hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Setfree

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo "CV" ya Judge atakayetoa hukumu

    Siku ambayo Judge atatoa hukumu imekaribia. Kuna watu wamejiandaa kushangilia, lakini wengine mioyo yao inadunda kwa hofu, kwakuwa wanajua ni wakosaji. Je, Judge huyu atatoa hukumu ya haki? Je, anaweza kuhongwa ili abadilishe hukumu? Wakati tunaisubiri siku ya hukumu, hebu tutafakari "CV" ya...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu alikusudia nini kuwahadaa wafuasi wake kwamba DCI, IGP na CDF ni miongoni mwa mashahidi wake kwenye kesi yake ya uhainna wakati si kweli?

    Kwasababu sote ni mashuhuda jinsi ambavyo DCI na mashahidi wengine ambao tundu lisu aliwadanganya wafuasi wake kwamba hao ni mashahidi wake na wangetetea uhalifu wake mahakamani, lakini cha kushangaza mashahidi hao wamemkataa na kujitenga kabisa na uhalifu wa mtuhumiwa huyo wa uhaini. Na hapa...
  3. Gunner11

    JamiiForums Tanzania 90s Rap: Ubunifu Dhidi ya Muziki wa Sasa

    Japo mimi na rap songs hazijaiva sana, Ila napenda sana kusikiliza 90s raps pamoja na wasanii wachache kama 1:Kanye west 2: Dax 3:xxx tentacion 4:j cole Ila muziki wa zamani hasa rap ilikuwa enzi hizo, watu walikuwa na akili hawakuwa mazombie wa siku hizi wanaimba vitu vya kijinga Kipindi...
  4. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Uchawi kwenye ujenzi wa majumba upo, umeshawahi kukutana nao?

    Kule kijijini kwetu Singida ukijenga nyumba nzuri, lazima ujipange kweli kweli kama ni mlonzi basi loga sana, kama ni mcha Mungu basi omba sana. Unaweza maliza nyumba yako na ukadanja ukaiacha, husda ni hatari kule.
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Fei ToTo ona aibu hii ya Azam 0-2 Simba. Huisaidii timu kwanini?

    Kuna watu wana bahati duniani. Hivi Fei TOTO ni wa kulipwa hela hizi zote, kwa lipi hasa? Simba walikuwa wanajichosha bure kumlilia Fei.
  6. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Wale wanaosema uchawi haupo, naomba mtusaidie kuitafsiri hii video. Tazama hadi mwisho

  7. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ni kama jalala

    Juzi nimenunua headphones za JBL nikauziwa bei ndogo sana, nilidhani nimewachapa ila kumbe ni copy na nilijua hilo ila nikikausha tu.. Hazina quality ya aina yoyote. Imenifikirisha sana. Nikiangalia product nyingi bongo ni kama tuna consume makapi tu. Hakuna ubora katika kila kitu...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kimsingi sijajipanga na hii El nino.

    Hamjambo! Kama mambo yataenda hivi yalivyo. Nikiri kwamba hali yangu itakuwa ngumu na mbaya sana. Pesa huna Chakula huna. Kazi haieleweki. Tumekwisha
  9. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nastahili Platinum Badge(JF staff someni hii)

    Kwa niliyo ya fanya JamiiForums nidhahiri mimi ni mtu maarufu na ninastahili platinum badge. Enyi mods nahisi mnatambua makubwa niliyo ya fanya, humu 1: Kuanzisha nyuzi ngumu Kumeza na kubaki katika majibizano bila kukimbia 2: kuonesha kuwa ukweli ambao wengi wanadhani ni sahihi unaweza kuwa...
  10. ugali dagaa

    JamiiForums Tanzania 30 ya bongo flava shikamoo Madee hii imeweza

    Congratulations kwa Ubunifu, mzee umeweza tamasha lilianza kama utani mpaka limekuwa la kimataifa aliyekuja na idea ya kumleta cheeks ndiye kamaliza kabisa mpaka wizard ya utalii Kupitia ttb nao wameunga tela Leo nimeona mnaelekea azania bank dah akili nyingi chukua maua yako
  11. Think2

