Olivia olivia
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,659
- 3,942
Sq merter 514 mkoa wa PwaniUkubwa wa eneo lako? Unajenga mkoa gani?
Modify hiyo varanda hapo mbele, ianzie mwisho wa wa hizo Kona za Sitting na dinning ..halafu nguzo zitasogea mbele unaongeza kama 120Cm tu 🤗🤗Lakini niliipenda hii zaidi first, ila hii varanda la mbele ndilo sijalipenda kabisa limekaa vibaya
Sawa nitamwambia hiviModify hiyo varanda hapo mbele, ianzie mwisho wa wa hizo Kona za Sitting na dinning ..halafu nguzo zitasogea mbele unaongeza kama 120Cm tu 🤗🤗
Mimi nimeitoa kwenye page yake mwenyeweMbona unaweka kazi ya watu yenye vipimo kamili jukwaani?
Watu wataiba haki ya wasanifu.
SawaMimi nimeitoa kwenye page yake mwenyewe
Kwahyo aliyeweka hadharan ni yeye mwenyewe hizi picha ziko hadi pinterest ndo nilikozitoa lakini kwenye ukurasa wake instagram na facebook kote zipo
Na mimi nitanunua huko kwake kwasababu napenda raman zake pia
Ramani nzuri ila mimi binafsi sipendi sitting room ikae katikati ya nyumba. Sitting room inapendeza iwe pembeni ili iwe na angalau madirisha pande 2 kama sio 3.Before sijaenda kuilipia niambieni mapungufu yake ? Ili yarekebishwe
Idea nzuriRamani nzuri ila mimi binafsi sipendi sitting room ikae katikati ya nyumba. Sitting room inapendeza iwe pembeni ili iwe na angalau madirisha pande 2 kama sio 3.
Ni kweli ikae pemben kwenye konaRamani nzuri ila mimi binafsi sipendi sitting room ikae katikati ya nyumba. Sitting room inapendeza iwe pembeni ili iwe na angalau madirisha pande 2 kama sio 3.
hii iko vizuri zaidi, hiyo veranda waionganishe mwanzo mwisho kusiwe na vichochoro vitaharibu shape ya paaLakini niliipenda hii zaidi first, ila hii varanda la mbele ndilo sijalipenda kabisa limekaa vibaya