Kwa wataalamu na wazoefu mliomo humu, naombeni ushauri wenu. Katika miche zaidi ya ishirini, miwili imeonesha kutokuwa sawa:
1. Kasi ya ukuaji imepungua, kama inataka kudumaa
2. Majani yamejisokota kidogo
3. Ina kama ukungu mweupe hivi kwenye shina
Mwanzoni nilifikiri imezidishiwa mbolea...