hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania La umeme Watanzania ni waelewa, wavumilivu na linavumilika. Assuarance hii from "The Horse's Mouth" ni toshelevu. Lakini la maji linavumilika?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za " Kwa Maslahi ya Taifa", makala ya leo ni kuzungumzia kidogo hali ya umeme nchini ambayo kwa sasa inapitia changamoto mbalimbali mojawapo ni kupungua kwa kina cha maji katika mabwawa ya uzalishaji wa umeme, hili...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, tuna uhakika Mahafali mbalimbali ya Vyuo Vikuu Miezi hii Novemba na Disemba yanatoa Thinkers na Intellectuals hasa?

    Katika hili nina uhakika na Chuo Kikuu Kimoja tu changu cha SAUT Mwanza kuwa ndiyo kimetoa, kinatoa na kitaendelea kutoa Thinkers na Intellectuals hasa nchini Tanzania na vingine vinajaribu na Kubahatisha tu. Hongereni mno na sana Wazazi na Walezi wote mliopeleka Watoto zenu ( wenu ) Kusoma...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Je, kisheria hii imekaaje?

    It's lady action again.....drama queen. Haya najua wengi mtatukana weee lakini ndio nishaumbwa hivi sasa nitafanyaje? Ipo hivi baada ya kutengana na mume kwa miezi kama 4 hivi, nimerudi na kudai vitu vyangu anazingua kunipa inabidi nibebe vyeti vyake vya shule kuanzia Kuzaliwa, Form Four...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wale mnaopenda kuwatukana na kuwadharau vijana wa Arusha angalieni hii video muaibike

    Mzuka Wanajamvi! Kumeibuka na watu wa ajabu jamvin siku hizi. Wanadharau, kuwakebehi na kuwadhihaki sana vijana wachapakazi na wanaojituma wa Arusha. Angalieni iyo video hapo chini muabike nyie kina johnthebaptist Accumen Mo Juma1967 Mkaruka
  5. ninosi

    JamiiForums Tanzania Achana na rekodi ya 'Unbeatean', Wanayanga hii rekodi pia 'Tuishi Nayo'

    Leo (13/11/2022) imetimia miezi miwili (siku 62) tangu yule mshambuliaji 'machachari' Fiston Mayele afunge goli katika NBC PL. Ikumbukwe Mayele ndiyo mchezaji pekee ambaye 'tunaimani' anaenda kutuvusha group stage ya CAFCC mbele ya Pyramid na TP Mazembe. Wanayanga kipindi 'tunaendelea' kuhesabu...
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Sababu ya pekee Tanzania kufika uchumi wa Kati hii hapa

    Sina maneno mengi, kiufupi hatupaswi kulemba mwandiko Wala kuoneana aibu. Tuache ushikaji Katika KAZI. Tusimamie rasilalimali zetu na mikopo tunayopewa ipasavyo. Enzi zile nyeusi ilikuwa nyeusi na nyeupe ilikuwa nyeupe, pamoja na janga la corona Lakini tulitoboa. Kwa sasa ni tofauti nyeusi...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ni chama gani cha Upinzani kitakachoweza kuendesha vema nchi hii?

    Kama itakuja Kutokea, sio Kwa sababu Kuna Upinzani wenye wanasiasa Bora, La hashaaa!!. Itakua ni sababu Watanzania kutaka tu kuona Upinzani wataongozaje na kwa mantiki hiyo, DOLA, hautokaa kuliruhusu hili. (Upinzani wa Kusubiri vijitukio vidogodogo ndo usikike, Sahizi wanamjadili KIJANA...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hii tunaiitaje timu kushinda lakini mashabiki wanakosa furaha na kuwa kama wamefiwa hivi

    Hii kitu sijaielewa Wazee wa pira linatembea wameshinda leo lakini mashabiki wake uku wamekuwa kama wamemwagiwa maji ya baridi sijui hii ganzi ya ghafra waliyonayo kuna nini nyuma ya pazia.
  9. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC | Ligi Kuu Bara | Stade de Benjamin Mkapa 12/11/2022

    FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC Naaam mpira umekwishaaaaaa ambapo Simba SC wanaibuka na ushindi wa bao moja kwa bila dhidi ya Ihefu FC. 90+3' kuelekea kumalizika kwa mchezo, Ihefu FC wanajitahidi kadri ya uwezo kutafuta bao, lakini muda mchache sana. 89' Akpan ameingia kuchukua nafasi ya MTUWilliam...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ratiba hii ya Yanga, TFF Ina jambo lake kwapani

