90s Rap: Ubunifu Dhidi ya Muziki wa Sasa

90s Rap: Ubunifu Dhidi ya Muziki wa Sasa

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
14,012
Reaction score
27,175
Japo mimi na rap songs hazijaiva sana,

Ila napenda sana kusikiliza 90s raps pamoja na wasanii wachache kama

1:Kanye west
2: Dax
3:xxx tentacion
4:j cole

Ila muziki wa zamani hasa rap ilikuwa enzi hizo, watu walikuwa na akili hawakuwa mazombie wa siku hizi wanaimba vitu vya kijinga

Kipindi fulani baada ya breakup na kupitia changamoto nilijikuta na kimbilia nyimbo za Tu pac Shakur

Na hii nyimbo ya dear mama ndo ilikuwa nyimbo iliyo niokoa huenda ningepotea mazima kabisa kwenye ramani.


Hakika kila zama na watu wake.

Binafsi naona binadamu wa siku hizi hawana reasoning kabisa.

Yaani ile IQ unazidi kushuka with time, watu hawana creativity, kila kitu kina fediwa na AI. Hakuna human touch kwenye art.

Watoto wanachiwa gadgets ambazo kipindi tunakuwa ilikuwa kutumia labda simu kucheza maagemu ya nyoka ilikuwa weekends hapo ndo mtaachiwa mtumie computer 🖥️ au simu.

Ila siku hizi unakuta dogo kanunuliwa kabisa tablet yake kila siku akitoa shule anachezea.

Sasa brain rot itakosekana kweli?

Haya sikiliza nyimbo za siku hizi, hazina Radha kabisa yaani kama umeshawahi kusikia muziki una Radha, zamani kwamba mtu aakimsikiliza Alicia keys kwa mfano atassikia vocals fulani na aakimsikiliza Rihanna pia atapata energy tofauti.

Sasa siku hizi unaingia YouTube unakutana na AI songs.... Na viewers kibao tu... Ila kinacho fanya watu wawe addicted ni perfection na mchujo wa sauti hakuna human touch inayo kufanya u relate na artist.

Kweli muziki nao unaenda extinct kabisa. Watoto ukiwaambia muziki wa zamani ulikuwa wenyewe wanakkuona unawatania ukiwapa wasikilize wanakuwa bored kwa sababu dopamine wanayoipata kwenye cheap AI songs inawafqnya waone pure art ni ya uongo.

Hakika Golden years ilikuwa in the 90s na early 2000s
 
Back
Top Bottom