heslb

  1. T

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nashindwa ku-log in kwenye akaunti ya HESLB

    Naomba msaada wakuu Najaribu kuingia kwenye account ya HESLB lakini inagoma, ni tatizo la wengi au ni miimi pekee.
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) yatolea ufafanuzi juu ya Maombi ya Mikopo kwa mwaka wa masomo 2020/2021

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefafanua kuhusu taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusiana na utaratibu wa kupata majibu ya maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu katika mwaka wa masomo 2020/2021. Taarifa iliyotolewa leo Jumatatu (Oktoba 19, 2020) na Mkurugenzi...
  3. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania CCM imefanikiwa kutugawa; tukagawanyika

    Hili genge liitwalo ccm limefanikiwa kutugawa na sasa tumegawanyika vipande vipande. Kuna ambao wanaona nguo, tshirts, kofia, khanga, lift, chakula na fadhila nyingine ni muhimu sana kwao kwa sasa kuliko hata ahadi na ilani ya uchaguzi. Kuna ambao mikopo midogo midogo, bendera na mabango ni...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Inawezekana wengi hatukusoma vizuri na kuelewa masharti ya mkataba kati ya mwanafunzi na Bodi ya Mikopo(HESLB)

    Nimepitia masharti niliyosaini katika mkataba wa kuomba mpoto wa kufadhiri masomo yangu ya elimu ya juu,kati yangu na Bodi ya mikopo (HESLB) nimegundua sikuelewa na hata kama ningeelewa ningesaini tu, kwa sababu ya uhitaji niliokuwa nao. Lakini kuna masharti magumu sana hasa ukizingatia hatujui...
  5. robbinhood

    JamiiForums Tanzania HESLB yatoa siku tano zaidi kuomba mkopo

    HESLB YATOA SIKU TANO (05) ZAIDI KUOMBA MKOPO Ni kuanzia Oktoba 1 hadi 5, 2020 Lengo ni kuwapa fursa vijana waliokuwa JKT kuomba Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inawajulisha wanafunzi waliomaliza mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) hivi karibuni kuwa mfumo wa kuomba...
  6. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Dirisha la marekebisho bodi ya mikopo

    Habari..!! Kwa mujibu wa tangazo la HESLB limeonesha kuwa kuanzia leo wametoa fursa kwa waombaji kurekebisha taarifa zao. Binafsi nilitumia partial transcription na sasa ninayo full ila sijapata information yoyote naona naambiwa siwezi kuedit wa kuchange kitu chochote. Kwa yeyote aliyepata...
  7. BAVICHA Taifa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya CHADEMA ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020 - 2025

    Huu hapa ni Muhtasari wa Ilani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Yaliyomo kwenye Ilani
  8. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo "HESLB" mwaka huu sijauelewa utaratibu wenu

    Binafsi tumezoea kuona miaka yote bodi ya mikopo inafungua dirisha kwa Mara ya kwanza na wanafunzi wanatuma maombi then baada ya kufika deadline dirisha linafungwa. Baada ya dirisha kufungwa, heslb wanaanza kuchekecha majina ya waombaji wa mikopo ndani ya siku kadhaa na mwsho wa siku kutoa...
  9. Rajabu Quimberlry

    JamiiForums Tanzania Nimejaribu kureset password ya HESLB imekataa, nafanyaje?

    Jamani msaada Mie password yangu kwenye account ya HESLB nilisahau. Nimejaribu kurecover, kureset password lakini imekataa. Sijui hata nifanyaje.
  10. Chidi master

    JamiiForums Tanzania Hivi ukichelewa kusaini pesa ya kujikimu inarudi HESLB?

    Naomba kuuliza wadau. Hivi ukichrewa kusaini pesa ya kujikimu, pesa hiyo itarudishwa bodi na hutopewa tena hata ukisaini au inakuwaje? Naomba kujibiwa.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali itoe mikopo kwa wahitimu kupitia HESLB

    Habari, Naishauri serikali kupitia bodi ya mikopo HESLB ianze kutoa mikopo kwa wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu. mkopo uwe wa fedha taslimu milioni tano 5,000000/=. Mkopo huo utolewe katika vigezo na mazingira yafuatayo: Kabla ya kuhitimu kila mhitimu atatakiwa kubuni wazo la mradi ambao...
  12. R

    JamiiForums Tanzania HESLB na uombaji wa mikopo kabla ya matokeo ya mitihani ya kidato cha sita

    Nadhani si haki bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuwalipisha/kuwalazimisha wanafunzi kuomba mikopo kabla ya matokeo ya mitihani ya kidato cha sita. Point yangu ni kuwa: 1. Kama mtu amefeli, hana sifa za kuomba, kwanini alipe hizo 30,000 Tsh 2. Mkopo una vigezo, mfano Programu.. huwezi kujua...
  13. Eboo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Unawezaje kupata mkopo iwapo uli-discontinue chuo?

