heslb

  1. beth

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo yawatoa hofu wanafunzi

    MKURUGENZI MTENDAJI WA HESLB, ABDUL-RAZAQ BADRU, PICHA MTANDAO Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema ina fedha za kutosha na hadi jana imeshapokea Sh. bilioni 186 kutoka serikalini kwa ajili ya malipo ya miezi mitatu iliyoanzia Oktoba. Kauli hiyo imekuja ikiwa ni siku...
  2. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Ni benki gani huwa zinasaidia wanafunzi wa Vyuo Vikuu (bachelor degree students) wanaokosa mikopo kutoka HESLB

    Habari za leo wakuu? As regard with the heading above, ninapenda kuulizia ni benki zipi zinaweza wasaidia wanafunzi wa vyuo vikuu, mikopo ya ada tu (tuition fees), ili kufanikisha upatikanaji wa elimu kwa mlengwa? At any interest rate and which can be paid after completion of studies, maana...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Waliokosa mikopo elimu juu wapewa matumaini

    Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha Serikali imesema kuwa wanafunzi waliopunjwa na wale waliokosa mikopo inayotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), wataipata kwa sababu kilichokwamisha ni mfumo. Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, William Ole...
  4. C

    JamiiForums Tanzania HESLB mkimaliza kuwaumbua wadaiwa sugu Jumatato ijayo, muwaumbue pia na wale wanaofanya tatizo la ajira kuongezeka nchini

    Nichukue fursa hii adhimu kabisa kuwapongezeni watu wazima ambao ni Watendaji wa Bodi ya Mikopo nchini ( HESLB ) kwa kuweza kupoteza muda wenu mwingi, kujadiliana, kuchanganya fikra zenu hadi baadae mkaja na maamuzi ambayo Kwenu mmeona yana Tija ya kuwaumbua wadaiwa sugu wa mikopo na kuweka...
  5. deliverance man

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua kuhusu Third Batch ya mkopo wa HESLB

    Jamani kwa anaejua labda, kama kuna Third Batch ya mikopo kutoka HESLB maana naona hakuna taarifa yoyote. Kama unajua lolote naomba tujuzane inatoka lini?
  6. Mpogoro

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo tujaribu ubunifu zaidi baada ya nguvu bila maarifa

    Siku chache zilizopita nilitumiwa picha ya frontpage ya gazeti moja likimnukuu Mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu akisema "Wadaiwa Bodi ya Mikopo Kusakwa Majumbani Usiku" nikashtushwa kidogo nikasema nitakapopata muda nitajaribu kuweka bandiko moja hapa nitoe maoni yangu kuhusu ulipaji...
Back
Top Bottom