Tafuta mwanamke uoe, haya ndio maumbile tuliyoumbiwa

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
2,536
4,513
Salaam,

Kuna kampeni inaendeshwa kimya kimya na wahuni kushawishi watu wasioe... Yaani watu waikatae NATURE... Maumbile yao ya asili...

Sasa wewe usipooa... Maji maji yako unayajaza unamwekea nani?

Unakataa kuoa kwa sababu ya chuki dhidi ya wanawake... Sasa ukiwachukia wanawake... Alafu uwapende wanaume eeh... Si ndio mnapoelekea kwenye kupendana wenyewe kwa wenyewe... USHOGA...

MY FRIEND OA... OA MWANAMKE HARAKA...

OA WANAWAKE HATA WAWILI WATATU MPAKA WANNE... HAYO NDIO MAUMBILE YETU TULIYOUMBIWA...

Kiasili Kimaumbile MWANAUME RIJALI ALIYE SAWA SAWA HAWEZI KUTOSHELEZWA NA MKE MMOJA...

MWANAMKE MMOJA KIMAUMBILE HAWEZI KUHIMILI MIKIKIMIKIKI YA MWANAUME RIJALI...

Ukitaka kuamini hilo... Angalia kwanini imekatazwa kumuingilia mwanamke akiwa hedhi na akitoka kujifungua mpaka damu iishe?

Kiasili Mwanamke maumbile yake yanachakaa haraka na kupoteza ladha ikiwa akiingiliwa kila siku kila mara iwe na mwanaume mmoja au na wanaume tofauti(ukitaka kuamini kawaangalie makahaba).

Na mwanaume rijali yeye anahitaji takribani kila siku apate huduma... Jambo ambalo mwanamke mmoja pekee yake haliwezi... Ndio maana uislaam kwakuwa ni dini ya kimaumbile wakaamrishwa MWANAUME MMOJA wanawake wawili watatu au wanne. Na hili jambo limethibitishwa kwa utafiti makini na LIMEJARIBIWA(MUJARRABU) Hapo nimeeleza kwa kifupi ukitaka zaidi njoo darsani kwangu.

LAKINI UKIWA HUTAKI KUOA KABISA KISA HUTAKI WANAWAKE SIJUI BLAA BLAA NYINGI... HUNA TOFAUTI NA MASHOGA... NA UNAPOELEKEA UTAKUWA SHOGA.
 
Umeongea point Aya ya Kwanza kuendelea kote Ni utopolo umeandika

Awe rijali awe bazazi hakuna mwanamke anayemshindwa mwanaume
Hahahah nacheka tu... Sema umekutana na wanaume pungufu. Hujakutana na wanaume rijali.

Mwanaume rijali kama mimi... Yaani mimi ninahitaji tendo kama chakula... Nikirudi tu kila siku uwe umejiandaa. Yaani kila siku tena mara mbili kwa siku asubuhi napotoka na jioni nikirudi.

Wikiendi mara tatu yaani tushinde ndani tu. Kula ndio mapumziko.

Wewe huwezi. Na hutaweza... Lazima usaidiwe... Ili siku nyingine upumzike...UPUMZISHE VIUNGO VYAKO... VIREJESHE ELASTICITY... OTHERWISE VITALEGEA NA UTAPOTEZA HAMU YA TENDO KABISA... NA HIYO INA MADHARA ZAIDI KWAKO...
 
Salaam,

Kuna kampeni inaendeshwa kimya kimya na wahuni kushawishi watu wasioe... Yaani watu waikatae NATURE... Maumbile yao ya asili...

Sasa wewe usipooa... Maji maji yako unayajaza unamwekea nani?

Unakataa kuoa kwa sababu ya chuki dhidi ya wanawake... Sasa ukiwachukia wanawake... Alafu uwapende wanaume eeh... Si ndio mnapoelekea kwenye kupendana wenyewe kwa wenyewe... USHOGA...

MY FRIEND OA... OA MWANAMKE HARAKA...

OA WANAWAKE HATA WAWILI WATATU MPAKA WANNE... HAYO NDIO MAUMBILE YETU TULIYOUMBIWA...

Kiasili Kimaumbile MWANAUME RIJALI ALIYE SAWA SAWA HAWEZI KUTOSHELEZWA NA MKE MMOJA...

MWANAMKE MMOJA KIMAUMBILE HAWEZI KUHIMILI MIKIKIMIKIKI YA MWANAUME RIJALI...

Ukitaka kuamini hilo... Angalia kwanini imekatazwa kumuingilia mwanamke akiwa hedhi na akitoka kujifungua mpaka damu iishe?

Kiasili Mwanamke maumbile yake yanachakaa haraka na kupoteza ladha ikiwa akiingiliwa kila siku kila mara iwe na mwanaume mmoja au na wanaume tofauti(ukitaka kuamini kawaangalie makahaba).

Na mwanaume rijali yeye anahitaji takribani kila siku apate huduma... Jambo ambalo mwanamke mmoja pekee yake haliwezi... Ndio maana uislaam kwakuwa ni dini ya kimaumbile wakaamrishwa MWANAUME MMOJA wanawake wawili watatu au wanne. Na hili jambo limethibitishwa kwa utafiti makini na LIMEJARIBIWA(MUJARRABU) Hapo nimeeleza kwa kifupi ukitaka zaidi njoo darsani kwangu.

