heslb

  1. Ilitara kimura

    JamiiForums Tanzania HESLB: Ufafanuzi wa taarifa ya deni katika Salary Slips mwezi Juni, 2021

    Hatimaye yale malalamiko kwa bodi ya mikopo kwamba watu wamekatwa lakini deni halionekani kupungua. Baada ya kimya cha muda huku malalamiko yakiendelea wameamua kujibu. Ni wakati mwafaka kwa hazina nao kujibu.
  2. Taured

    JamiiForums Tanzania HESLB ni janga la Taifa

    Baada ya kuambiwa waoendoe 10% penalty na 6% kama VRF yaani huwezi amini balance ya Deni la heslb mwezi may na June 2021 inatofautiana kwa Shs 15/= tu wakati makato ya 15% kwenye basic salary yamebaki constant! Ama kweli naanza kuamini kwamba hii board haina nia nzuri na watanzania maskini na...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) bado haijafungua dirisha la maombi, kwanini?

    Bodi ya mikopo mlitoa tangazo dirisha la maombi ya mkopo kwa mwaka 2021/2022 litafunguliwa tarehe 01 July 2021, lakini hadi muda huu halijafunguliwa na hata website yao inasumbua kufunguka. Ingekuwa vzr kama kuna mabadiliko yoyote mngetujulisha wadau tukajua.
  4. balimar

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Makato ya Deni la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Mwezi Juni, 2021

    Hello Wadau!! Tumekuwa na tatizo la upatikanaji wa Kilipia Mshahara (Salary Slip) kwa miezi kama miwili mfululizo Hatimae mwezi June Salary Slip zinapatikana kwa mtandao Nilichokiona ni kuongezeka kwa deni la Bodi ya Mikopo (HESLB) kwa zaidi ya 100% Hiki kinanifanya nijiulize Mosi, ni...
  5. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Ahsante Rais Samia, hatimaye HESLB wafuta VRF kwenye system yao

    Kama tunavyojua, kwa mujiba wa katiba yetu Mheshimiwa Rais halazimiki kufuata ushauri wa mtu yeyote yule. Hivyo basi tunapokuwa na rais msikivu tena anayefanyia kazi maoni na malalamiko ya watu wake ni baraka kubwa kwa taifa Kwa sasa ukiangalia statement ya deni lako kwenye mfumo wa bodi ya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania HESLB itaifuta tozo ya adhabu 10% kama ilivyoagizwa na serikali?

    Akiwasilisha makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia tarehe 9. 04 May 2021, aliiagiza bodi ya wakurugenzi ya heslb kufuta makato ya 10% yanayotozwa na bodi kwa waliochelewa kurejesha. Kumekuwa na ukimya kama kwamba hilo agizo halipo na website ya bodi hakuna tangazo la...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Uhakiki vyeti ili kuomba mikopo ya HESLB unafanyika vipi?

    Mwenye ufahamu wa namna ya kuhakiki vyeti ili kujitayarisha kuomba mikopo ya HESLB anisaidie process inafanyikaje na vyeti gani vinahakikiwa
  8. kurlzawa

    JamiiForums Tanzania Serikali na Bodi ya Mikopo (HESLB), naomba ufafanuzi wa utaratibu wa kukata pesa ya mwisho ya kujikimu

    Habari za mda huu wakubwa, Nilikuwa naomba ufafanuzi kuhusu huu utamaduni mpya ulioanzishwa mwaka jana na serikali ya hayati magufuli ya kukata pesa ya mwisho ya kujikimu kwa kisingizio cha Corona sasa napenda kufahamu je safari hii nini kimepeleakea hilo? Je, Rais samia ameamua kuiga...
  9. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli HESLB wamepunguza boom quarter 4 hii semester

    Wadau nasikia kuna baadhi ya vyuo wamepunguziwa boom lao la mwsho kwa semester hii, hizi habari ni za kweli? Kama ni kweli hizi pesa zinazokatwa na bodi kwenye booms za wanafunzi huwa zinapelekwa wapi au wanapiga tu hawa waliopewa dhamana pale HESLB.
  10. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Tanzania Commission for Universities (TCU) Admissions Almanac for 2021/2022 Admission Cycle

    Tanzania Commission for Universities: News & Events 1. Final_Third Draft Admission Guidebook Equivalent Applicants 19052021.pdf 2. Undergraduate Admission Guidebook for 2021/2022 (For Holders of Form Six Qualifications) 3. Undergraduate Admission Guidebook for 2021/2022 (For Holders of...
  11. kidadari

    JamiiForums Tanzania Vipi updates za Bodi ya Mikopo (HESLB) kuhusu Value Retention Fee (VRF)?