    Habari wanajamvi, Je, mnufaika wa mkopo katika mwaka uliopita na akadisco chuo, anawezaje kupata mkopo tena iwapo yupo kwenye chuo kingine kwa sasa? Kwa anayefahamu asaidie kushare tafadhali.
  14. Influenza

    JamiiForums Tanzania HESLB: Hatujapunguza mikopo ya Wanafunzi. Tunatoa fedha za kujikimu kulingana na siku za masomo

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefafanua kuwa inatoa mkopo kwa Wanafunzi kulingana na siku za masomo kwa kila robo ya mwaka wa masomo Imeeleza kuwa kutokana na COVID19 siku za masomo za robo mwaka ya nne ya muhula wa masomo wa 2019/20 ambazo huwa ni 60 zimepungua kwa...
  15. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha waandamana baada ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kukata pesa zao za kujikimu

    Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu- Arusha wakiandamana usiku huu kuishinikiza Bodi ya Mikopo Nchini HESLB kurejesha kiwango kilichosalia cha 510,000/= kwa mwaka huu wa masomo 2019/2020.
  16. T

    JamiiForums Tanzania HESLB: Serikali imeanza kulipa Malipo ya robo ya nne ya Mwaka wa Masomo 2019/2020 kwa Wanafunzi 132,119 Jumla ya TZS 66.9 Bilioni

    Kama ilivyo kwenye sheria za bofi ya mikopo, kila mnufaika atapewa kiasi kinachoendana na siku alizokaa chuoni. Hapo awali kabla ya Corona, boom moja ilikuwa 505,000 hadi 520,000 lakini kwa mfumo huu itakuwa pungufu. Je, kama boom limepunguzwa, vipi kuhusu ada na direct cost? Vilipunguzwa...
  17. Mgiriki MTz

    JamiiForums Tanzania Je, RITA wameshaanza kuhakiki vyeti vya kuzaliwa kwa wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB?

    Habari wana jf, Husika na kichwa cha uzi naomba kujua kama RITA wameshaanza uhakiki wa vyeti kwa njia ya mtandao kwa vijana wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB? Pia naomba kujua kama bodi ya mikopo,HESLB kama tayari wameshatoa vigezo vitakavyotumika mwaka huu? Nawasilishà. #jEshi.
  18. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo yafuatayo yanayofanyika katika urejeshaji wa mkopo wa elimu ya juu "HESLB".

    Kwanza kabisa ni ukweli usiopingika yapo maboresho makubwa yaliyofanywa na Bodi ya mikopo miaka ya karibuni kwa lengo la kuwa mfuko endelevu na kunufaisha Wanafunzi wengi zaidi. Mabadiliko hayo kwa kiasi kikubwa yamewaumiza walipaji wengi hususani walioanza kulipa kabla ya mwaka 2017. Kuna...
  19. Emman1985

    JamiiForums Tanzania Je, katika suala hili naweza kupata mkopo kutoka HESLB

    Poleni na majukumu wadau. Nimehitimu chuo kikuu 2013 BSc. Ed. na kwa sasa naplan kurudi kusoma Medicine. Nikiomba mkopo kuna uwezekano wa kupata? Wenye uelewa katika hili naombeni taarifa tafadhali.
  20. sabuwanka

    JamiiForums Tanzania Je, HESLB ina mchango katika kutokomeza umaskini?

    Wanabodi, poleni na majukumu pamoja na misiba iliyowakuta wenzetu wa moshi baada ya kukanyagana wakati wakati wakikanyaga mafuta ya upako chini ya neno la unabii kutoka kwa mtumishi mwamposa mnamo 01.02.2020 Pili, naendelea kupongeza juhudi za serikali ya awamu ya tano kwa kuongeza utoaji wa...
Back
Top Bottom