LAKINI UKIWA HUTAKI KUOA KABISA KISA HUTAKI WANAWAKE SIJUI BLAA BLAA NYINGI... HUNA TOFAUTI NA MASHOGA... NA UNAPOELEKEA UTAKUWA SHOGA.
Hao waislamu unaotaka waoe wanawake wawili,watatu mpaka wanne wako wapi,ni hawa hawa wa chipsi mayai au kuna wengine?maana mtu ana mke mmoja bado anatembea naye mara moja kwa wiki au wiki mbili,sasa akiwa na 4 itakuwaje hiyo......
 
Hahahah nacheka tu... Sema umekutana na wanaume pungufu... Hujakutana na wanaume rijali...

Mwanaume rijali kama mimi... Yaani mimi ninahitaji tendo kama chakula... Nikirudi tu kila siku uwe umejiandaa... Yaani kila siku tena mara mbili kwa siku asubuhi napotoka na jioni nikirudi...

Wikiendi mara tatu yaani tushinde ndani tu... Kula ndio mapumziko...

Wewe huwezi... Na hutaweza... Lazima usaidiwe... Ili siku nyingine upumzike...UPUMZISHE VIUNGO VYAKO... VIREJESHE ELASTICITY... OTHERWISE VITALEGEA NA UTAPOTEZA HAMU YA TENDO KABISA... NA HIYO INA MADHARA ZAIDI KWAKO...
Sa mara mbili kwa siku unajisifiia mkuu wenzio wanaenda sita saba weekend hadi 20 kumbe hata wewe bado dafu hulifui
 
Hao waislamu unaotaka waoe wanawake wawili,watatu mpaka wanne wako wapi,ni hawa hawa wa chipsi mayai au kuna wengine?maana mtu ana mke mmoja bado anatembea naye mara moja kwa wiki au wiki mbili,sasa akiwa na 4 itakuwaje hiyo......
Achana na hao wa chipsi... Kuna mwanaume mpaka mkewe anamwambia aisee oa mwingine anisaidie... Maana yake shughuli ni nzito... Tena mimi nahitaji wanne kabisa ndio atleast nitaridhika... Zamu ya siku moja moja... Yaani utaishi kama upo peponi... Alhamdulillaah kwa nguvu na uwezo Allaah alionipa...
 
Salaam,

Kuna kampeni inaendeshwa kimya kimya na wahuni kushawishi watu wasioe... Yaani watu waikatae NATURE... Maumbile yao ya asili...

Sasa wewe usipooa... Maji maji yako unayajaza unamwekea nani?

Unakataa kuoa kwa sababu ya chuki dhidi ya wanawake... Sasa ukiwachukia wanawake... Alafu uwapende wanaume eeh... Si ndio mnapoelekea kwenye kupendana wenyewe kwa wenyewe... USHOGA...

MY FRIEND OA... OA MWANAMKE HARAKA...

OA WANAWAKE HATA WAWILI WATATU MPAKA WANNE... HAYO NDIO MAUMBILE YETU TULIYOUMBIWA...

Kiasili Kimaumbile MWANAUME RIJALI ALIYE SAWA SAWA HAWEZI KUTOSHELEZWA NA MKE MMOJA...

MWANAMKE MMOJA KIMAUMBILE HAWEZI KUHIMILI MIKIKIMIKIKI YA MWANAUME RIJALI...

Ukitaka kuamini hilo... Angalia kwanini imekatazwa kumuingilia mwanamke akiwa hedhi na akitoka kujifungua mpaka damu iishe?

Kiasili Mwanamke maumbile yake yanachakaa haraka na kupoteza ladha ikiwa akiingiliwa kila siku kila mara iwe na mwanaume mmoja au na wanaume tofauti(ukitaka kuamini kawaangalie makahaba).

Na mwanaume rijali yeye anahitaji takribani kila siku apate huduma... Jambo ambalo mwanamke mmoja pekee yake haliwezi... Ndio maana uislaam kwakuwa ni dini ya kimaumbile wakaamrishwa MWANAUME MMOJA wanawake wawili watatu au wanne. Na hili jambo limethibitishwa kwa utafiti makini na LIMEJARIBIWA(MUJARRABU) Hapo nimeeleza kwa kifupi ukitaka zaidi njoo darsani kwangu.

LAKINI UKIWA HUTAKI KUOA KABISA KISA HUTAKI WANAWAKE SIJUI BLAA BLAA NYINGI... HUNA TOFAUTI NA MASHOGA... NA UNAPOELEKEA UTAKUWA SHOGA.
Kweli aoe
 
Waambie wakimuona mzabzab National Anthem kina Mad Max na kina DeepPond Wana wake saba saba wanasema oooh hawa wanahuni sijui nin na nin🤨
 
Sa mara mbili kwa siku unajisifiia mkuu wenzio wanaenda sita saba weekend hadi 20 kumbe hata wewe bado dafu hulifui
Sijazungua mabao hapo... Nimezungumzia nyakati za kuwa wote...

Sasa nikupe siri nyingine...

Mwanaume anayepiga bao nyingi ni dalili ya upungufu wa nguvu za kiume... Njooni inbox niwatibie BI IDHNILLAAH...

Mwanaume mwenye nguvu hasifiki kwa idadi ya bao... Anasifika kwa MUDA ANAOTUMIA KUTOKA BAO MOJA KWENDA JINGINE... Hiyo ni moja...

Mbili, Mwanaume rijali hasifiki kwa idadi ya bao anazozipiga yeye... Ila atasifika kwa IDADI YA MABAO ANAYOMPIGISHA MWANAMKE(anamfikisha mwanamke kileleni mara ngapi).
 
Back
Top Bottom