- Tanzania kuna mifuko ya hifazi ya Jamii miwili:-
1. NSSF ( huu nikwa wafanyakazi wa sekta binafsi na sekta zisizo rasmi )
2. PSSSF ( huu nikwa wafanyakazi walio ajiriwa na serikali pekee )
Mafao ni haki ya kila mwanachama wa mfuko, pindi anapo pata Janga la aina yoyote mfano uzee, kukosa...
Namshauri ndugu Mchengerwa moja kati ya majukumu atakayofanya ni kuongeza idadi ya visiwa ambavyo vitakuwa chini ya hifadhi ya SAANANE.
Kisiwa Cha saanane ni hifadhi ya taifa, na kwa kuangalia mbele, nashauri iongeze idadi ya visiwa ambavyo vitakuwa chini yake, hii itakuwa ni kwa kuangalia...
WIZARA ya Maliasili na Utalii, imesema ndege zinazotua na kuruka katika viwanja ndani ya hifadhi zinasafirisha watalii kutoka Uwanja wa Ndege Dar es Salaam (JNIA), Kilimanjaro (KIA) na Abeid Amani Karume, Zanzibar.
Ufafanuzi huo unatokana na taarifa zilizosambaa kupitia mitandao ya kijamii kuwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na Askari wa Uhifadhi kutoka hifadhi ya Taifa Ruaha wanamshikilia Cyprian Kasula miaka 42, mkulima na mkazi wa kijiji cha Kipera kwa tuhuma za kukutwa na kichwa cha Tembo kikiwa na meno yote mawili katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha.
Akizungumza na...
Rais Mstaafu Mhe Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amehitimisha mapumziko yake mafupi ya mwisho wa mwaka kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Dkt Kikwete, ambaye ameongozana na Mkewe Mama Salma Kikwete katika ziara hiyo, pia alipata wasaa wa kupita katika Kituo cha Makumbusho ya Bonde la...
Jibu rahisi ni kwamba balance of payment haijakaa vizuri,tunachopeleka nje kina thamani ndogo kuliko tunachoingiza nchini kutoka nje,hivyo tunatoa dola (foreign currency) nyingi kuliko tunavyopokea,fikiria ununuzi wa mabehewa kwa ajili ya treni ya SGR unafanyika kwa fedha za kigeni,jibu lingine...
Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) imeiteuwa Hifadhi ya Burigi-Chato kuwa miongoni mwa hifadhi mbili nchini zitakazoendeleza kuhifadhi faru weupe ambao ni adimu zaidi nchini.
Kupelekwa kwa faru weupe katika hifadhi hiyo ambayo ni ya tano kwa ukubwa kati ya hifadhi 22 zilizopo. Hivyo...
Msafara wa watalii wa ndani wapatao 500 wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendegu wametembelea Hifadhi ya Taifa Ruaha iliyoko mkoani Iringa hivi karibuni kwa lengo la kuhamasisha utalii wa ndani na kuvutia wawekezaji ili wawekeze katika miundombinu ya utalii.
Akiwa katika...
Gharama za uendeshaji kwa Mfuko wa Pesheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) zimepungua kutoka Sh128.93 bilioni kwa mwaka 2018 hadi kufikia Sh68.83 bilioni mwaka huu sawa na asilimia 46.61. Kupungua kwa gharama hizo kunatokana na hatua ya uunganishaji wa mifuko ya pensheni minne ya PSSF, LAPF, PPF...
Habari za wakati huu Wana JF.
Kwa majina naitwa David Mathias. Nilikuja Dodoma kutafuta maisha kutokea jijini Dar na nikafikia kwa rafiki yangu niliesoma nae chuo kimoja ambaye anaishi Nkuhungu. Rafiki yangu ameleta mwanamke ghafla na kuniambia kuwa anataka aishi nae kwahiyo mimi niondoke...
HIFADHI YA JAMII NDIYO MWARUBAINI WA BIMA YA AFYA KWA WOTE; MUSWADA WA BIMA YA AFYA NI WA KUTUPILIWA MBALI!
Ndugu Waandishi wa Habari,
A. Utangulizi:
Muswada wa sheria ya ‘Bima ya Afya Kwa Wote’ uliwasilishwa Bungeni rasmi tarehe 23 Septemba 2022 na unatarajiwa kuanza kujadiliwa katika ngazi...
Dkt. Tulia Ackson ameihoji Serikali akitaka kujua nani anapaswa kuhakikisha michango ya mafao inayokatwa kwa wafanyakazi inapelekwa katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Pia ameitaka Mifuko kufatilia fedha kwa waajiri kwasababu sio wajibu wa mfanyakazi kujua michango imepelekewa au haijapelekwa...
Selous hifadhi ya pori tengefu au pori la akiba kwasasa ndilo pori linalotegemewa sana na TAWA.
Kama kawaida ya binadamu hakosi alternative pale anapozidiwa njaa au shida.
Vijana wanaingia kwenye hifadhi mbalimbali kutafuta chochote kitu ili wapate kujinasua aidha kwenye njaa au wajinasue...
Tuliambiwa kuwa mashirika ya hifadhi ya jamii yataunganishwa lakini mpaka sasa Jambo Hilo halijafanyika.kila shirika linajiendesha kivyake. Jambo hili mimi naona limeleta usumbufu mkubwa. Ili mtu aweze kupata mafao ya kustaff anatakiwa awe amechangia miaka 15 .
Tangia 2019 tuliambiwa kuwa...
08 August 2022
Havana, Cuba
Moto mkubwa, katika ghala ya kuhifadhia mafuta unaendelea kwa siku ya pili baada ya moja ya matenki ktk ghala hiyo ya mafuta kupingwa na radi.
Ajali hiyo imetokea Matanzas magharibi ya nchi hiyo, na Vikosi vya kuzima moto vinaendekea kupambana na moto huo mkubwa...
Usipuuzie ndoto, tafsiri ya ndoto huleta maarifa ya kina kunako ujumbe husika. Ndoto ni jambo la kushangaza ambalo hufanyika na kutokea majira ya usiku na huwa ina maana ya ndani zaidi nyuma ya uzoefu huu wa ulimwengu wa kawaida. Ndoto ni hifadhi ya ujuzi na uzoefu, lakini mara nyingi hupuuzwa...
Utata umeibuka baada ya familia ya mtoto, Ngatipa Parmao(17) anayedaiwa kuuawa kwa risasi na askari wa wanyamapori wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kudai kuna njama zimefanywa kuondoa risasi mwilini kwa mtoto huyo katika hospitali ya awali alikokimbizwa kwa matibabu.
Familia ya mtoto...
Wasalaam wana JF
Katika wiki hizi mbili naona malumbano mengi kuhusu hifadhi na mbuga za wanyama na wanyama wenyewe kama vile ni mali ambayo in exclusively kwaajili ya Watanzania. Naomba niwajulishe kwamba hivyo vyote ni urithi wa dunia.
Sisi kama Watanzania tumebahatika tu kuwa jirani na huo...
Serikali ya Uingereza imesitisha mpango wa safari ya ndege iliyotakiwa kuwabeba waomba hifadhi kwenda Rwanda baada ya Mahakama ya Haki za Binaadamu ya Ulaya kusema mpango huo unaakisi athari zisizoweza kurekebishwa.
Awali ilielezwa ndege hiyo ingeanza safari Juni 14, 2022 bila kujua idadi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.