Davidmmarista tasnia inashida gani matatizo yaleyale, miaka nenda rudi
mimi nakuuliza wewe kama mwanatasnia, nacte, heslb, application za chuo , nk karibu system zote, tra tu hapa usipoboost na vpn inakua kasheshe.Duh ni ngumu kufahamu kwasababu condition zinazoweza kukwamisha mambo ni nyingi it's better to contact admission board uwasikilize.
mimi nakuuliza wewe kama mwanatasnia, nacte, heslb, application za chuo , nk karibu system zote, tra tu hapa usipoboost na vpn inakua kasheshe.
tatizo lipo wapi na wataalamu mpo