hela

  1. benzemah

    Walimu Wamchangia Rais Samia Hela ya Fomu Kugombea Urais 2025

    UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais kwa mwaka 2025 ambao wameuita kama kapu la mama.
  2. MK254

    Hili tajiri lililokua linatoa hela kwa HAMAS limeuawa

    Hakuna anayesazwa... https://twitter.com/IDF/status/1737047329679482899?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1737047329679482899%7Ctwgr%5E65eabd3a6b41d8dd116685a17d936eaad3131cfb%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.jpost.com%2Fisrael-hamas-war%2Farticle-778632
  3. Pdidy

    Vijana mlio dhulumiwa pesa na TFF gomeni, ikiwezekana chomesheni mechi

    Kuna vukundi vya wahuni wachache wao wakisikia hela wanatetemeka na kugeuka kuwa mashetani. Nimesoma sehemu mbalimbali madogo wakilalamikia kupewa buku 20, msiwe wajinga waonyesheni hamjaenda kunyonyesha watoto maziwa kama wanavyowachukulia. Muwe pamoja, onyesheni umoja kama mnamechi...
  4. Lanlady

    Mitandao ya simu inakata hela bila mtu kujiunga na huduma yoyote. Haya mambo wakati wa Hayati Magufuli hayakuwepo

    Huo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini. Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu. Gharama za maisha zipo juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga na huduma fulani wakati...
  5. Erythrocyte

    Joseph Mbilinyi (Sugu) apanda Mazabauni kushiriki Ibada ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa, Achangia hela ndefu

    Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Nchi mbalimbali (kimataifa) , Bilionea Joseph Mbilinyi, leo ameshiriki ibada Maalum ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa katika Parokia ya Ruanda Jijini Mbeya . Mbali na yeye mwenyewe kuchangia kitita kizito kitakachosogeza mbele Ujenzi wa...
  6. Poppy Hatonn

    Kukagua vyanzo za utajiri kutawawezesha maafisa wa usalama kupata hela za kutumia christmas

    Serikali ilijenga nyumba Chanika halafu zikawa hazinunuliwi. Magufuli akaenda Chanika,akasema tutapunguza bei ya hizi nyumba ili watu wamudu kuzinunua. Jennister Mhagama ndiye alikuwa waziri mhusika wakati ule. Tatizo ,wanasema,kwa nini nyumba zile zilikuwa hazinunuliwi ni kwamba watu walipokuwa...
  7. Trainee

    Wakati unatafuta hela kwa udi na uvumba kuna mwenzako amezitupa hela huko kama takataka vile

    Inasemekana alionekana mtu akikuchunuku tu anakuita anakupa "mihela" basi watu wakafaidi hela waliofaidi. Wakatikea waja wema wakamsihi aachane na zoezi hilo maana huenda ingekuwa ni hatari kwa usalama wa maisha yake kwani watu walishaanza kusambaziana taarifa kuwa "kuna mtu anagawa mapesa hovyo...
  8. amshapopo

    Hela ndogo ndogo unazozidharau ndo chanzo cha kufeli kwenye maisha yako

    Wasalam, Watanzania wengi tumekuwa na tabia ya kudharau pesa ndogo ndogo tuzipatazo. Chukulia mtu anaingiza ujira wa 10,000 kwa siku anakula na kutumia yote bila kusave chochote. Just imagine kama angesevu hata 3,000 kila siku kwa mwezi angeweza hata nunua mfuko wa mbolea kutosha kuanzia kulima...
  9. ajent45

    Hela zangu hazitaki kutoka kwenye Tigo lipa

    Habari za jioni, Aisee tangu jana laini yangu ya tigo lipa haikubali kuhamisha pesa zilizopo kwenye laini ya tigo ya wakala sasa kuna laki saba na ushee na pesa haitaki kuhama mara naambiwa network error, inajicancel tu au inasema huduma hii haipatikani kwa sasa Dah mtaji wenyewe wa kuunga...
  10. Smith Rowe

    Kwanini wafanyakazi wengi wa Serikali wanapenda kutengeneza mazingira ya kupewa hela katika huduma wanazotoa?

