hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hakuna watu waoga dunia hii kama waarabu na jamii zao

    Kwema Wakuu. Hii ni kwa mtizamo wangu, muono wangu, kila nitakachoeleza kitatokana na uelewa wangu kuhusu vile ninavyowajua Watu na binadamu. Yeyote anaweza kunipinga kwa hoja na kulingana na mtazamo wake. Nachelea kusema kwenye huu ulimwengu, hakuna Watu waoga kama waarabu. Ninasema hivyo kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimecheka kwenye hii video mpalestina alivyofurahi Waisrael kuvamiwa na sasa analia

    Tarehe 07/10 huyu mwarabu mpalestina alishangilia Allah Akbar Allah Akbar maroketi yalivyokuwa yakirushwa Israel na kupeleka vifo, majerehi na kutekwa kwa wateule. Allah is nowhere to be seen kala kona.
  3. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya mashabiki wa WCB inanikera sana

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna hii tabia very chronic kutoka kwa mashabiki na machawa wa WCB ya kuhusianisha kila kitu na streaming numbers ili kujustify ujinga wao. We all know kwamba Diamond huwa anaiba na kusample ngoma za watu wengine. Sasa watu wakimchana Diamond ukweli mashabiki...
  4. JamiiForums Tanzania Hukumu hii ingetolewa nchi za Kiarabu ingekuwaje?

    Amani iwe juu yenu! Ebu jaalia kama hii hukumu ingetokea nchi fulani za kiarabu ,je maoni ya watu dunia nzima ingekuwaje? Jamani sio kwa ubaya ila hukumu inatokana na sheria husika zilizowekwa bora kufuata sheria bila shuruti.
  5. JamiiForums Tanzania Binti wa dukani alitafutiwa kazi hii kwa taabu sana ila cha ajabu hajamaliza hata mwaka ana mimba, Ntalaumiwa nikiweka binti mwengine?

    Binti alifika dukani mwezi wa kwanza mwaka huu, Ni binti ambae sijawahi kuwa na tatizo nae kasoro hivi karibuni Siku ya ambayo duka halifunguliwi / mapumziko huwa ni Jumapili lakini kwa sasa hali imebadilika, Kwa takribani wiki 5 mfululizo zilizopita ni lazima siku moja wapo kati ya Jumatatu...
  6. JamiiForums Tanzania Hii ndio njia bora kabisa ya kudili na watu wanaokusengenya

    Ukiona watu wana kusema sababu huwaga ni 2 tu 1: they don't have the access or the privilege to talk to you. 2. They have lose the privilege to talk to you. So the only option which they have is to talk about you behind ur back. So how do you deal with it? Kama wewe ni muhanga wa kusengenywa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume waliowahi date na wanawake wenye shape hii mje mnipe uzoefu

    Aloo nikimpata mdada mwenye shape kama hii hata million 2 kama ninayo natoa, sio kwa mzigo huu, eti wazee mzabzab mshamba_hachekwi Mzee wa kupambania
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hufa kabla ya wakati wao kwa sababu ya laana kutoka kwa wazazi

    INTRODUCTON. Salaam, Shalom!! (Kutoka 20:12) says: WAHESHIMU BABA YAKO NA MAMA YAKO, ILI SIKU ZAKO ZIKAWE NYINGI KATIKA NCHI UPEWAYO NA BWANA MUNGU WAKO. Leo naandika mada hii nikiwa na Sina furaha sababu Mimi Rabbon pia ni Mwanaume. Wanaume tulipoambiwa tuishi Kwa akili na wake zetu, au na...
  9. JamiiForums Tanzania Hii Mizani ya Magari makubwa(weight bridge) hapa Makambako imekaa eneo baya sana

    Wakuu hapa Makambako Kuna mzani wa Magari makubwa, kwa kweli hii mezani imewekwa eneo la ovyo sana,, eneo ni finyu halina mzunguko mzuri wa magari, Mabasi, magari madogo na Malory yanaishia kuviziana tu ili yapishane,, hii inaweza kupelekea ajali kabisa,, Wahusika sijui(TANROAD) fanyeni...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Umaskini, madeni, ukata, mifuko kutoboka, uhitaji, kufilisika hii hapa!

