Yoni Netanyahu apewa Heshima yake huko zenyewe,Uganda!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
8,997
Reaction score
7,616
YONI NETANYAHU ALIHESHIMIWA ENTEBBE—MIAKA 50 BAADAE

Sanamu ya shaba ya Luteni Kanali Yoni Netanyahu sasa imesimama katika kituo cha zamani cha Uwanja wa Ndege wa Entebbe, ikizinduliwa katika kumbukumbu ya miaka 50 ya Operesheni Entebbe.

Yoni aliuawa alipokuwa akiongoza uokoaji wa mateka wa 1976.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, aliongoza sherehe hiyo.

View: https://x.com/mossadil/status/2083784686954746187?s=61
 
Ndio ujinga wa mweusi yani IDF imewauwa Wajeda wao kibao katika ukombozi wa kijinga kabisa!!

Kwasasa tujue Ingekuwa watekaji wanataka kuwauwa mateka wote wangewamaliza ndani ya ndege au pale Airport lkn tufahamu lengo la watekaji lilikuwa lengine sio kuwauwa mateka👈

Watekaji walikuwa na madai yao yanayowezekana 👈

lkn kiburi cha IDF kutaka sifa za kijinga Ndio kupelekea Vifo vya wengi pale Airport ✍️

Nisawa na tu Gaza kile Hamas wametaka siku ya kwanza ndicho icho kimekuja kutekelezwa baada ya miaka 2 ya kumwagika Damu za pande zote mbili mpaka mateka wenyewe wamelipia Damu zao!!

Niliwai sema ingekuwa kweli Waisrael wana akili kudhidi binadamu wengine basi tukio lile la Gaza ni kipimo mujarabu kujua uwezo wa Jamii inapofikwa na changamoto👈

Ikumbukwe Israel ina silaha za kila aina ndege vita Vifaru Meli za kijeshi manake Jeshi kamili👈

Kwamba wkt wowote wakiamua kuwauwa wengine wasio na silaha inawezekana👈
.
tofauti na Hamas hawana kifaru ndege Vita meli nk. Silaha zao ni ndogo ndogo tu lkn zinauwa na vi rocket👈

Baada ya kutekwa wazayuni ile October 7 👈

Narudia Kipimo cha Akili kinajionesha kivutendo sio kudhani labda wale wanaakili zaidi kwanini udhani wkt vipimo vya matendo unaviona mwenyewe👈

Ingekuwa wana izo Akili Israel na maguvu yake ya kupewa👈

kwanza wangetoa umuhimu wa Usalama wa WANANCHI wao
Sababu ukichunguza madai ya Hamas sio magumu kabisa👈

Hamas walitaka tu Raia wao wanaoshikiliwa uko kwenye Lupango za Israel waachiwe basi✅️

nawao wangewaachia wazayuni wote ✅️

Lkn kiburi cha silaha za kupewa undondocha wa kichwani wakachagua kwenda kuwakomboa kwa Mtutu❗️👈

kilichotokea ndio kile👈

leo baadhi ya Mateka wa kizayuni walio achiwa kwa
msaada wa Trump 👈

wenyewe wakiongea wanawasifia Hamas na wanasema wamewapigania sana wasife kwa Mabomu ya IDF

Sasa wanaumbuka IDF mana walienda kuwakomboa wanawasifia watekaji Hamas 😇

Kilichowauma mateka ni jinsi uwepo wao kule umepuuzwa✍️

kiasi kupigwa Mabomu na wanzao kufa kwa Mabomu ya IDF✍️

Kwanini kwanza wasingekubali kubadilishana mateka kisha Waanze Vita vyao😇😇😇😇😇😇😇

Ripoti za mashirika ya kutetea wafungwa wanaoshikiliwa yote yameishutumu Israel jinsi ilikuwa inawatendea Wapalestina kwenye Lupango zao 👈

iyo kabla ya ile October 7.

