Dirisha la marekebisho bodi ya mikopo

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,401
5,526
Habari..!!

Kwa mujibu wa tangazo la HESLB limeonesha kuwa kuanzia leo wametoa fursa kwa waombaji kurekebisha taarifa zao. Binafsi nilitumia partial transcription na sasa ninayo full ila sijapata information yoyote naona naambiwa siwezi kuedit wa kuchange kitu chochote.

Kwa yeyote aliyepata information kwenye account yako naomba atuwekee hapa, imeandikwaje ili tujue. Na kama halo ndo iko hivi kwenye account vyangu INA maana siwezi kuattach tena full transcript niliyopata?

View attachment 1586984
 
Unaposema partial transcript unamaanisha nini mkuu
Yaan ni sehemu/kipande cha transcription ambacho hakijakamilika.. Ilikuwa haijakamilika kwa matokeo yote ya semester.. Ndo inaitwa partial/progressive transcription
 
Umejaribu kuingia tena kwenye profile yako?? Sasa hivi naona kuna notification wanatoa
Yaan ni sehemu/kipande cha transcription ambacho hakijakamilika.. Ilikuwa haijakamilika kwa matokeo yote ya semester.. Ndo inaitwa partial/progressive transcription
 
Wanatoa kwa mfumo UPI.. Jaribu hata kuweka screenshot yoyote basi tuone
Angalia hiyo
20201001_174218.jpg
 
Habari wana JF, naombeni kuuliza, hivi kama kwenye application ya mkopo na mahali nilikosea na ni muhimu sana na nikaprint ile document kana kwamba sina uwezo wa ku-Edit tena, je nitafanyaje ili niweze kutatua hilo tatizo au nikifika kwenye ofisi zao wataweza kunitatulia, poleni na naombeni msaada wenu wa majibu.
 
Habari wana JF, naombeni kuuliza., Ivi kama kwenye application ya mkopo na mahali nilikosea na ni ya muhimu sana na nikaprint ile document kana kwamba sina uwezo wa ku-Edit tena, je nitafanyaje ili niweze kutatua ilo tatizo, au nikifika kwenye ofisi zao wataweza kunitatulia, poleni na naombeni msaada wenu wa majibu..

Naombeni mawazo wakubwa, nipate atleast muongozo
 
Back
Top Bottom