Tazama video hii ya maajabu kisha niambie ni sayansi gani imetumika hapa

badison

JF-Expert Member
May 29, 2015
1,450
2,702
Hii video ya ajabu nimeiona leo kwenye mtandao wa kijamii wa tik tok yani imekuja yenyewe embu tazama mwenyewe kisha jiulize inawezekanaje au ni huu ni Uchawi nini ndugu zangu.

Ameweka kadi aina sita .akasema chagua moja .Kisha kakarudisha zote mpya na kuweka gape moja akijidai uloiona haipo .kimsingi zote za kwanza hazipo karudisha zingine zote mpya .hakuna sayansi ni ulaghai
😝
 
Hii video ya ajabu nimeiona leo kwenye mtandao wa kijamii wa tik tok yani imekuja yenyewe embu tazama mwenyewe kisha jiulize inawezekanaje au ni huu ni Uchawi nini ndugu zangu
Ndio maana mnaotapeliwa hamuwezi kuisha, maana hampendi kutuliza akili.
 
Ameweka kadi aina sita .akasema chagua moja .Kisha kakarudisha zote mpya na kuweka gape moja akijidai uloiona haipo .kimsingi zote za kwanza hazipo karudisha zingine zote mpya .hakuna sayansi ni ulaghai
Angalia tena Mkuu mim mwenyewe mpaka sasa sijaelewa hiyo tricky
 
Angalia tena Mkuu mim mwenyewe mpaka sasa sijaelewa hiyo tricky
Wewe ndio unapaswa kutuliza kichwa, alaf angalia tena.

Labda kwa kukusaidia, video ikianza kuplay, pause kidogo Kisha nakili pembeni karata zote zilizopo. Play tena, akishaondoa karata moja, pause tena, angalia karata zilizobaki alafu linganisha na ulizonakili mara ya kwanza.
 
Kwanini nikichagua namba ya karata inapotea nyingine zinabaki?
 
Kwanini nikichagua namba ya karata inapotea nyingine zinabaki?
Tatizo akili yako imeshachotwa, unalazimisha kuamini kitu ambacho hakipo.

Kwenye hiyo video, karata za mwanzo zipo tofauti nazinazofatia. Kitu ambacho anakuchanganya nacho, ni kitendo cha kubadili karata, ila anaacha namba ziko vile vile, mfano anatoa 10 ya mavi, anaweka 10 ya kopa.

Karata za mwanzo ni 9 ya kopa, 2 ya kopa, 10 ya mavi, 7 ya kisu, 3 ya jembe, 4 ya mavi. Lakini karata za mara ya pili ni 10 ya kopa, 9 ya mavi, 5 ya kisu, 7 ya jembe na 5 ya mavi.

Ukitaka kuona hakuna maajabu, jaribu kufikiria karata hata 4, then zote utaona zinapotea. Hapo hata ukifikiria karata 6, pia zote utaona zinapotea.
 
Back
Top Bottom