Mwisho
Utagundua Hamas walikuwa na Sababu za msingi kufanya kile wamefanya ✍️
 
Ujinga na upumbavu huu umekaririshwa na Waarabu na wewe Mwarabu-koko umemezeshwa ujinga na wewe kwa kuwa ni mjinga umeufakamia UHARO huo!!!

Kwasasa tujue Ingekuwa watekaji wanataka kuwauwa mateka wote wangewamaliza ndani ya ndege au pale Airport lkn tufahamu lengo la watekaji lilikuwa lengine sio kuwauwa mateka👈
Ujinga mtupu umemezeshwa!!!!!

UHARO huu umemezeshwa na Wafuga Midevu na Majini ndiyo maana umekuwa mjinga na Mpumbavu kupindukia!!
 
Hamas ni magaidi tu kama vikundi vingine vya kigaidi vya kiislamu vilivyo, wewe unawafagiliia tu kwa sababu unaona waarabu walikuletea dini.

Hamas waliwateka waisraeli na kuwafanyia ukatili mbaya sana na majibu ya Israel yalistahiki kabisa.

Hamas sawa na mabwana zao wa Iran nia yao kuu ni kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia ndoto ambayo haitawezekana asilani ila uwezekano mkubwa ni wenyewe kufutwa.
 
Wewe upo kwa mbiku!!

Lkn watekwaji wenyewe wazayuni wamewasifia sana Hamas kwa namna wamewaokoa na makombora kutokea kwa ndege za Israel✍️

Hamas sio Magaidi✅️

Wavamizi ni Waisrael ivyo niwao ndio Magaidi👈

Sababu wazayuni
Wametoka Ulaya kuwafuata Wapalestina kwenye Ardhi yao👈

Ndio ni Ardhi yao kwa mujibu wa Sheria ile Ardhi kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa ni eneo la Palestine kwaiyo👈

Kisheria Wapalestina hawajafanya Uvamizi wowote👈

wapo kwenye mipaka halali ya Kisheria tena sio Sheria zao👈

ni Sheria za kimataifa kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa✍️
 
Ulimwengu mzima unajua ile Ardhi yote wanaishi wa Palestine miaka kwa miaka!!

Yale Mashoga kutoka Ulaya yamekuja pale 1948👈

Hakuna M Palestine alikuja pale kutokea popote!!

Wala Hakuna historia yoyote kuonesha Wapalestina wameamia pale kutokea kwengine👈

Manake wao ndio Mababu na mababu zao wamezaliwa pale👈

leo kwa Sheria ipi utawaita wenyeji ndio Wavamizi na Magaidi kwenye Ardhi yao❌️

. Binadamu wasasa sio wale mazoba wa miaka ileee

MEDIA mikelele mingi ❗️hawa ni Magaidi awa ni Magaidi watakuamini iyo zilipendwa❌️

Ulimwengu wasasa wanataka kujua A mpaka Z

ndiomana kwasasa Ulimwenguni umeungana zaidi na Wapalestina tofauti na uko nyuma waliamini tu mikelele ya Media ✍️
 
Ndio ujinga wa mweusi yani IDF imewauwa Wajeda wao kibao katika ukombozi wa kijinga kabisa!!

Kwasasa tujue Ingekuwa watekaji wanataka kuwauwa mateka wote wangewamaliza ndani ya ndege au pale Airport lkn tufahamu lengo la watekaji lilikuwa lengine sio kuwauwa mateka👈

Watekaji walikuwa na madai yao yanayowezekana 👈

lkn kiburi cha IDF kutaka sifa za kijinga Ndio kupelekea Vifo vya wengi pale Airport ✍️

Nisawa na tu Gaza kile Hamas wametaka siku ya kwanza ndicho icho kimekuja kutekelezwa baada ya miaka 2 ya kumwagika Damu za pande zote mbili mpaka mateka wenyewe wamelipia Damu zao!!