    INTRODUCTON. Leo naongea na wote wenye uhitaji wa pesa, Kila mpango wako kupata pesa umekwama, Naongea na wote wenye ukata wa pesa, walioajiriwa na Wana mishahara lakini wanadaiwa Kila Kona, mshahara hautoshi. Naongea na wenye biashara ndogo na za kati ambao wanafanya juhudi zote kujitoa...
  11. JamiiForums Tanzania Nionyeshe picha kama hii kutoka msimbazi niwaonyeshe mbuzi anayetaga

  12. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Goba & Salasala tutakufa kwa magonjwa ya mlipuko kwa huu upuuzi kujaza na kuziba makorongo kwa takataka.

    Habari zenu wakuu. Aisee hii ni hatari sana karibia kila mtu aliyenunu kiwanja maeneo yenyewe makorongo ni mwendo wa kuziba kwa takataka kuanzia Salasala, Kinzudi, Majengo, Marobo, Mivumoni, Goba na Madale imekuwa kama fashion vile. Unakuta mtaa mzima unanuka harufu ya dampo na mainzi kama tupo...
  13. JamiiForums Tanzania Ikulu mnaalika watu wenye heshima kijanja kisha mnawazodoa

    Kitendo hiki ni cha aibu sana na kinashusha heshima ya Ikulu yetu. Nina uhakika Mheshimiwa Rais hakufahamu njia zilizotumika na ratiba ya mambo ilivyo pangwa. Juzi kulikuwa na hafla ya kutia Saini mkataba wa Bandari. Baadhi ya watu mashuhuri na wengine kutokea TEC akiwamo Fr. Kitima walialikwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kweli betting imekuwa janga maana hata pro athletes wameanza kuhusishwa na issue hii

    Kuna addiction flani ukishiingia katika betting inakushikilia na haitakuachia hivi hivi no matter we ni tajiri kiasi gani. Recently wacheza mpira maarufu wameanza kupigwa suspension ndefu kutokana na wao kujihusisha na betting. Mtu anaweza kuchomesha team ili tu apige kibunda. Vijana mtaani...
  15. JamiiForums Tanzania Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?

    Na eneo walilokuwa wanadili nalo ni kuanzia Ukwamani hadi Kanisani na MP ndiyo walikuwa Wengi huku Wakikamata Watu ( hasa hasa Vijana Wahuni ) wa maeneo hayo. Ila kama nilichokisikia ni kweli Kwanza nitoe Pole kwa Mhusika na Taasisi yake ila Niwaase pia Vijana ( hasa Waendesha Bodaboda na...
  16. JamiiForums Tanzania Tazama video hii ya maajabu kisha niambie ni sayansi gani imetumika hapa

    Hii video ya ajabu nimeiona leo kwenye mtandao wa kijamii wa tik tok yani imekuja yenyewe embu tazama mwenyewe kisha jiulize inawezekanaje au ni huu ni Uchawi nini ndugu zangu.
  17. JamiiForums Tanzania Hii ni mojawapo ya filamu za bei ghali zaidi za filamu zisizo na sauti za wakati wote

    Hii ni mojawapo ya filamu za bei ghali zaidi za filamu zisizo na sauti za wakati wote. Video hii ya upigaji picha kutoka kwa Buster Keaton "The General" (1926) iligharimu $42,000 (sawa na $600,000 leo). Kampuni ya uzalishaji iliacha mabaki ya gari-moshi huko Row River, kusini mwa Cottage Grove...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Habari zenu, Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia: "Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya...
  19. JamiiForums Tanzania Ni hatari hii kachabalo, sijui wanakuwa wanajisiakiaje ila unaona kabisa wana enjoy

    katika kuchakata kwangu wanawake zaidi ya 70 (si wengi sana) ambao nimewahi wasababisha watoe maji mengi /wamwage ni wanawake 13 tu. wengine walikuwa wana come kawaida ila hawamwagi maji. nliamua kuanza fanya utafiti shida nini kwa wengine. nligundua kuwa 1. vyakula vinachangia sana 2. maumbile...
  20. JamiiForums Tanzania Kuwa na mzazi wa namna hii ni zaidi ya kero

    KUWA NA MZAZI WA NAMNA HII NI ZAIDI YA KERO. "NIMEKUBALI LAANA YA BABA" Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna kijana mmoja tumekuwa tuliwasiliana Kwa takribani mwezi sasa. Amekuwa akiniomba msaada wa ushauri wa namna ya kukabiliana na yale yanayomkabili ambayo kwake anayaona kama ni matatizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…