hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kumblock nani mazima mpaka leo hii hujamu unblock lakini pia hufikirii kumdelete

    Kwanini ulimblock, lakini pia ulimdelete au kumu-ignore kabisa kwenye mitandao ya kijamii? Ni baada au kwasababu ya kupishana, kutofautiana au kushindwana kimahusino mathalani ya kimapenzi, kibiashara, hoja za kisiasa au kijamii, ubishi au msimamo wake kuhusu Jambo fulani n.k Na Je, hiyo...
  2. Codehood

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii Afrika kuja kujitegemea ni ngumu sana

    Prof. Michael Hudson Mchumi kutoka Marekani anasema kuwa sababu zinazopelekea deni la Afrika kuwa tofauti na la Marekani ni kwasababu deni la Marekani lipo katika sarafu yake (Dola) Hivyo Marekani inaweza kujichapishia fedha zake na kulipa deni lakini Afrika deni lake halipo katika sarafu...
  3. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Wanaoifahamu Zanzibar, hii mvua imewahi kutokea lini??

    Najua hapa hawakosekani wakongwe wa Zanzibar, hata kama hukuwepo wakati huo basi kwa namna moja ama nyingine utakuwa ulihadithiwa ama kusimuliwa! Hii mvua kubwa iliyoanza leo saa saba usiku kwa kiasi kilekile mpaka saa hizi saa tano asubuhi haijakata iliwahi kunyesha lini?? Nitoeni hofu...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Picha kali ya wiki hii hapa, Maandamano ya CHADEMA Kahama

    Hii hapa ni Picha kali ya wiki hii iliyochukuliwa kwenye Maandamano ya CHADEMA huko Kahama . Wengi wanadhani Polisi wanakuja kwenye Maandamano haya kwa sababu ya Kikokotoo, lakini mimi napinga, na naamini Polisi wanakuwa kwenye Maandamano haya ili kutimiza majukumu yao ya Ulinzi na Usalama.
  5. Yofav

    JamiiForums Tanzania Hii video ameipost msanii Roma. Je, una maoni gani kuihusu?

    Ila huyu mzee sijui mzee nani maana kanyooka kama rula😁 Mwishoni anakuambia "🗣️ Aaaah Chakula safiii, Chakula safiii Aaah Chakula safi kabisaaa😁"
  6. G

    JamiiForums Tanzania FIFA wanaua soka, Kila timu inayoshiriki kombe la dunia la vilabu kupewa takribani shilingi bilioni 130, Mpira wa Afrika unaenda kuwa farmers league

    Hasa hapa kwetu Afrika kwenye timu ambazo hazifiki hata asilimia kumi ya hicho kiasi Unazipa timu bilioni 130 kwa kushiriki kombe la mwezi, inakuwa ngumu sana kwa timu zenye bajeti za bilioni 8 kushindana na hao wanaopewa mizigo mizito. Vuta Picha leo hii hata Mtibwa kavuta hicho kiasi, Yanga...
  7. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Hii ni kitu gani kwenye treni hii ya kisasa?

    Je, hizi ni carrier ( keria) tulizozoea kuziona kwenye mabasi ya zamani kwa ajili ya kubebe mizigo? Au ni kitu gani? Maana sote tunafahamu kwenye treni za kisasa hakuna hivyo vitu juu, huenda ni future technology! Kama ndivyo baai napenda kutoa pongezi kwa hatua hii kubwa! Muonekano wa...
  8. kajamaa kadogo

    JamiiForums Tanzania Msomi wa degree mbili kagongwa na gari hii inawezekanaje ?

    Huu uzito wa ukoloni sijuhi ulikuwa ni mzito kiasi gani mpaka kufanya mswahili kuchukua kabisa lugha yake nzuri ya kiswahili. MADA Jana nilipokea taarifa za kusikitisha sana ambazo zilinipa sonona taarifa ambazo ni mbaya, msomi tena wa degree mbili amegongwa na gari na kufariki papo hapo...
  9. Trainee

    JamiiForums Tanzania Kusajili laini mnaniletea wakala ananifuata mpaka vichochoroni lakini kufuta usajili mnaniambia nifike dukani kwenu! Hii siyo sawa!

