hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali hii haijali maisha yetu kabisaa

    Kama baba na mama wanakula na kulala vizuri halafu hawajui kabisa watoto wanakula Nini au wamekula Nini, hiyo familia inakuwa ni kama yatima tu Haiwezekani siku mbili hakuna umeme nitaishije Mimi kama maisha yangu yanategemea umeme kila siku, Halafu mnajiita viongozi mnakula na kulala vizuri...
  2. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kuhamisha viongozi waliofeli inazidi kuturudisha nyuma kimaendeleo

    Kuna tabia moja imekuwa inanishangaza sana kwa muda mrefu kuhusu uongozi wetu wa hii nchi. Sijui kwanini tupo hivi ila unakuta kiongozi wa serikali mfano amefanya mambo ya ajabu wizara flani baada ya kugundulika eti ana hamishwa ile wizara anapelekwa wizara nyingine. Mfano mwingine, Unakuta...
  3. JamiiForums Tanzania Fundi simu anayeweza kunirekebishia hii simu anicheck

    Simu ni LG G8 thinq Ipo locked na mtandao wa China Unicom. Ukiweka line za Bongo inashika tu 4G muda wote(Hivyo huwezi kupiga simu wala kupokea message). Except kwenye airtel ambapo ukiweka itashika 4g kama kawaida ila ukipiga simu itajishisha kuja 3G na ukimaliza itarudi 4G. Mitandao...
  4. JamiiForums Tanzania Hii picha katika Ajira Mianne kugombea na watu Elfu hamsini na sita sio mchezo !

    Inafikirisha Sana siku ya usahili (TRA) you can't imagine
  5. L

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kufahamu hii movie

    https://www.instagram.com/reel/Cxuu2Oesp7c/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ== Anayefahamu hii movie yenye hiki kipande kwenye link naomba anitajie nipakue
  6. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kennedy kutenguliwa siku moja baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Wizara nyeti ya Mambo ya Nje kuna shida katika "Vetting" za Viongozi?

    Juzi Mhe. Rais Rais alimteua Prof. Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki). Ijumaa tar. 1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa lakini jana usiku...
  7. JamiiForums Tanzania Mchoro huu unahusu chama gani cha siasa?

    Nikiwa nafuatilia siasa za Tanzania na hata za east africa, huwa nazingatia zaidi tones, emotions, body language, color ya dress code ya muhusika, colar ya background au mapambo ya jukwaa au ukumbi wa mkutano na mwishowe nakua makini kuwazingatia watu wa karibu walioambatana na mwanasiasa...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume kwenda kwenye shughuli zao na vinjunga (bukta fupi) haipendezi

    Mwanaume ni sifa, mwanaume ni kiongozi ebu ifike hatua wanaume tujitambue na tutambue nafasi zetu katika jamii. Hii tabia ya wanaume kuvaa vinjunga inaniboa sana, yaani sasa hivi kuvaa vinjunga kwa Dar inakuwa fasheni et kama leo asubuhi nimeshangaa sana mtu tumeshinda nae street asubuhi...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini nchi hii viongozi wanauliwa pasipo uchunguzi? Ninaagiza uchunguzi huru kifo cha Rev. Mtikila

    September 15 mwaka 2010 Mwanabodi Pascal Mayalla walikutana na mchungaji mtikila ambaye alimuhadithia mazingira ya kifo chake yatakavyo kuwa na muhusika na detail zote. Mtikila alirekodi audio ya matukio haya na aliripoti hata polisi kutoa taarifa. Naomba niweke hapa uzi huo ili ujisomee...
  10. JamiiForums Tanzania Ni sound track gani kali kuipita hii?

    Zipo nyingi ikiwamo furaha iko wapi ila hii naipenda zaidi https://youtu.be/1ecD4YhxBFs?si=9gt_nHJi2_zprqit
  11. JamiiForums Tanzania Kwenye mahusiano, hii inamaanisha nini?

    Unampigia simu, hapokei. Unatuma ujumbe wa maandishi, hajibu Hii inamaanisha nini wakuu?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dunia hii vilaza ndo wanafanikiwa, wenye akili wanaishia kufa kwa stress

    Hebu angalia teuzi nyingi za siasa hapa tanzania wengi wamesoma masomo ya Sanaa i.e hgj, hgl, hgk nk. Nakumbuka wakati tupo secondari ikionekana unsoma masomo hayo kila mtu anakudharu na unaonrkana booonge la kilza. Tuliyokuwa tunaonekana na kila mtu anatuheshimu na kitupigia salute ni wale...
  13. JamiiForums Tanzania Hii nchi nikajua ambao hawapo serious ni Tanesco kumbe hadi matapeli wanasahau majukumu yao😂😂

    Dada alivo mjibu anatoa jicho tapeli kasahau hadi kutapeli na nina uhakika yeye ndo katapeliwa
  14. JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakipo sawa katika hii Mitanadao... Ni kama wote tunalazimiswa tuwe 5G..

    Sijui kama hili naliona mimi peke angu.. Ila kuna upumbavu mkubwa unaendelea.. Uzi.
  15. JamiiForums Tanzania Hii irudiwe au vipi wekeni hoja mchanganyiko

  16. V

    JamiiForums Tanzania Mnaoishi Gheto pitia hapa mfaidi.

    Kama mjuavyo Shemeji yenu nimempa likizo (ban) akajitathimini kama ndoa inamuhusu au ina wenyewe. Sasa Kuna mambo nimekuwa nikiyafanya maghetoni nimeona niwashirikishe masela labda itawafaa kusevu muda na kurahisisha maisha. Kwanza kusonga ugali siku mbili za mwanzo nliona kama adhabu ya kifo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nchi inaharibiwa sana na utawala wa awamu hii

    Nazungumza hili nikiwa na hasira kidogo, kwa wale tunaofanya biashara tuwe wakweli awamu hii tunaombwa rushwa kinguvu na mafisa wa serikali, jana nilikuwa napambania passport ofisi za uhamiaji, kilichonishangaza ni kijana mdogo tu ananiambia" bros ukitoa kama laki mmoja mimi nakupambania...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha

    wanasema ukiyajua matatizo yako bàsi unaenda kupona. Lakini kwangu ni tofauti mimi ni mama wa watoto 2, baba wawili tofauti... Ninatatizo sijui linatokana na nini na ni hali ambayo kwa sasa nimegundua ninatatizo na najichukia lkn siwezi kujicontrol 2013 niliolewa na kijana mzuri anakazi nzuri...
  19. JamiiForums Tanzania KERO Responded Kero hii ya foleni Bandarini kwa abiria wanaotokea Zanzibar itaisha lini?

    Mamlaka husika piteni hapo Bandarini abiria wanaotoka Zanzibar wanakutana na kero ya kukaa kwenye foleni kwa muda mrefu sana hadi inakera. Hali hii imekuwa ikitokea mara nyingi lakini nimeona niseme ili kama ujumbe huu utawafikia mamlaka basi wabadilishe mbinu na ikiwezekana wachukue hatua...
  20. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili ubaguzi wa aina hii uondoke? Je, Afrika tunaweza jitegemea?

    Habari JamiiForums, Katika pita pita zangu nimebahatika kukutana na hii clip, hii clip inaonyesha mabinti wadogo wakipewa medali na miongoni mwao alikuwepo binti mwenye asili ya rangi nyeusi akarukwa na mpaka mwisho hakupewa. Binafsi huwa siamini sana kama rangi nyeusi tunaonewa ila naamini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…