Kwanini Nastahili Platinum Badge(JF staff someni hii)

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
14,020
Reaction score
27,201
Kwa niliyo ya fanya JamiiForums nidhahiri mimi ni mtu maarufu na ninastahili platinum badge.

Enyi mods nahisi mnatambua makubwa niliyo ya fanya, humu

1: Kuanzisha nyuzi ngumu Kumeza na kubaki katika majibizano bila kukimbia

2: kuonesha kuwa ukweli ambao wengi wanadhani ni sahihi unaweza kuwa uongo uliozoeleka.. Someni nyuzi zangu

3: kuchallenge JF staff kufanya marekebisho na kuwapa awareness.

4: kuchukiwa na kila member ila bado Nika endelea kuwa katika peak yangu na msimamo ule ule. Hiki kitu hakuna member mwingine yoyote anakoweza, atakimbia kejeli na matusi ya walimwengu.

Na mwisho kabisa niwaulize ni member gani anayesomwa ka kufatiliwa sana kuliko mimi?

Ni wakati sahihi wa uongozi wa JF kunitunuku platinum badge ambayo mwanzo mlidhani sistahili.

Ni maombi yangu mtanifikiria

Asanteni sana

Maxence Melo Mello Moderator Payge Active
 
Maoni Yako na Yaheshimiwe!
 
Mkuu, una hoja, unastahili kusikilizwa
 
Unaudhi na hizi mambo kila siku
 
Kosa lako ni moja tu mkuu, kwenye hao uliowatag jina la Ayatollah wa JF halipo.

We unafikiria hao peke yao wanaweza kukupa hicho unachokitafuta? La hasha!
 
Kwa niliyo ya fanya JamiiForums nidhahiri mimi ni mtu maarufu na ninastahili platinum badge.

Enyi mods nahisi mnatambua makubwa niliyo ya fanya, humu

1: Kuanzisha nyuzi ngumu Kumeza na kubaki katika majibizano bila kukimbia

2: kuonesha kuwa ukweli ambao wengi wanadhani ni sahihi unaweza kuwa uongo uliozoeleka.. Someni nyuzi zangu

3: kuchallenge JF staff kufanya marekebisho na kuwapa awareness.

4: kuchukiwa na kila member ila bado Nika endelea kuwa katika peak yangu na msimamo ule ule. Hiki kitu hakuna member mwingine yoyote anakoweza, atakimbia kejeli na matusi ya walimwengu.

Na mwisho kabisa niwaulize ni member gani anayesomwa ka kufatiliwa sana kuliko mimi?

Ni wakati sahihi wa uongozi wa JF kunitunuku platinum badge ambayo mwanzo mlidhani sistahili.

Ni maombi yangu mtanifikiria

Asanteni sana

Maxence Melo Mello Moderator Payge Active
Acha kudeka..piga kazi....
 
Back
Top Bottom