    Halafu kuna mitandao ukipiga ile mia na sita ukaenda angalia usajili inasoma namba na jina lililosajili namba hiyo bila kuambiwa uweke nida! Hii nayo si sawa
  10. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania Hii advertisement imenichekesha sana

    Kulikuwa kuna haja gani ya kuweka picha ya mwanamke mweny matrako makubwa kweny tangazo la mikopo. Hadi matangazo ya mikopo yanakuwa sexualized🔥🔥
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii ni moja ya sababu ya mafanikio ya alonso msimu huu

    Attack Attack Attack
  12. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Emergency fund: Unatumia njia ipi kujiwekea aina hii ya akiba?

    Nimesoma vitabu na kusikiliza hotumbq mbalimbali youtube na machapisho kadhaa ya uchumi binafsi ( personal economy) nimeona wote wanasisitiza mtu kuwa na EMMERGENCY Fund. Hiki ni kiasi ambacho umekitunza kiko standby kwa lolote litakalokupata ghafla. Kama ni mfanyabiashara au muajiriwa ni kiasi...
  13. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Unadhani katuni hii inamanisha nini mdau?

    Eti mdau umeelewa nini kutoka kwenye katuni hii?
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kwenye soka Mhhindi hawezi kushindana na Muarabu. Kwa hali hii Yanga mpaka 2030

    Muhindi anachungulia sana pochi na akiweka mzigo mkubwa ujue ni malengo ya kibiashara mfano kuinunua timu moja kwa moja. Hebu ona haya klabu maaruufu waarabu wanaweka mizigo ya maana, wana mapenzi makubwa na pira.
  15. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Hii vita ya Mwanadamu na Shetani haina usawa na haki

    Hapo vipi? Awali ya yote nadeclare yakwamba ni kisasi cha milele na shetani na lazima nitalipa kisasi juu yake. Nije kwenye mada husika ya kwamba ninaposema hii vita kati ya mwanadamu na shetani sio sawa na haki ni kwasababu zifuatazo. 1. Vita hii mwanadamu ni kiumbe ambacho kwa namna...
  16. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mzee Kinana, kama mapato yameongezeka awamu hii, hawa DP World wanafanya nini nchini

    Nimetumia jina la DP World kujenga kichwa cha habari. Hivi juzi Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara amenukuliwa na media akibariki pambio inayotumiwa na chawa kwamba Awamu ya 6 imefanya mambo mengi ya mafanikio. Kikubwa alisema kuwa mapato ya serikali yameongezeka maradufu kuliko awamu zote...
  17. Pua ya zege

    JamiiForums Tanzania Msaada kujua title ya movie hii

    Kuna movie niliangalia miaka mingi kidogo kama 25 iliyopita kuna kijana alimchumbia mwanamke aliyekuwa na uhusiano na baba yake nafikiri yule mchumba wake alikuwa anafanya kazi ofisi ambayo baba yake huyo kijana alikuwa akifanya. Sasa mwisho wa siku kuna watu walimlengesha yule kijana bila...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada hii dawa naweza ipata wapi? Kwa hapa Dar na inauzwa bei gani?

  19. D

    JamiiForums Tanzania Hii nafasi ya tatu haimponyi Simba!

    Ni sawa na kusema Maiti imemng'ang'ania muoshaji.
  20. Ritchy Breezy

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kukutana na hii hali?

    Habari za muda huu,ndugu zangu simba fans tujipe pole najua Wengi haijawaumiza kihivyo sabu kushinda mbele ya yanga hii ilivyo sasa lilikua jambo la kubahatisha..all in all timu imecheza vizuri,makosa ya mchezo wa mpira ndo yameamua mechi. Twende Kwenye mada: Kwenye Maisha yako ushawahi...
Back
Top Bottom