    Je, ilikuwa ni lazima Yanga icheze na Kagera sugar jumapili mwanza? Kwanini mechi isingesogezwa hata kwa siku mbili?
  11. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Watanzania hawana uwezo wa ku-reason na kwa style hii tegemeeni nchi kuongozwa kama Familia ya mtu mmoja

    Ebu angalieni suala la ajali ya Ndege watu wengi mmepewa uongo na mmeamini Ni aibu kubwa sana Taifa kuwa na Idadi ya wajinga. Mimi hii Ajali najua kila kitu na mlivyoambiwa Ni vitu viwili tofauti hata havi-relate Ndiyo maana Tbc walitumwa na Serikali kumfanyia mahojiano Majaliwa
  12. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Nigeria: Naona safari hii wameamua kuongonzwa na vibabu vilivyokula chumvi nyingi

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa wasiofahamu, ni kwamba Nigeria inakwenda kufanya uchaguzi wake mkuu wa uraisi miezi mitatu ijayo. Katika uchaguzi huo mkuu, mchuano mkali utakuwa kati ya vikongwe wawili wa nchi hiyo mh Bola...
  13. Msanii

    JamiiForums Tanzania Hivi hii nchi ni ya nani haswa? Serikali ipo kwa maslahi ya nani haswa?

    Tarehe 09 Desemba 1961 ni siku ambayo bendera ya Tanzania (Tanganyika) ilipandishwa kuashiria nchi huru yenye kujitawala na kujiamulia mambo yake bila kuingiliwa na taifa lolote la nje. Leo tunakaribia miaka 61 ya uhuru lakini bado wananachi wa Tanzania wanaishi kwa kudra za watawala. Bado...
  14. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Dar: Lori lililopakia saruji limeyagonga magari mawili madogo katika eneo la Tegeta Wazo

    Lori lililokuwa limebeba saruji limeyagonga magari mawili madogo katika eneo la Tegeta wazo, Dar es Salaam ambapo zoezi la uokoaji linaendelea. --- Lori lililokuwa limebeba Saruji limeyagonga Magari mawili madogo katika eneo la Tegeta wazo, Dar es Salaam Zoezi la Uokoaji linaendelea huku...
  15. cold water

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye pharmacy Mtwara au Ruvuma

    .
  16. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Crazy! Hivi kuna nchi inaongozwa vizuri sasa hivi Dunia hii?

    Naona kama kuna mtandao mkubwa Dunia nzima ambao umejipanga kuharibu na kubomoa mfumo wa Dunia kama tuujuavyo, Sasa hivi sidhani kama kuna nchi inaongozwa vizuri au ina Kiongozi yoyote wa maana anayejali haswa maslahi ya watu, Dunia nzima is f--ked up now, hakuna pa kukimbilia.
  17. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta masoko ya zao la Korosho Mbichi na za kukausha. Tupeane feedbacks za deal hii

    Habari wadau wa Kilimo ,naomba tusaidiane kuhusu kupata masoko ya UHAKIKA ya Korosho mbichi grade A mzigo upo wa Kutosha tokea Mtwara-Tandahimba Utapendeza zaidi kupata masoko Kanda ya Ziwa ,Kaskazin and nje ya mipaka ya Tanzania.
  18. P

    JamiiForums Tanzania Nimemuelewa mkurugenzi TCAA hii ni ajali kama zingine japo kuondokewa na mpendwa hakuzoeleki

    Jana mchana nilikuwa namsikiliza Mkurugenzi wa Mamlaka ya Anga Tanzania akielezea juu ya ajali ya ndege ndani ya Ziwa Victoria. Nikawa nasoma maoni yanayopita pembeni ya kile kioo cha kinakilishi changu. Alionekana kama anapiga siasa zile zile tunazozizoea kuzisikia kutoka kwa watanzania pindi...
  19. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje nchi nyingi kubwa za Kiarabu mpaka leo hii zimeshindwa kuiteketeza nchi ndogo kama Israel?

    Hii nchi kwangu inanishangaza sana, Ni ka nchi kadogo lakini manchi mengi makubwa yaliyodhamiria kuifuta kwenye rmani ya dunia hayajaweza mpaka leo. Ni mwendo wa kupigana, Ni sawa na Sungura na Tembo wanapigana kitu ambacho ni kama mazingaombwe. Pia nimesoma historia kadhaa kuona kwamba nchi...
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Maendeleo Bank jihadharini na kampuni hii iliyopo Kipunguni, mtaumia!

    HIZI kampuni za kipunguni zinazojutangaza biashara za kuku na unga kabla ya kutoa mkopo.mjiridhishe ushauri tu
Back
Top Bottom