hifadhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ushetu Emmanuel Cherehani aipongeza Serikali kufuta Hifadhi ya Taifa ya Kigosi

    Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani ameipongeza serikali kufuatia juhudi za kutatua changamoto za migogoro ya ardhi baada ya kufutwa kwa Hifadhi ya Taifa ya Kigosi ambayo ilizuia kufanyika kwa shughuli za kibinadamu ikiwemo ufugaji na kuwakosesha wananchi wa maeneo jirani kufanya...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya Hifadhi ya Jamii yapewa siku 60 kuwalipa Wanachama wake

    Wizara ya Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, imetoa agizo hilo ikiwa ni siku moja tangu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kuitaka Serikali kuwawajibisha Waajiri wanaoshindwa kuwasilisha Michango pamoja na Mifuko kutolipa madeni ya Wanachama wake. Wizara hiyo imeagiza Majina ya Waajiri wote...
  3. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa matunzo kwenye hifadhi za barabara Tanzania

    Utangulizi Hifadhi nyingi za barabara nchini Tanzania zimeingiliwa kwa matumizi mbalimbali ya wananchi wakiwemo wafanyabiashara na watoa huduma wadogo wadogo wakati na wakati mwingine wale wakubwa. Maeneo kama Tegeta kwa mfano, ama Bunju ama Banana ama Gongo la Mboto ama Mbagala kumekuwapo na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kwa Wizara ya Utalii kwa kinachoendelea Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

    Kwako Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa (Mb), Hatua za haraka zinahitajika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere/Selous. Mgogoro mkubwa unaanza kuibuka kati ya waendesha utalii (tour operator) na watalii wanaoenda kwenye hifadhi hii. Kitendo cha Maaskari wa Mbuga kuwatoa kwa nguvu...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Itenge Maeneo Maalum kwa Ajili ya Wakulima na Wafugaji ili Kuondoa Migogoro ya Hifadhi za Ardhi

    SERIKALI ITENGE MAENEO MAALUM KWA AJILI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI ILI KUONDOA MIGOGORO YA HIFADHI "Nchi zilizoendelea mfano Afrika ya Kusini, Durban ni sehemu inayohusika na viwanda tu. Johannesburg ni sehemu inayohusika na Biashara tu. Tanzania tutenge maeneo yawe ni Maalum kwa wafugaji wetu tu...
  6. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Faidika na Darsa la FaizaFoxy 2: Orodha ya nchi zilizo na hifadhi ya mafuta iliyothibitishwa.

    Orodha ya nchi zilizo na hifadhi ya mafuta iliyothibitishwa Akiba ya mafuta iliyothibitishwa ni zile kiasi cha mafuta ya petroli ambayo, kwa uchanganuzi wa data ya kijiolojia na uhandisi, inaweza kukadiriwa, kwa uhakika wa hali ya juu, kuweza kurejeshwa kibiashara kuanzia tarehe fulani kwenda...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali kuchukua hatua kutatua migogoro baina ya Hifadhi na Wananchi

    SERIKALI KUCHUKUA HATUA KUTATUA MIGOGORO BAINA YA HIFADHI NA WANANCHI "Serikali ina mpango gani wa kutatua changamoto kati ya wananchi na maeneo ya hifadhi za Taifa ikiwemo Jimbo la Momba" - Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe, Mbunge wa Jimbo la Momba "Serikali imekuwa inachukua hatua...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira kurejea mtaani kufanya ukaguzi Mei 28, 2023

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linatarajiwa kufanya ukaguzi wa uzingatiaji na utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa Maingira (2004) na Kanuni zake. Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Dkt. Eng. Samuel Gwamaka Mafwenga amesema zoezi hilo linatarajiwa kuanza Mei 28, 2023 na...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira na wadau Dar wakutana katika kikao maalum cha udhibiti kelele

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limefanya kikao na wadau mbalimbali kujadili kuhusu udhibiti wa uchafuzi wa mazingira kwa njia ya kelele. Katika kikao hicho cha Mei 17, 2023 NEMC ilishirikisha wajumbe kutoka Wizara ya Afya, Wizara ya Ardhi, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa...
  10. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Dan Friedkin mmiliki wa AS Roma anamiliki ardhi kubwa Tanzania, mamlaka zimchunguze

    Hawa wanaweza kuwa ndio wale wafadhili wa Royol tour ambao tulifichwa , sasa wanapewa mapande ya aridhi, na wana binasifisha, fikiria Mzungu ana binasifisha Aridhi ya Umma. ====== Tanzania ni nyumbani kwa moja ya hifadhi bora za wanyama barani Afrika, ambayo inafanya iwe sehemu ambayo...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ndoa zetu na mifuko ya Hifadhi ya Jamii iwekwe wazi. Wanachama wanahangaika kupata mafao yao

