King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliofanyika Karatu Mjini umevutia umati mkubwa wa wananchi waliojitokeza kusikiliza viongozi wa chama hicho wakizungumza kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa na maendeleo ya nchi.
Likizo ya June inakaribia, watoto watakuwa nyumbani kwa wiki kadhaa hadi mwezi. Swali la kujiuliza ni hili: Je, unamjengea mtoto uwezo wa kuishi na kujitegemea au unaendelea kuamini kwamba kumnoa kwenye ufaulu wa darasani pekee utamtoa kwenye changamoto za maisha?
Ukweli mchungu ni kwamba...
Habarini wakubwa,
Poleni na majukumu. Nianze kwa kuomba radhi kwa nitakaowakwaza.
Mimi ni kijana wa miaka 27. Baada ya majaribio ya muda mrefu ya kutafuta mke kushindikana, nilikata tamaa ya kuoa kabisa na nikaamua kubaki single.
Baada ya muda, dada yangu alinipatia binti mwenye miaka 17 na...
Mjukuu wangu ananijuza, babu kuliko kuweka fedha bank na kununua hisa, Kwanini watu wasinunue Dhahabu na ardhi tu?
Nikafikiria nikataka kumjibu nikanyamaza. Kwa hiyo na mimi nawaulizeni ninyi
mananke mie si mtaalamu wa inflation....
Hiki ndicho kikosi ambacho watu wengi wanasema kuwa ndio kikosi bora kabisa cha Brazil cha muda wote.
kikosi hiki ndicho kilichobeba kombe la dunia mwaka 2002 huko korea dhidi ya timu ngumu ya Ujerumani kwa magnolia 2-0 yaliyofungwa na Ronaldo og.
Katika mashindani hayo Ronaldo akiwa katika...
Taarifa za kufuatilia mienendo ya ndege imeonesha Mheshimiwa Rais kaende Oman baada ya kutoka Russia.
Je kwanini kaenda huko bila kutoa taarifa? Je ndege ikipata hitilafu na ikatokea ajali huko, watatuambia nini sisi tuliomchagua?
Nilimsikia juzi anadai eti baada ya simba na yanga mtu anayeongoza kwa kutajwa ni yeye.
Niwaombe watanzania tukatae huu uzamani na mbinu za kienyeji kutatua matatizo ya watu. Huyu mheshimiwa ni mzito wa kusoma alama za nyakati. Hii mbinu aliitumia na kuipatia sana magufuli lkn hata hivyo...
Mheshimiwa Rais Vladimir Putin mnadhani hajui kilichotokea Oktoba 2025 lakini jibu ni simple tu. UKweli ni Kilichotekea ni sheria imefanya kazi yake na ndiyo maana kaungwa mkono na Mheshimiwa Rais Vladimir Putin .
Raisi Trump amesema anataka kukutana na Ayatollah Mojtaba ili wayamalize😂..
Aise dunia inaenda kasi, kuanzia tumewavuruga, mpaka kuomba kukutana na Mjuba mwenyewe, tutaona mengi sana.
Tulimcheka Mrusi anapelekeshwa na Ukraine.
Leo hii supa pawa wa wamarekani wa kwa mtogole anaomba poo🤣
Aibu....
Hii ni Shule ya Msingi KIBISI iliyopo katika kata ya Kyimo Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya na hii ndiyo hali halisi ya madarasa wanayosomea watoto wetu.
Pia soma:
~ Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya tupieni jicho Shule ya Msingi Kibisi, hii miundombinu sio rafiki
~ Halmashauri...
Ugonile,
Mimi ni mzaliwa wa miaka ya 90's, nimekulia kote kijijini na mjini kwa nyakati tofauti. kwa kijijini mtu ulikua na uwezo wa kufanya sensa ya raia ukiwa kibarazani kwako umekaa huku unatafuna karanga au mahindi ya kuchoma.
Katika kukua kwangu nikifanya ulinganifu wa idadi ya watu...
Kumekucha wazee?
Ni aibu na inaibisha mtu mwenye umri zaidi ya miaka 50 kungonoka na binti mwenye chini ya miaka 25.
Unaanzaje binti ambae ni sawa na mwanao wa mwisho ukawanae falagha eti kisa tu kataka mwenyewe kwa kishawishi cha visent vyako!?,
Hivi uoni aibu kumvulia binti yako nguo na...
Ghana wapo kwenye mchakato wa kupitisha Sheria ya kuwaruhusu wananchi wenye uraia nchi nyingine(diaspora) kuwa na fursa ya kugombea ubunge na kuwa na haki ya kuteuliwa nafasi ya uwaziri! Cha ajabu nchi yetu diaspora haruhusiwi hata kumiliki shamba kwenye nchi yake ya asili!
Hivi changamoto hasa...
Masturbation among birds is ‘natural’ and should not be punished, say experts
Study finds activity is not harmful or caused by stress of captivity – and is in fact more common in wild birds
Mon 1 Jun 2026...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.