoja na msaada mkubwa wa NATO linazidi kuishiwa nguvu na hata habari za mrejesho kwa wafadhili wake. Mji umezingirwa tangu Agosti na hatimae warusi wawe ni kutoka Wagner au wapi lakini wamewatimua Waukreni kwenye machimboj ya chumvi yenye mapango mengi. Cha ajabu UK ambaye...
  4. JamiiForums Tanzania Januari hii ya 2023 ni kiboko ya Januari zote tangu tupate uhuru

    Habari za kushinda wakulungwa! Hii January ni kiboko. Au mnaionaje nyie wenzangu. Maana sasa hivi ukikatisha mitaani na unajulikana unaweza kuitwa chemba hata mara 5 ndani ya masaa 2 ili upigwe vizinga. Hii January hata Mimi imenichapa.
  5. JamiiForums Tanzania Kwa tabia hii una tofauti gani na Ibilisi?

    Tabia iliyomponza Ibilisi ni KIBURI. Baada ya kuambiwa na Mwenyezi Mungu amsujudie Adam sijida ya heshima basi yeye alikataa Kwa kujawa na Kiburi kwasababu yeye alijiona Bora sana. Na alipoambiwa kwanini ulikataa kumsujudia Adam akasema; Mimi ni Bora nimeumbwa Kwa Moto na yeye ameumbwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Hii nchi wamepewa vichaa

  7. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kisaikolojia ya mahusiano

    Kiuhalisia ni mtu muongeaji Sana Mimi mia saba. Ila ni mtu mkimya Sana na nikikuzoea hutoamini. Maana na jua kutengeneza story za kufurahisha nikiakikisha huboreki tukiwa pamoja. Shida inakuja Huwa sidumu na mahusiano na mtu yoyote yule ya kiurafiki baada ya kujua ana vitabia flani flani kama...
  8. JamiiForums Tanzania Usije ukajidanganya na hii kauli ya "Age is just a number"

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sio vibaya kujipa moyo Kwa MTU ambaye bado mambo yake yamemuendea mrama, yamemuendea kombo. Kauli hiyo hutumiwa kuwa-motivate Watu ambao wapo katika Zone ya hatari au katika hali ya kuchelewa. Kanuni kuu ya Maisha katika masuala ya muda ni kuwa "Kila Jambo...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi shule kama hii ina walimu kabisa watakaoweza kuidai Serikali iwaongezee mshahara bila aibu?

    Kwa msioifahamu Mburahati, ni shule ya secondari ya kata, iko wilaya ya Kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam. Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi. Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana. Je, walimu wa hii...
  10. JamiiForums Tanzania Mtaani kwenu mnaiitaje hii?

    Kwetu wanaiita "Kisungura" aloo vijana wanakuwa wazee kabla ya wakati wao.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kauli hii ya mke wangu ina maana gani?

    Habari Wana Jf niende moja kwa moja kwenye point, ni kwamba Mimi na mke wangu tulifunga ndoa miaka sita iliyopita na wakati huo tulikutana mkoani Ruvuma yeye akiwa mwajiriwa wa kampuni flani na Mimi wakati huo nilikuwa nafanya kazi na shirika flani. Baada ya mahusiano kama ya Mwaka mmoja...
  12. JamiiForums Tanzania Asante Rais kuruhusu mikutano, tunakuomba uruhusu haki nyingine ambayo imeporwa ya Watanzania wote kuchagua na kuchaguliwa

    Wanabodi, Hii ni makala ya Leo kwenye Nipashe Jumapili ya June 8, mwaka 2021, katika safu hii, niliandika makala ya kumpongeza Rais Samia, kwa kuwasisitiza watendaji wa serikali kutenda haki, kufuatia baadhi ya haki zilizotolewa na katiba yetu na kugeuzwa ni hisani, Asante Rais Samia kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Hii pia ni bahati usinichukie mimi

    Ujue nimekua nikionewa sana kisa nina blue tick ( Varified ) Ndugu zangu juhudi tu na bidii zangu zimeonekana huko majuu huko🫣🫣🫣 sio mimi ninae toa varification, tusichukiane, tupwndane plz 🙏🏻🙏🏻, Napenda new ideas & friends for positivity na sio kutengeneza uadui🥺🥺.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Umasikini unaanzia kwenye mfumo wetu wa elimu ambao umepitwa na wakati

    Nauona umaskini unaanzia pale mtu uko zako chuo halafu unakaa miaka zaidi ya mitatu bila kufanya kazi unakamua pesa tu za wazazi kukulipia ada na malazi bila kuingiza chochote na mwisho wa siku ajira hakuna! Huu ni umasikini tuliokubali kujitengenezea bila kujua kuwa ni chanzo cha umasikini...
  15. JamiiForums Tanzania Leo hii nimetapeliwa

    Daaaah sona habari na nyiee... Nimetapeliwa 15000,hii ela siningekunywa zangu beer hata 5.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni kweli au uzushi kuhusiana na bei za vocha za simu kupanda bei?

    Wakuu niko huku a town lakini kuna habari zinaendelea kuenea kuwa utapoenda dukani kununua vocha ya buku itakulazimu utoe buku na Mia au vinginevyo ununue kupitia huduma za simu au kama ni vocha ya tsh 2000 itabidi ulipie 2200,imekuwa wiki nzima nikisikia habari hii na kuna jamaa...
  17. JamiiForums Tanzania Katika dunia hii ya kidigitali kulilia mikutano ya hadhara ni ujuha wa kiwango cha ajabu

    Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano...
  18. JamiiForums Tanzania Jihadhari na overtake za aina hii

    Hawa jamaa kama wamepona wana Mungu sana. Mara zote tunakumbushana kuwa Highway sio sehemu ya mchezo. Hii overtake ambayo inafanywa kwa mtindo wa "Tailing" madhara yake ni kuwa hutaona mbele na wa mbele yako ni rahisi sana kukuuza. Keep your heads up, make sure unaona mnyooko ndio unatoa gari.
  19. M

    JamiiForums Tanzania HII TIMU INAYOMRUBUNI FEI TOTO ILI IMSAJILI MPAKA AKAVUNJA MKATABA NA KLABU YAKE YA YANGA MBONA AIMTAMBULISHI MPAKA SASA KAMA YUKO HURU?

    Mpaka sasa sijaelewa kuna tatizo gani kwa mchezaji aliyevunja mkataba na klabu yake na akaona yuko sahihi kisheria na yuko huru kusajiliwa na timu yoyote ile nashangaa timu iliyomrubuni na kumpa mamilioni ya pesa akalipe na kuvunja mkataba imeshindwa kumtambulisha mpaka sasa, Mchezaji huru tena...
  20. JamiiForums Tanzania Kijana mwenye uwezo mkubwa wa kutengeneza michezo (games) ya kubeti, changamsha siku yako na hii

    Kila mtu anapenda kufanya kitu kitakacho mpa amani na furaha. Ikiwa utapata furaha ukifanya kitu Fulani, basi hicho ndio kitu kinachokufaa sana. Kuna watu wanapenda kupika, wengine kusoma vitabu, wengine kuimba au kuchora. Hizi zinaitwa hobbies, Mambo unayopenda sana,na siku yako haipiti bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…