    Habari zenu wana JamiiForums na Taifa kwa ujumla. Kuna mambo kama nchi ni lazima yawekwe wazi kwa manufaa na ustawi wa wananchi. Moja ya mambo hayo ni hili la mafao kwa wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii. Binafsi nafurahishwa sana na mpango huo ila natatizwa pale ninapoona wanachama...
  12. DOMINGO THOMAS

    JamiiForums Tanzania Fahamu hili kuhusu Fao la Urithi/Mirathi

    Je, wajua mnufaikwa wa Fao la Uzee (Old Age Pension) akishachukua kiinua mgongo na kuanza kulipwa monthly pension (Malipo ya kila mwezi) na baada ya miezi miwili/mitatu+ akafariki, Dependant wake wanakuwa hawana kitu cha kwenda kudai kwenye Mfuko? Kwa PSSSF tegemezi watakuwa hawana kitu cha...
  13. DOMINGO THOMAS

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa kuchangia kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF/PSSSF) ni hiyari ya mtu je, ungechangia?

    Ingekuwa kuchangia kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii (nssf/psssf) ni hiyari ya mtu, je unge-changia...!? 1. Kwanini ungechangia...!? 2. Kwanini usinge-changia..!? 3. Hujui nini ungefanya..!?
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TANAPA yasema mvua zimeharibu Daraja la Marera katika Lango Kuu la Hifadhi ya Taifa Ziwa Manyara

    Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limesema uharibifu huo umetokea katika Daraja la Marera lililopo Kilometa 2.3 kutoka lango kuu la Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, TANAPA imeeleza kuwa jitihada zinaendelea kurekebisha daraja hilo na miundombinu mingine.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kipi ni bora wanyama pori au Watanzania waishio pembezoni mwa hifadhi za taifa?

    Kipi ni bora, wanyama pori au watanzania wanaoishi pembezoni mwa Hifadhi za Taifa. Hapa nitatoa mifano miwili. (1) Wananchi wanaoishi pembe zoni wa Hifadhi ya Serengeti Wilayani Tarime.Ikumbukwe kuwa wananchi kila kukicha wanaongezeka na ardhi haiongezeki. Beacons ziliwekwa miaka 1962...
  16. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya Hifadhi iwe hiari na sio lazima

    Hii mifuko yote iwe ya hiari tu na sio lazima sababu wote ni wezi; kujiunga ni rahisi lakini kutaka pesa zako ni mlolongo mrefu kama nini! Mimi nilikuwa PSPF kabla haijajiita PSSSF, tukaambiwa sisi private twende NSSF, sasa nikasema hela yangu vipi inaenda kule au mnanipa? Hawataki eti mpaka...
  17. DOMINGO THOMAS

    JamiiForums Tanzania Hifadhi za Jamii Tanzania

    Je, uliwahi pata shida yoyote ulipokwenda kufuatilia mafao yako kwenye mifuko ya Hifadhi ya jamii, iwe PSSSF, WCF au NSSF. Tupe Experience yako kidogo.
  18. Gang Chomba

    JamiiForums Tanzania Simba Bob Junior wa Serengeti apinduliwa na kuuawa

    SAD NEWS… Taarifa ya kifo cha Simba maarufu huko Serengeti ajulikanae kama Bob imezistua Nyoyo za Watu wengi Duniani ambao walifanikiwa kumuona Simba huyo ambae alikuwa kipenzi cha Watu kwa kuwa hakuwa na tabia za kujificha wala kukwepa Camera. Bob alikutwa na umauti baada ya kundi la Simba...
  19. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Kati ya Urusi na Marekani ni nchi ipi inaongoza kwa vijana kwenda kutafuta fursa?

    Kati ya Urusi na Marekani ni nchi ipi inaongoza kwa watu duniani kuomba hifadhi. Hivi vijana wa dunia hii ukiwaambia wachague kuishi marekani au urusi,watakimbilia wapi?
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Masanja atatua mgogoro wa mpaka kati ya kijiji cha Buger na hifadhi ya taifa ziwa Manyara

    NAIBU WAZIRI MASANJA ATATUA MGOGORO WA MPAKA KATI YA KIJIJI CHA BUGER NA HIFADHI YA TAIFA ZIWA MANYARA Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) ametatua mgogoro wa mpaka kati ya Hifadhi ya Ziwa Manyara Mkoani Arusha na wananchi wa kijiji cha Buger katika Jimbo la Karatu...
Back
Top Bottom