hawataki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Huyu Gentamycine ni wale jamaa tulikua tunawakimbiza class halafu hawataki kukubali

    Ni almost miaka kadhaa, nimekua nikimsoma huyu jamaa, lakini nimekuja kugundua kwa sisi vipanga wala kodi za wajinga kama huyu GENTAMYCINE, ni kweli huyu mtu ni wale wapenda sifa wa darasa wasiokua na uwezo, nimemkumbuka jamaa yangu mmoja special school miaka ya 2003s tukiwa Olevel, ilitokea...
  2. Criss

    JamiiForums Tanzania Kama hawataki kistaarabu,tuwalazimishe tu.

    Kwani ikitokea muwakilishi amekufa leo nini kitatokea? Tarehe ya uchaguzi si itatangazwa au ? Situanzieni hapo au? kula vyuma wote ,kwani wapo wangapi? 👺 Sihawataki kistaarabu wacha tulazimishane tu.
  3. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuna ambao wanajifanya maandamano ya kudai uhuru wa kiraia,kukataa ubadhirifu na mauaji hayawahusu, ndio hao haki ikipatikana wataanza tena kufurahia

    Huwa ipo hivyo , kwa sasa wanajifanya hayawahusu kwa sababu tangu uhuru hawajawahi iona tanganyika yenye uhuru wa kiraia , yenye uwajibishanaji, inayo heshimu haki na utu wa mtanganyika kwa vitendo na sio maneno. Tanganyika isiyo na rushwa wala viongozi kujilimbikizia mali na familia zao...
  4. H

    JamiiForums Tanzania UKWELI MCHUNGU (GEN Z Hawataki Kusikia Lakini ni Ukweli 100%)

    1. School Won’t Make You Rich — But School Is NOT a Scam Shule haikubuniwa kukufanya uwe tajiri. Shule ilibuniwa kukufanya uwe mtu wa kawaida mwenye nidhamu, uwezo wa kusoma, kuandika na kufikiri. Kufanikiwa ni kazi ya skills, mtaji wa mawazo, na maamuzi ya kiuchumi, sio tu cheti. Cheti ni...
  5. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini Hawawezi Kuiponya Nchi Lile Jeraha Ambalo Hawataki Kuliona

    Tanzania inapitia moja ya sura zake za giza zaidi tangu kupata uhuru. Matukio yaliyoambatana na uchaguzi mkuu wa 29 Oktoba 2025—uliogubikwa na madai ya ubakaji wa demokrasia, na ukandamizaji mkali wa maandamano ya vijana—yameitikisa nchi ambayo kwa muda mrefu ilijivunia utulivu wake. Mamia ya...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Watanzania hawataki changamoto ila wanataka mafanikio tu

    Kama ukitaka kujua watanzania wanafiki kaishi nao nchi za nje ndio utajua watanzania wapoje. Nasema ili sio kwa kutunga ni ukweli mtupu. Mtanzania hataki changamoto yoyote ya mabadiliko wa kuthubutu kama ugali na dagaa hupo nyumbani kwake. Leo mtaani ukianzisha biashara ya mavi ya kuku...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwanini hawataki kukubali kuwa upendeleo wa familia zao na ufisadi umesababisha vurugu?

    Kwamba familia za Kikwete, Mwinyi, Rais Samia na wengineo ndio wanafaidi keki ya taifa. Huku majority wanahangaika hata kupata ugali dagaa. Leo hii wanasema waandamanaji ni vibaka. Ufisadi, kujipendelea, wizi wa mali za umma, kudharau wananchi na kuwaona wajinga ni balaa kwa taifa
  8. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kampuni za mabasi zasitisha safari kupisha kimoja kati ya uchaguzi au maandamano. Matajiri hawataki kuweka Mali Hatarini

  9. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Vipi kitaani kwako ni kauli ipi watu hawataki kuisikia?

