hela

  1. JamiiForums Tanzania Wamisri waanza kupiga hela kwa kutumia misaada inayokwenda Gaza

    Ndio dunia yetu ilipofikia, yaani wanaitana ndugu kama waarabu na pia dini ila kila mtu anavutia kwake, fursa ikijitokeza unatupa maadili kule na kujichukulia mihela, lori la misaada kupita lazima litoe dola $5,000 Tena hii tozo haram inamfikia generali wa Misri...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume tutafute hela, wanawake wameongeza mahitaji yao

    Wanawake sasaivi wanataka P Bundle, yani Mwanamke akiingia Period apewe mazaga kama sehemu ya kumpooza siku zake.
  3. JamiiForums Tanzania Nataka mwanaume mstaarabu, muaminifu, mwenye kazi asiwe kibenteni. Awe na mbinu za hela, awe handsome, mzuri

    1. Nataka mwanaume mstaarabu, muaminifu, mwenye kazi asiwe kibenteni. Awe na mbinu za hela, awe handsome, mzuri, awe anajiheshimu. Asuchepuke. Awe anawahi kurudi nyumbani. Ajue mahaba, asiwe MUONGEAJI, asiwe na maneno makali. Awe mpole. Anajua mahaba. Wanawake WANAOTAKA WANAUME hao PUNDA MIZANI...
  4. JamiiForums Tanzania Ni kwelii kuna kuandika barua kwa mkono au kutype utie kwenye bahasha na hela mshenga apeleke kwa binti usubiri majibu

    Naitaka Nioe Sasa Kuna MTU kaniambia ukitaka kuoa Kuna mlolongo mrefu hadi kuandika barua kwa mkono au kutype then iende kwa binti usubiri majibu. Binafsi Mimi ni Mtu ambae hua sipendi vitu vya kunisumbua au kusubiri hususani milolongo. Naweza kubadil mawazo ndani ya Dakika moja Sasa nauliza...
  5. JamiiForums Tanzania Tuma hela, shikamoo Nigeria

    Nilikuwa naangalia majuzi fb acc ya nabii mmoja aliwahi mtabiria David kifo cha mwanae Leo nikaona niwasiliane nao nkatuma maombi yangu ya kiroho nioMbewee weee ..kweli hamna vya buree Msg niliyopokea mudaa huuuu Tuna maji ya upako aina 3 Dollar 100 dollar 150 Na 200 Mafuta ya upako dollar...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya yule kijana wa benki alikuwa anaibiia watu hela imefikia wapi?

    Mzuka wanajamvi, Kuna kijana flani alikuwa banker CRDB. Uzi wake uliletwa humu nadhani 2019-2020 akiwa mahakamani kwa uhujumu uchumi kwa kuiba hela za wateja. Alikuwa akiposti mapicha ya yakujionesha insta ana hela nyingi. Nimesahau jina na link. Hivi kesi yake imefika wapi? Yoyote humu...
  7. JamiiForums Tanzania Mzee wetu akaombwe radhi afute neno la "kichwa cha mwendawazimu" else mtateseka mtakula sana hela za wananchi vs Taifa Stars

    Msitafute mchawiiiii 1. Aliikuwa ni Rais kiongozi wa nchi Kumbukeni anaongoza kila mtu anapokasirika hata mbingu inahuzunika Tuliona kirahisi alipoumia na kusema ile timu ni kichwa cha mwendawazimu mkakaa kimya Yale maneno yanafanya kazi, yanaumba kwa stars yetu soln ya kutoka ni kwenda...
  8. JamiiForums Tanzania Ukijichanganya na wadada wa siku hizi, haya mawe lazima yakupate

    Naomba hela yakusuka! Sijala! Mama yangu anaumwa! Gesi imeisha! Sina hela ya bandle! Ukijichanganya na wadada wa siku hizi, haya mawe lazima yakupate! Utadhani kama usingemtongoza angekufa jinsi anavyokutolea shida utadhani ndo uliyemleta duniani!
  9. JamiiForums Tanzania Usimpe hela Mwanamke ila fanya hivi

    Habari zenu, Kumekuwa na kasumba ya wanawake kuomba hela kwa kigezo cha kuumwa au kuomba hela kununua Dawa. Ewe Mwanaume mwenzangu nakuhisia! usijaribu na wala usitume muamala mpaka pale mtakapoongozana na kwenda hospital kumpima ili ujue kama anaumwa kweli au lah! Wanawake wengi wamekuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake wasiokuwa na hela waachie Wazee (Mababu)

    Habari zenu, Kama wewe ni Mwanaume unaejitafuta kimaisha ningependa kukupa ushauri huu, Mademu wasiokua na hela waachie wababu wanaokula pension na washkaji walioachiwa pesa za urithi. Utanishukuru! NB: MADEMU KAUSHA DAMU NDIO NAWAONGELEA HAPA.
  11. JamiiForums Tanzania Serikali kuchelewa kulipa wakandarasi TANROADS, RUWASA; Je Serikali haina hela?

