Serikali ya China yalaumu wahitimu wa vyuo vikuu kwamba ni wavivu, wabishi, hawataki kazi ngumu

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Kutokana na kuongezeka kwa tatizo la ukosefu wa ajira, Serikali ya China imewaangushia wahitimu wa vyuo vikuu zigo la lawama kwamba ni wavivu, wabishi na hawataki kazi ngumu za shambani.

Hii ni kutokana na kwamba wahitimu wengi hawataki kurudi makwao vijijini kwa wazazi wako wakashiriki kazi za shamba ama kilimo, wanakatalia mjini.

Marekani wao wanasema kizazi cha wasomi wa sasa ni wabishi, wajuaji na hawana nidhamu.

=====

Beijing | China is shifting the blame for surging youth unemployment on to jobless university graduates, accusing them of refusing to put aside their professional ambitions and take on manual labour.

In recent weeks, state broadcasters and news agencies have published more than a dozen profiles of recent university graduates who allegedly made a fortune in low-skilled jobs such as selling street food or growing fruit, rather than pursuing a career in their area of study.

Zaidi soma=> Hapa
 
Kama hazipo inamaanisha wametapeliwa, ni kama Kalyinda.
Vinginevyo hao wanaowashangaa ambao ni serikali ya Chini watoe tamko kuwa Elimu sio lazima na haikupi kazi nzuri, na kuna Tatizo la Ajira uone wanafunzi wakiacha shule

Uko sahihi elimu za darasani kwa sasa ni utapeli, wa wazi yaani unawapa pesa, unapoteza muda halafu unaambulia makaratasi ambayo ukienda benki hauwezi kukopea mkopo, au kwa mama ntilie vyeti vyako hawezi kukupa sahani ya wali wa elfu mbili, hapa dawa ni tuelekeze watoto, wadogo zetu kujiendeleza kwenye ujuzi wa vitu mbalimbali hizi elimu za nadharia ni mbaya mno
 
Kazi ngumu si lazima kama zipi? Kulima au kuvunja mawe….

siku hizi kuna youtubers, tiktokers, only fans, brand influencers, uandishi wa vitabu etc vijana wanatengeneza pesa nzuri tu.

Kazi ngumu ni huku kwetu tu ambapo mtandao haulipi kivileee.
 
Kama hazipo inamaanisha wametapeliwa, ni kama Kalyinda.
Vinginevyo hao wanaowashangaa ambao ni serikali ya Chini watoe tamko kuwa Elimu sio lazima na haikupi kazi nzuri, na kuna Tatizo la Ajira uone wanafunzi wakiacha shule
😄😄Mtibeli bana.watu wanasoma siyo kwaajil ya kufanya kazi ngumu
 
Pale tulipogeuza Elimu kuwa chanzo cha kipato ndipo tulipokosea.

Elimu maana yake ni kujipatia maarifa ya mambo ambayo huyafahamu ili kukabiliana na mazingira yanayokuzunguka..

Sasa endapo elimu inaweza kumuwezesha mtu kupata kipato hilo ni jambo lingine tofauti.
 
Uko sahihi halafu fursa ni chache hadi uwe na macho makali ndio utaona fursa na zaidi ya hapo utatembea na bahasha miaka yote
 
Kama hazipo inamaanisha wametapeliwa, ni kama Kalyinda.
Vinginevyo hao wanaowashangaa ambao ni serikali ya Chini watoe tamko kuwa Elimu sio lazima na haikupi kazi nzuri, na kuna Tatizo la Ajira uone wanafunzi wakiacha shule
Uko sahihi, wakisema elimu haina maana Hawa vijana hawatasomesha watoto wao na hilo litakuwa pigo kwa Taifa Kama China.
 
Back
Top Bottom