Niliwai sema ingekuwa kweli Waisrael wana akili kudhidi binadamu wengine basi tukio lile la Gaza ni kipimo mujarabu kujua uwezo wa Jamii inapofikwa na changamoto👈

Ikumbukwe Israel ina silaha za kila aina ndege vita Vifaru Meli za kijeshi manake Jeshi kamili👈

Kwamba wkt wowote wakiamua kuwauwa wengine wasio na silaha inawezekana👈
.
tofauti na Hamas hawana kifaru ndege Vita meli nk. Silaha zao ni ndogo ndogo tu lkn zinauwa na vi rocket👈

Baada ya kutekwa wazayuni ile October 7 👈

Narudia Kipimo cha Akili kinajionesha kivutendo sio kudhani labda wale wanaakili zaidi kwanini udhani wkt vipimo vya matendo unaviona mwenyewe👈

Ingekuwa wana izo Akili Israel na maguvu yake ya kupewa👈

kwanza wangetoa umuhimu wa Usalama wa WANANCHI wao
Sababu ukichunguza madai ya Hamas sio magumu kabisa👈

Hamas walitaka tu Raia wao wanaoshikiliwa uko kwenye Lupango za Israel waachiwe basi✅️

nawao wangewaachia wazayuni wote ✅️

Lkn kiburi cha silaha za kupewa undondocha wa kichwani wakachagua kwenda kuwakomboa kwa Mtutu❗️👈

kilichotokea ndio kile👈

leo baadhi ya Mateka wa kizayuni walio achiwa kwa
msaada wa Trump 👈

wenyewe wakiongea wanawasifia Hamas na wanasema wamewapigania sana wasife kwa Mabomu ya IDF

Sasa wanaumbuka IDF mana walienda kuwakomboa wanawasifia watekaji Hamas 😇

Kilichowauma mateka ni jinsi uwepo wao kule umepuuzwa✍️

kiasi kupigwa Mabomu na wanzao kufa kwa Mabomu ya IDF✍️

Kwanini kwanza wasingekubali kubadilishana mateka kisha Waanze Vita vyao😇😇😇😇😇😇😇

Ripoti za mashirika ya kutetea wafungwa wanaoshikiliwa yote yameishutumu Israel jinsi ilikuwa inawatendea Wapalestina kwenye Lupango zao 👈

iyo kabla ya ile October 7.

Mwisho
Utagundua Hamas walikuwa na Sababu za msingi kufanya kile wamefanya ✍️
umekula kweli? au shemeji hajaacha mkate
 
Mkuu wa jeshi la Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, alizindua mnara wa Luteni Kanali Yonatan “Yoni” Netanyahu katika kituo cha zamani cha Uwanja wa Ndege wa Entebbe mnamo Agosti 1, kuadhimisha miaka 50 tangu kamanda wa Israeli alipouawa akiongoza Operesheni Entebbe.

Wakati wa uvamizi wa Julai 4, 1976, makomando wa Israeli waliruka takriban maili 2,500 hadi Uganda na kuwaokoa mateka 102 kutoka kwa ndege ya Air France iliyokamatwa na magaidi wa "Palestina" na wa kushoto wa Ujerumani, ambao walikuwa wamewatenganisha abiria wa Israeli na Wayahudi wengi kutoka kwa mateka wengine. Mateka 3 walikufa wakati wa shambulio hilo, huku wa 4 baadaye akiuawa na vikosi vya Uganda.

Yoni, kaka wa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu, ndiye komando pekee wa Israeli aliyeuawa. Ukumbusho mpya umesimama katika eneo ambalo mamlaka ya Uganda inasema alianguka na uliwasilishwa kama ishara ya kuimarisha uhusiano kati ya Uganda na Israeli.

Gen Kainerugaba Unveils Yoni Netanyahu Monument At Old Entebbe Terminal, Reaffirms Uganda-Israel Ties - UPDF
 
Attachments

  • IMG_20260803_011741_923.jpg
    IMG_20260803_011741_923.jpg
    141.1 KB · Views: 5
Yale Mashoga kutoka Ulaya yamekuja pale 1948👈

Hakuna M Palestine alikuja pale kutokea popote!!