  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gerson Msigwa: Watanzania wangekuwa hawataki kushiriki Uchaguzi 2025 wasingejitokeza kwenye kampeni

    Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amejibu maswali kadhaa wakati wa mahojiano aliyofanya na Kituo cha UTV, leo Jumatatu Oktoba 13, 2025; Mnadhani kwa nini Maandamano yanapangwa Siku ya Uchaguzi? Siamini kama Wananchi...
  11. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo jamii inakutaka usiyazingatie ili uitwe gentleman(code name ya simp)

    1.Boyfriend ni jina ambalo unapewa ili upumbuzwe na kubeba rasmi majukumu ya baba wa mwanamke. Inawezekana wapo wahuni ambao hawaitwi boyfriend na wanamnyandua. 2.Demu wako angekua na chaguo bora zaidi yako angekuacha. Yupo na wewe kwa sababu kuu mbili. Moja, anasikilizia kama harakati zako...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hii hali ya kuwa kuna waajiriwa wana maisha mazuri kuliko wafanyabiashara kibao ni kitu watu huwa hawataki kukubali ila ukweli hauwezi kubadilika.

    watanzania wengi wapo brainwashed kutetea biashara ndio njia pekee ya kutoboa na mifano lazima iwe ile ya kina MO na Bakhresa, Ni kweli biashara ndio sekta inayotajirisha zaidi lakini haimaanishi watu wenye ajira wana maisha mabaya. kuna waajiriwa wengi wana maisha mazuri ya uhakika kuzidi...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Jasmine Razack: Yanga wana Roho mbaya, wamegoma kumuuza Mzize, wanataka dola Million moja

    Manager na msimamizi wa mchezaji Clement Mzize amesema kuwa Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mzize akatafute malisho mzuri mahala pengine. Amehoji kuwa club ya Al Masry ilikuja na dollar 600k Yanga wakagoma kuwa wanahitaji dollar 1m, akaendelea kusema kuwa Yanga kama walimuuza Mayele...
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Wananchi wa Butiama wamzomea Jumanne Sagini wakati anaomba kura za maoni. Hawataki hata kumsikia

    Wakuu, Yaani wananchi hawana mchezo sasa hivi wanaruka na kila mtu. Leo wameruka na Sagini Haijalishi wewe ni Waziri au Mbunge lakini wanaruka na wewe na hapa ni kwenye kura za maoni tu tunasubiri kuona kwenye kampeni itakuwaje.
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kudhurumiana wenyewe hawataki lakini kudhurumu wengine ni furaha

    Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu !!! Ccm kuwatapeli vyama vingine huwa wanaona raha lkn Samia kawatapeli sasa wanahaha mpaka wanatamani kutoana roho. Haya machungu ya kina Polepole wanadhani wapinzani huwa wanatania!!? Kila mara kuiba kura ,kuwaua na kuwazuia kufanya siasa na wakiongea...
  16. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Watu wanataka kujua kama Polepole amejiuzulu. Hawataki kujua kwanini amejiuzulu

    Kwa sababu Amos Makalla amesema hana taarifa. Kwa sababu siku hizi kuna fake news nyingi watu wanataka uhakiki wa hii taarifa. Na hata Makalla amesema mwachie Polepole mwenyewe athibitishe. Kuhusu sababu za kujiuzulu kama zinaweza kusemwa bila kuanzisha ugomvi. Tunakumbuka Kolimba alivyosema CCM...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Jeshi la Polisi, hawataki Waumini wa Ufufuo na Uzima wamwabudu Mungu, Hata Leo ,Walituma Askari Polisi kwenda Kuzuia Ibada ya Waumini

    Video hii hapa Wakuu !. https://youtu.be/zwQUrn544As?si=5x4Ui0D4tQBilTOt
  18. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Maboss Azam Media hawataki tuitoe habari ya kujiuzuru kwa Humphrey Polepole

    Wakuu kunazidi kuchanganya. Habari hiyo huenda leo isitoke kwenye media zetu pendwa wakati ndio habari ya siku.
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna mdada humu aliandika akiwa karibu na wanaume wanaweweseka, yeye anaona kama sifa hivi ila ajui kuwa wanamkimbia hawataki vizinga

    Saikolojia ya wadada wengi wenye makalio makubwa ni kufikiria kinyume nyume kama ilivyo minyama yao iliorudi nyuma.
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Brics yaanza kulia lia kumlilia Trump. Nimeshangaa maneno ya Ramaphosa. Asema wao hawataki kushindana na yeyote

Back
Top Bottom