Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,180
- 138,474
Hizi sio jezi, hizi ni sare 😂😂😂
Hizi zitauzika sana kanda ya ziwaView attachment 3637512
Hizi sio jezi, hizi ni sare 😂😂😂
Kwenye duka lake la nguoHapo ni wapi mkuu
Hayo mazingira ni wapi kaka?
Pilau liliiva?Mbona kama kuna baka baka?
Katoro ndio wanazindulia Yanga day.Hizi zitauzika sana kanda ya ziwa
Dah umewadharau wasukumaHizi zitauzika sana kanda ya ziwa
Ni uchafu😇View attachment 3637512
Hizi sio jezi, hizi ni sare 😂😂😂
Kwa hiyo wameamua kuwapa toleo la shumizi?Utopolo ni the most disappointing gang!View attachment 3637512
Hizi sio jezi, hizi ni sare 😂😂😂
Kila dhambi mnasingiziwa wasugunsu.Hatari sana.Dah umewadharau wasukuma
Daah! Umezitowa wapi hizi?View attachment 3637512
Hizi sio jezi, hizi ni sare 😂😂😂
Za kijeshi halafu😅😅😅.Mbona kama kuna baka baka?
Mkuu ila umejua kuadimika.🤣🤣🤣 acha kutudhalilisha mabingwa.