Wala Hakuna historia yoyote kuonesha Wapalestina wameamia pale kutokea kwengine👈
Hoja yako ni nzuri lakini kulikuwa na ulazima wa kuandika matusi?
 
Sijatukana na sijui kwanini umesema nimetukana❗️

Ikiwa sababu ni kusema ni Mashoga kutokea Ulaya

Sijatukana ndio maisha yao yasasa uko Israel Usodoma tu yani ktk eneo lote icho kipande wanaishi wale wanaitwa wazayuni Fake kutokea Ulaya ndipo kunanuka
kinyesi hatari Sababu Ushoga umebarikiwa na Serikali ya Israel kama ilivo uko Ulaya wanapotoka

Chini izo ni picha za Parade za Mashoga.

Kwenye miji ya Israel! Sasa sijui nimetukana nini kwako???
👇👇
 
Attachments

  • IMG_20260613_092840.jpg
    IMG_20260613_092840.jpg
    91.6 KB · Views: 4
  • IMG_20260613_092647.jpg
    IMG_20260613_092647.jpg
    111.8 KB · Views: 4
Sijatukana na sijui kwanini umesema nimetukana❗️

Ikiwa sababu ni kusema ni Mashoga kutokea Ulaya

Sijatukana ndio maisha yao yasasa uko Israel Usodoma tu yani ktk eneo lote icho kipande wanaishi wale wanaitwa wazayuni Fake kutokea Ulaya ndipo kunanuka
kinyesi hatari Sababu Ushoga umebarikiwa na Serikali ya Israel kama ilivo uko Ulaya wanapotoka

Chini izo ni picha za Parade za Mashoga.

Kwenye miji ya Israel! Sasa sijui nimetukana nini kwako???
👇👇
Ndiyo maana dini yako inaruhusu kundi ya mbuzi maana akili zenu ni Kama za mbuzi tu!!
 
Attachments

  • IMG_1650.jpeg
    IMG_1650.jpeg
    69.9 KB · Views: 4
Kwsnini hiyo sanamu wasingeiweka Jerusalem? Nchi za Africa ni kama hazina kauli kabisa kwa mataifa makubwa.
Kwa nini wewe unataka kuwapangia sehemu ya kuweka hiyo sanamu? Kamanda huyo aAlicia Entebe kuna ubaya gani kwako? Kwani Israel ni Taifa kubwa!? Au umemezeshwa tu chuki binafsi?
 
Attachments

  • v15025gf0000d9lasnvog65oo7k1ngm0.mp4
    3.1 MB
Hamas ni magaidi tu kama vikundi vingine vya kigaidi vya kiislamu vilivyo, wewe unawafagiliia tu kwa sababu unaona waarabu walikuletea dini.

Hamas waliwateka waisraeli na kuwafanyia ukatili mbaya sana na majibu ya Israel yalistahiki kabisa.

Hamas sawa na mabwana zao wa Iran nia yao kuu ni kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia ndoto ambayo haitawezekana asilani ila uwezekano mkubwa ni wenyewe kufutwa.
Acha unafiki mbona Wapalestina wanalawitiwa kila kukicha huko magerezani umewahi ona mkiwaita Israel magaidi? Fuatilia habari za westbank kule hakuna Hamas ila kila siku wanateswa, kuuwawa, kubakwa na kuporwa makazi ila walowezi wa kiyahudi au IDF hawaitwi magaidi.

Hili neno gaidi ni la kisiasa sana kuliko uhalisia. Hata hiyo Israel kipindi inapambania kupata uhuru ilikua na vikundi vinalipua treni na kambi za jeshi, mashule na hospitali za serikali ila hawakuwahi kuitwa magaidi.

So tuache kulishwa propaganda, kama issue ni matendo then Hamas na IDF wote wanakua kikundi kimoja.
 
Back
Top Bottom