    JamiiForums Tanzania Hii imekaje admisión status haisomi selected

    Nacte mifumo yao ina matatizo gani admission status mwanzo ilisoma selected kozi mionzi mbeya college leo admission status inarudi kwenye profile haionyeshi tena kama selected applicant
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama hii picha ni authentic, yaani huyu mwamba alikuwa haigizi basi maisha ni magumu sana aisee na mwamba amekataa kufa kikondoo

    Hakuna kilichokuwa promised kwetu wanaume, kila siku ni challenge mpya ya kutaka kuushinda uchungu na mateso kila siku ni presha mpya, kila siku ni vita mpya, kila siku mpya ni upinzani mpya.
  13. technically

    JamiiForums Tanzania Nawasanua nchi hii mpinzani wa kweli ni Lissu tu

    Hawa wengine ni waigizaji Kama mnabisha wakati utasema Hata Mange ni afisa muulize kwanini aliingia mitini kabla ya uchaguzi ? Huyu ndiye chanzo Cha watu kuuawa October 2025 . Yule pia wa bavicha ni afsa TLS ni afisa Kinatali pia ni afisa Makamo pia ni afisa Katibu pia ni afisa...
  14. RSM Dominik

    JamiiForums Tanzania NIIWEKEZE KATIKA NAMNA GANI IONGEZEKE HII PESA?

    Wakuu mimi kama kijana ninayechipukia katika kuelekea njia ya mafanikio nimejibana bana account yangu ya mpesa ina laki tano, kama mjuavyo nikisema niidumbukize yoote katika biashara ni kama kuBET japo naweza kuotea pia, kwa sasa sijapenda kuanza biashara moja kwa moja hivyo naomba mnipe idea...
  15. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Lema ni moja ya wanasiasa wa hovyo sana nchi hii imepata.

    Kwa hii sentensi yake moja tu,huyu jamaa ni mtu wa hovyo sana,anasema "Makamu Mwenyekiti alirudishiwa passport yake baadq ya kuongea na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa,ila yeye anasema alirudishiwa na Mwanasheria wa Chama,kwa hiyo issue sio Watanzania ila yeye Lema hajapewa passport na mkurugenzi...
  16. 650

    JamiiForums Tanzania Dah Jamaa kaua sanaa kwenye hii edit

    Nimepita TikTok nikakutana na jamaa ka edit hii https://vt.tiktok.com/ZSqHasTgt/ Jamaa kaua sanaaaaa
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Mungu Ndie Muumba wa Dunia Hii, Inawezekana ni Shetani Ndie Mtawala wa Dunia Hii?, Haiwezekani WaKweli Wana Sulubiwa Huku Mungu Anaangalia Tuu!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kumtafakari Mungu, kuna maswali nimekuwa najiuliza kumhusu huyu Mungu wa Wakristo na Waislamu ambaye ni Mungu Mmoja,Mungu wa Ibrahimu na wanae Ismail na Isaka,na sheria ya Mungu kwa dini hizi mbili ni sheria ya moja ya Musa, ambaye japo ndie Muumba wa dunia hii...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Siasa za ROT zimenishinda nguvu. Leo hii mtu anabizwa, kesho anatoa pongez, kesho kutwa anatoa pole, siku zijazo wanaungana, siku zifuatazo wanaachana

    Hakuna tumaini la mnyonge katika hili bara la afrika. Its a circous.
  19. The Lisova

    JamiiForums Tanzania Hii video huwa inanifikirisha sana

    Hiyo video ilisambaa sana mwaka jana wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Ukikutana na wahitaji halisi usisite kuwasaidia, hasa watoto. Maisha ni magumu sana kwa walio wengi. Mshukuru MUNGU kama una uhakika wa kupata mlo kamili wa siku.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mdada unaolewa huwezi kupika wala kufua kiafrika, hii imekaaje?

    Mgonile wadau, Mdada anakuja kwako kukusalimia ,umeandaa vyazi nyama na mazagazaga kibao unajua Leo umempata mtu WA kupika chakula kizuri. Anakuambua agiza chakula yeye hawezi pika anatoa visingizio kibao kumbe hawezi kupika Unampeleka binti kwenu , mtihani wakwanza mama anamwambia ampikie...
Back
Top Bottom