Toyota Hilux: Hi chuma TRA hawataki tuimiliki

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
20,898
55,940
Mi hadi nachoka. Hawa jamaa bwana. Naikuta single cabin CIF $6,000 (mil 16) uko Beforward.

Screenshot_20240522-175054.png

Hafu eti ushuru sasa wa TRA mil 28 unalipa. Karibia mara mbili ya bei ya kununua.

Screenshot_20240522-175042.png

Gari ya kazi tunabaniana. Sasa ukigusa double cabin unakuta CIF kubwa na ushuru 30+
 
Mi hadi nachoka. Hawa jamaa bwana. Naikuta single cabin CIF $6,000 (mil 16) uko Beforward.

View attachment 2996869

Hafu eti ushuru sasa wa TRA mil 28 unalipa. Karibia mara mbili ya bei ya kununua.

View attachment 2996871

Gari ya kazi tunabaniana. Sasa ukigusa double cabin unakuta CIF kubwa na ushuru 30+

Hii nchi sio kabisa, ushuru pekee unanunua gari mbili kama hizo, aise jahannam itasomba wengi sana mkuu.
 
Back
Top Bottom