Wenye Tafsiri ya video hii tafadhali

Huyo aliyechana karatasi ni yule aliyewahi kuwa waziri ndugu T.Kamani,hapo ulikuwa ni uchaguzi wa ndani wa kumpata mgombea ubunge wa jimbo la busega ambapo ndugu chegeni alimbwaga mheshimiwa kamani,akiwa waziri enzi hizo,huwa nasikia hawa kamani na chegenI ni ndugu,mmoja wa shangazi mwingine wa mjomba


Kwa sasa jimbo la busega liko chini ya mbunge Songe,ambaye sina uhakika kama tarudi bungeni kama mama hataweka mkono wake,wanachi na wana ccm hatumkubari sana songe huku jimboni
 
Back
Top Bottom