    Baada ya tamko la Rais kuhusu kufutwa kwa Value Retantion fee iliyokua inalalamikiwa Bodi ya mkopo ilitoa taarifa kuwa wanafanya marekebisho ya taarifa za wanufauka wanaolipa mkopo na kutoa taarifa za kula hatua waliyofikia. Kimya kilichopo kinaonyesha kua yawezekana wanaweza kuja na formula...
  12. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Uporaji pesa za mkopo za wanafunzi Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA)

    Imekuwa ni utaratibu wa chuo cha uhasibu Arusha kukata kiasi cha pesa cha chakula na matumizi mengine(Boom) kwa wanufaika wake kila mara wanapotakiwa kuwapa kwa muda wa kila baada ya miezi miwili, ambacho ni kiasi cha tsh 500,000 kwa kila baada ya miezi miwili. Lakini wamekuwa wanawacheleweshea...
  13. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo HESLB mbona kimya?

    Mei mosi Mheshimiwa Raisi alisema kwamba wanaondoa retension fee kwenye mikopo ya vyuo vikuu.. Kwa akili yangu ndogo nilitegemea bodi ya mikopo ingetoa mwongozo wa kipi kinafuata kam taasisi zingine zinavyofanya pale wanapopewa muongozo na viongozi wao.. Kinyume naoma mwezi wa pili huu unaenda...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Sifa za kupata mkopo HESLB ziangaliwe upya kabla ya maombi Juni 2021, hasa kigezo cha kuwanyima mkopo waliosoma shule binafsi

    Kigezo cha mtoto mbaye amesoma private schools asipate mkopo si sahihi. Wazazi wengine wanakuwa wamestaafu, wameacha kazi, wamekufa etc, kutumia kigezo hicho ni kutowatendea haki. Au pia uwezo wa biashara yake umekufa kama wakati wa Mwendazake biashara nyingi zilikufa na...
  15. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai alitaka Bunge kubadili Sheria ya HESLB ili wanafunzi wa VETA na NACTE wapate mikopo pia

    Nimependa mapendekezo ya Spika leo. Anataka kuona sheria inayowapa mikopo wanafunzi wa TCU, VETA, NACTE. Anataka 70% ya fedha za HESLB ziende ktk sayansi na teknolojia. Ameyasema haya kwenye kilele cha mashindano ya sayansi, teknolojia na ubunifu. Kila la kheri wabunge wetu. Tumieni hati ya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) kutotoa huduma saa nzima

    Bodi ya mikopo Elimu ya juu nchini husitisha kutoa Huduma kwa muda wa saa nzima, hutumia lisaa zima kwaajili ya kula, wakati huo huduma husitishwa mpaka watakaporudi, hii imeekaje huko kwingineko katika taasisi za umma?
  17. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kufutwa kwa VRF kwa wanufaika wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, waajiriwa tegemeeni kuongezeka kwa take home

    Nawasalimu kwa jina la JMT Kulikuwa na maswali kadhaa kwamba je Salary itaongezeka baada ya kufutwa kwa tozo ya VRF ya 6% kwa wanufaika wa mikopo ya Elimu ya Juu au hapana. Jibu ni kwamba take home itaongezeka maana makato ya 15% kwenye mshahara wa mwajiliwa nayo yana mchanganuo wake kwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Value Retention Fee(VRF) ya HESLB

    Habari za jioni waungwana Nilikua naomba kuuliza kuhusu hii Value Retention Fee ambayo ilikua inatozwa kwenye mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu Kulingana na tamko la muheshimiwa Rais kwamba hii tozo imefutwa rasmi, lakini sasa nashindwa kujua je kwa wale ambao washaongezewa mzigo wa deni...
  19. WAZO2010

    JamiiForums Tanzania HESLB: Baada ya Rais kafuta retention fee-6%-heslb tunaomba statements mpya

    Leo May, 1, 2021. Rais Samia S. Hassan ametangaza kufuta riba ya retention fee ya 6% (Riba ya wizi). Awali tulilipa 10% kama riba ya thamani yote; japo wao waliita penati. Ukweli una bakia kuwa ni riba tu. Na 6% kama retention fee (riba ya kutunza thamani ya fedha). Na makato kwa ujumla yalikuwa...
  20. las Casas

    JamiiForums Tanzania HESLB mnataka tufe kwa pressure?

    Mimi ni mnufaika wa Bodi ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB). Nilianza kulipa deni langu la shilingi milioni 6.5 mwaka wangu wa pili tu baada ya kuajiliwa. Nililipa deni langu katika kipindi cha miaka nane. Nimeshtushwa na barua niliyoandikiwa ofisini kwamba nina deni HESLB. Nimemaliza deni...
Back
Top Bottom