hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video, Haaland akijiogopa baada ya kujiona kwenye kioo

    Wakuu hii video ni halisi huyu ni Haaland kweli?
  2. JamiiForums Tanzania Hii nchi vipi, imekuaje Kila Kona ni malalamiko na vilio?

    Aisee imekaaje hii, mbona Kila kitu kimekua hovyo. Vilio Kila Kona imekaaje hii?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Chadema kuweni macho sana, elevate security alarm/alert to 100%. Hii ni missed target!!! MOST LIKELY!

    Hii ni missed target. Hakuna bahati mbaya. Alilengwa mtu akidhaniwa labda amebadilishana chumba na dereva wake kwa ajili ya tahadhali kama mbinu za kiusalama! Target ikawa missed! Mpeni ulinzi makamu mwenyekiti hata watu 20 all time..Kama kumuua waue na watu Hao 20.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Tafsiri yake sahihi ni ipi? TLS inasimamia lipi?

    Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimetoa shukrani zake za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia magari mawili (Toyota Land Cruiser Hardtop) yatakayorahisisha utekelezaji wa majukumu ya Chama hicho. Makabidhiano hayo yamefanyika leo...
  5. JamiiForums Tanzania Hii ni “allergy” au ugonjwa gani?

    Jana nilala mchana kidogo kama dakika 20 gafla nimeamka nakuta mdomo umevimba upande wajuu uliobeba meno ya mbele! kama nimepigwa ngumi au kung’atwa na nyuki! Leo tuna hapa napoandika nimesinzia kama dakika 10 tuu naamka tayari umesha vimba tena zaidi ya jana! Ushauri tafadhali..!
  6. JamiiForums Tanzania Je, Hii ni Fact au Propaganda?

    https://www.instagram.com/reel/DaHsxMctAak/?igsh=c3h5cnhudHc2aGdw N.B: Mimi sikubaliani moja kwa moja na hili suala.
  7. JamiiForums Tanzania Hudumieni wake zenu

    Wakuu mliooa hudumieni Hawa wake zenu.Huku nje wanaomba omba mno pesa
  8. JamiiForums Tanzania Kama kupata hela ni rahisi kiasi hicho, watu wote wangekuwa mabilionea, Shtuka!

    Mtu anae bet always anakuwa na pressure na msongo wa mawazo Bora hizo buku buku uzichange upate mtaji..ufungue ata genge la kuuza nyanya.
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Wamelipwa ili wawapeleke Vijana wa kitanzania Barabarani na Wameleta watu wa kuwapiga hao vijana ili ionekane ni serikali

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 27, 2026 akizungumza na wananchi wa Ikungi, Mkoani Singida amesema Pia soma > Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote Kuna watu wanataka kuwatumia vijana wa Kitanzania kwa maslahi yao binafsi. Kama serikali ambayo tuna wajibu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je hii ni picha halisi?

  11. D

    JamiiForums Tanzania Tuone Uwajibikaji Kwenye hii National Blackout

    Ifike mahali tuanze kuona uwajibikaji nchini kwenye mambo ya aibu kama haya ya National blackout concerning umeme wa gridi ya taifa. Emergency response system ya matatizo ya kimiundombinu kama haya yaliyotokea ilipaswa iwepo. Hatuwezi nchi nzima tukakaa saa 3 bila umeme na watu wapo tu...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii siwezi kuiamini VAR inayoongozwa na binadamu. Goli la Iran ni halali kabisa

    cha kushangaa ili ionekane ni offside anaonyenyeshwa mwenye jezi no. 9 wakati kule mwisho kuna mchezaji mwingine wa Misri. Jamani hii offside kivipi au mimi ndio sioni au sijui? Wachambuzi karibuni mnieleweshe hapa mana tutakesha. Nashukuru sana naona media kubwa imeona kama nilivyoona mimi...
  13. I

    JamiiForums Tanzania anae weza kuandaa hii ramani njoo fasta

    hii ramani nimeipenda ila inamaboresho kidogo nilihitaji mtaalam aiweke kwenye vipimo pamoja na 3d ikiwa bila BOQ. vitu vya kurekebisha ni hapo kwenye kuiondoa dinning ibaki vyumba vitatu kimoja master na choo cha jumuia na jiko iwe ya hidden roof njoo na bei tuongee
  14. JamiiForums Tanzania Hivi mnajua hii hali kunyamaziana kujifanya tunalinda 'brand' tunapoteza watu sahihi sema tu hatujui?

    Mimi na demu wangu wote tunalinda brand hakuna anayemtafuta mwenzie tunaishi kuangalia status😂😂🙌 dah kweli hapa za kichwa tu vp wewe ndugu yangu hali yako uko…
  15. G

    JamiiForums Tanzania Je hii ndo Sheria ya vyama vya siasa na je hiki kipengele Cha namba E ndivyo kilivyo ??? Ni swali TU Wataalamu wa Sheria watusaidie ?

    Wataalamu watusaidie kuitambua hii Sheria kama ndivyo ilivyo ?? SHERIA YA VYAMA VYA SIASA (SURA YA 258) ------------- KANUNI (Zimetungwa chini ya fungu la 22(b)) KANUNI ZA MAADILI YA VYAMA VYA SIASA ZA MWAKA 2007 SEHEMU YA KWANZA UTANGULIZI 1. Kanuni hizi zinaitwa kanuni za Maadili ya Vyama...
  16. JamiiForums Tanzania SI KWELI Maandamano ruksa au fiksi za AI?

    Wajameni hii ni AI ya RC wa Dar Chalamila, inayosambaa mitandsoni? Au?
  17. JamiiForums Tanzania Napata mashaka na kampuni ya META na hii serikali yetu

    Hii kampuni hipo siku na kama siku mtakuja kusikia wamefikishwa mahakamani nchini mwao kuhusu wao na serikali ya CCM. Nacho furahi wenzetu hawa kurupuki wakija kukupeleka mahakamani A to Z wanazo.
  18. JamiiForums Tanzania Hii ndo kete ya Mwisho na hatari zaidi ya CCM kupambana na maandamo tukivuka tumeshinda japo tutaumia sana

    Mara.zote.watawala wakiishiwa nguvu hizi ndo mbinu wanazoweza kuzitumia maana kuua siyo suluhisho. 1. Divide them and rule.. 2. Fake Propaganda and illusions.. 3. If you can't convince them, confuse them rejea history ya ujenzi wa mnara wa babel (Mwz 11, 1-9) 4. Let them fight each other...
  19. JamiiForums Tanzania THE G.O.A.T

  20. JamiiForums Tanzania Masikini mwenzangu, unakubaliana na hii mada?

    Masikini wanatumia nguvu nyingi sana kutaka kuwaaminisha jamii kuwa ni matajiri, kwa kununua vitu vya anasa anasa visivyo zalisha; mfano, masikini atapambana sana kununua nguo za gharama, mikufu na micheni ya gharama, saa za gharama, magari ya gharama, kukodi usafiri binafsi kwa gharama n.k...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…