    Mzuka, Hivi ni Serikali haiwalipi watumishi wake au shida ni nini? Yaani unaenda kufata huduma ofisi za Serikali lakini mtoa huduma muda wote anatengeneza mazingira ya kupewa hela (rushwa). Ofisi imeandikwa kabisa huduma hiyo ni bure lakini yeye anataka umpe hela akusaidie wakati hilo ndo...
  11. Njaa

    Wapi soko la hela za Kijerumani (Rupee) - ninazo

    Wakuu! Nina sarafu za kizamani za watawala mbali mbali...., kabla sijawa nazo niliambiwa ni dili sana. Leo nimezipata (angalia baadhi ya picha), hivi soko lipo wapi? Mwenye idea aje DM tuongee Ujuaji sitaki Karibu Njaa
  12. MKATA KIU

    Kazi ya kusaka mke / mume ni ngumu sana ukiwa above 30 na umejipata kimaisha. ila mwanamke / mume unamuona anafata hela zako. Ushauri kijana oa mapema

    Habari wadau. Kwa research yangu isiyo rasmi. Kazi ya kusaka mwenza wa maisha ni ngumu sana ukianza kuifanya ukiwa na age above 30s.. Imani yako kwa watu inakuwa ndogo sana kutokana na uhalisia wa ubongo wako ulivyopevuka. Hii inawatokea vijana wengi wa kiume na wa kike waliojipata. Yaani...
  13. Morning_star

    Hela si ya kwako! Lakini inavyokuuma kuitoa sijui kwanini? Omba Mungu akusaidie!

    Kwamfano! Hupo hapo hohehahe! Umepigika unahustle utoboe kwambinde lakini unaangukia pua! Mara gafla Mungu anaingilia kati kulipwa mojawapo ya haki yako iliyokuwa imezuiliwa kwa miaka mingi! Mungu anakusemesha kuhusu baadhi ya sadaka kama sadaka ya limbuko, zaka, zabiu, mbegu, n.k! Kuanzia...
  14. Maleven

    Nashuhudia mbele yenu, hii ndio hela yangu ya mwisho kuhonga

    Tangu mwezi wa nne hadi sasa nimetumia laki nane (800,000+). Wastani wa laki moja kila mwezi. Kwa anasa inayohusu wanawake, kuanzia sasa naachana na haya mambo kabisa. N.B kama unaona hela hii ni ndogo kwako kwangu ni kubwa sana.
  15. F

    Mtu kauza kiwanja. baada ya kupokea hela kagoma kutransfer umiliki wa kiwanja chake kwenda kwa mnunuzi

    habari wadau. wataalamu wa sheria naomba majibu yenu. JUMA anamiliki kiwanja chenye sqm 1200. amepatwa na shida ameamua kumuuzia AMINA sehemu ya kiwanja chake. kamuuzia sqm 400 na yeye JUMA amebaki na Sqm 800. wameandikishana kwenye mkataba wao wa makubaliano. kuwa baada ya kupokea hela...
  16. kocha Nabi

    Tigo Tanzania mna shida gani simu zinasoma "emergence call"?

    Ndani ya dkk 10 zilizopita mawasiliano yangu na mteja yamekatika nilijua ni tatizo la simu. cha ajabu nikitafuta watu watsap nao wananiambia line yao ya tigo ipo emergence call. Hii ndo line ya huduma ofisini kwangu ntakufaa njaa. Wahusika fanyieni kazi.
  17. LIKUD

    Kuweni makini na vibanda vya huduma ya pesa kwa njia ya simu, wengi hutoa hela mbovu

    Ni kama vile huwa wanaambiana au wanapeana semina. Hii imenitokea mara nyingi mpaka nilipo anza kuchukua tahadhari. Hii inawahusu zaidi wanao toa kuanzia laki 2, 3 na kuendelea lakini pia hata wanao toa chini ya hapo inawahusu pia. Ni hivi ukienda kutoa hela kuanzia lets say laki 2 au 3...
  18. DR Mambo Jambo

    VIDEO: Usimuamini sana mwanamke na wala usimpime kwa upuuzi huu aliofanya huyu jamaa. Utajinyonga bure

    Salamu kwenu, hili liwe fundisho kwa wote wanaume na wanawake kuwa Mwanamke hajaribiwi kwa hela 🤣🤣
  19. 5 Nyingi

    Hela za kubeti zina nini? Kwanini ukizipata haufanyi kitu cha maana?

    Nimeanza kubeti muda mrefu bila mafanikio, mara chache sana nimewahi kula elfu 10 mpaka elfu 50. Siku chache zilizopita kwa mara yakwanza nikala m 7 kasoro, sasa picha linaanza leo nina kama laki 4 tu. Nyingine yote sijui nimeitumia vipi. Cha maana nilichofanya ni kununua kiwanja cha 1.2 M...
  20. fundi bishoo

    Nani mwenye jukumu la kulipa hela ya kunyonya maji ya choo endapo kitajaa kati ya mwenye nyumba na mpangaji

    Kwema wakuu nataka nilianzishe hapa maana mtu unalipa kodi kila baada ya miezi 6 halafu choo kimejaa, mwenye nyumba hakai hapa lakini je ni nani mwenye jukumu la kulipa wakati sio mwenye nyumba ndo anaestahili kulipa hyo pesa kama shilingi 80,000. Inakuaje wapangaji tupigishwe mchango wa elfu...
Back
Top Bottom