Hivi ukichelewa kusaini pesa ya kujikimu inarudi HESLB?

Chidi master

Member
Nov 5, 2018
17
0
Naomba kuuliza wadau.

Hivi ukichrewa kusaini pesa ya kujikimu, pesa hiyo itarudishwa bodi na hutopewa tena hata ukisaini au inakuwaje?

Naomba kujibiwa.
 
Kwanini uchelewe kusaini?

Kamuulize Mhasibu wa Chuoni kwako atakupa jibu sahihi
 
Utaratibu uko hivi, pesa za wanufaika zinapelekwa vyuoni. Vyuo vinaanda utaratibu wa malipo baada ya hapo zoezi la kusaini linaanza, kwa wale waliosaini baada ya siku chache wataanza kupokea pesa zao. Kwa ambao bado hawajasaini chuo kinawasubiria kwa muda Fulani takribani mwezi hivi. Kama bado hujasaini zinarudishwa HELSB. Ukihitaji sasa itakubidi uende bodi. Ukajieleze kwanini ulishindwa kusaini kwa wakati mpaka pesa inarudishwa baada ya hapo unarudi chuo kuisoma namba maana itachukua muda sana mpaka kuja kuipata hiyo pesa
 
Je huwa inawezekana kuja kuipata? na huwa wanajumuisha na fedha za kujikimu nyingine?
 
Back
Top Bottom