    Toka Awamu ya Mama aingie madarakani kumekuwa na ucheleweshaji wa malipo ya wakandarasi wnaofanya kazi na serekali. Mwezi wa 11 mwaka jana Waziri Bashungwa alifanya kikao na wakandarasi moja ya malalamiko aliyapata ilikuwa na ucheleweshaji wa fedha za wakandarasi tofauti na miaka ya nyuma...
  12. JamiiForums Tanzania Vizinga vinawapotezea wanawake potential husbands. Hela uliyoitafuta kwa jasho inauma sana

    Mwanaume kavutiwa na wewe, karusha ndoano, umekubali. Usiku huo huo unaanza mizinga, naomba 150,000/- mama mdogo ana fibroid anatakiwa upasuaji. Kwa shingo upande unampa. Baada ya siku mbili, mzinga mwingine tena, mdogo wangu kakamatwa na bodaboda ya wizi yuko Oysterbay inatakiwa laki 7 tu...
  13. JamiiForums Tanzania Uzalendo: Tundu Lissu aibuka Ivory Coast kushangilia Taifa Stars

    Huu ndio uzalendo tunaoutaka, Ukitaka kujua mtu ni Mkereketwa wa Timu ya Taifa basi Mwangalie huyu Jamaa. Yaani katumia hela zake binafsi kwenda kuishangilia Timu ya Taifa lake, Uzalendo mtupu.
  14. JamiiForums Tanzania Supu ya pweza inanimalizia hela nashindwa kuiacha

    Za jioni wakuu, supu ya pweza ni maarufu sana Dar es salaam mida ya jioni ambapo tunaona watu wanauza supu kwenye vimeza vyao. Sasa kitu kinachofanya nije leo ni ulevi wa supu ya pweza aisee nimejitahidi kuacha nimeshindwa yaani kila nikitoka kazini njia ya kwenda nyumbani kuna kibanda...
  15. JamiiForums Tanzania Tungo: Hela mwanaharamu, zinanunua mapenzi

    Hela mwanaharamu, zinanunua mapenzi Utapata mautamu, bila hata ya hirizi Shingoni atakuchumu na tabasamu la kiwizi Atasema bby tamu, na yatamtoka machozi Bby wew mtaalam, tena anamwaga radhi Bby unanipa hamu, anakupa na pongezi Kumbe mwana haramu, anajifanya mwanafunzi Jaman nyie mademu, wanaume...
  16. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu nikimpa hela hataki

    Anasema anataka hela aliyotafuta kwa mikono yake 😅
  17. JamiiForums Tanzania Hivi wadada kama ukiambiwa uchague mmoja kati ya mwanaume mwenye mapenzi ya kweli au mwanaume mwenye hela?

    Hivi wadada bora kupata mwanaume mwenye mapenzi ya kweli au kupata mwanaume mwenye hela? Hebu funguka unachagua nini? #nyumayapazia
  18. JamiiForums Tanzania Mwaka ndo umeanza sasa hebu tuambie ni mchongo gani wenye hela ndefu wa kufanya katika kipindi hiki, mwanzo wa mwaka?

    Mwaka ndo umeanza sasa hebu tuambie ni mchongo gani wenye hela ndefu wa kufanya katika kipindi hiki, mwanzo wa mwaka? #rushamchongo
  19. JamiiForums Tanzania Nimeliwa baada ya kutrade forex hela ya matumizi ya nyumba na nauli ya mdogo wangu kwenda shule.

    dah sijui nafanya nini mimi jamani.pesa ambayo ilikuwa ya matumizi ya nyumbani na nauli ya mdogo wangu kwenda shuleni niliingia ushawishi nikaipeleka kwenye forex. najuta sijui ntafanya nini mimi na sina sehemu ya kukopa sina mchele wala unga ndani,upumbavu wangu mimi kuipeleka laki tatu yote...
  20. JamiiForums Tanzania Tungo: Hatoki karibu yako pindi ukiwa na hela

    Hatoki karb yako, pale ukiwa na hela. Ataacha chokochoko, penzi lote utapewa. Hata ukiwa mnoko, sifa tele wamwagiwa. Utapata madikodiko, na mapenzi utalewa. mke atakuelewa pindi ukiwa na hela. Utaliona sokomoko, pindi ukiishiwa. Tena utakua kituko, na talaka utapewa. Utaitwa mbwa Koko, au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…