hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Utachukua hatua gani ukigundua watoto unaolea siyo wa kwako?

    Habari za muda huu wapendwa...bila shaka sote tuwazima wa AFYA. Maisha ya kimapenzi yamejawa changamoto na vitimbi vya kila aina. Mara nyingi wale tuliowapenda na kuwathamini ndio wanaotuletea vunjiko la moyo na maumivu yasiyoisha. Wahenga wanasema kuwa lisemwalo lipo kama halipo laja...
  2. JamiiForums Tanzania Dondoo za hatua za kupata hati ya umiliki wa ardhi hapa Tanzania kwa mwaka 2022

    Utangulizi. Cheti cha umiliki wa ardhi. Ni nakala itolewayo kwa mtu ikionyesha haki yake ya kukodishiwa ardhi husika ndani ya miaka fulani. Anayepewa hati hii anakuwa amekodishiwa ardhi na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ardhi hiyo husimamiwa na raisi wa Jamhuri kwa niaba ya watanzania wote...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Nashauri Spika Ndugai ajiuzulu

    Ndugu zangu wa JF Nitoe maoni yangu kama Mtanzania Mzalendo kufuatia kauli ya Ndugai kubeza kitendo cha Rais Samia kuendelea na Sera ya kukopa Fedha nje ya Nchi kugharamia miradi ya Maendeleo Kauli ya Mheshimiwa Ndugai sio tu inabeza na kudharau mamlaka ya Rais bali inalenga kuhujumu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais kumlaumu Mkuu wa Mhimili wa Bunge, hatua mujarabu ni avunje Bunge

    Rais Samia Suluhu Hassan kusema kiongozi mhimili wa Bunge kuusema mhimili wa serikali kuu yaani taasisi ya Urais ni dalili za kutengeneza mazingira ya kushindana naye katika uchaguzi wa 2025 inaashiria hali ya sintofahamu ndani ya chama tawala. Huku bunge la Tanzania kuwa la chama kimoja baada...
  5. JamiiForums Tanzania Marekani yatishia kuchukua hatua mpya dhidi ya Myanmar

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken amesema Washington inapania kuchukua hatua mpya ili kushinikiza utawala wa jeshi nchini Myanmar kurudisha serikali ya kiraia, katika wakati ambapo wasiwasi unazidi kuongezeka kutokana na kukandamizwa wapinzani. Akizungumza wakati wa ziara...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Waliompiga picha na kuzisambaza binti anayehusishwa na chupa ya soda wanafaa kuchukuliwa hatua

    Nalaani kitendo kilichofanywa na askari wa Jeshi la Polisi kumwita mtuhumiwa ofisini kwao nakumkalisha chini Kisha kumpiga picha nakuzisambaza. Hii siyo sahihi kabisa, sidhani kama watoto wao wanapotuhumiwa au watoto wa viongozi wanapokengeuka tunawafanyia hivi. Lakini jambo la pili huyu mtoto...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali inawachukulia hatua gani waajiri wanaoipatishia hasara serikali kwa kufukuza kazi watumishi kihuni?

    Kumezuka tabia ya watumishi wa umma kufukuzwa kazi kihuni na waajiri wao na kutokana na kutofuraishwa na kufukuzwa kwao , watumishi hao huwa wanaenda kufungua malalamiko huko CMA Commission for Mediation and Arbitration na mwishowe huwa maamuzi hufikiwa idara hiyo ya serikali hutakiwa kumlipa...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Hahahahah kama naiona Simba kweny hatua ya robo fainali

    Kwa uhalisia naiona Simba ikifanya vizur sana kweny hatuna ya makundi kwa sababu timu zote alizopangiw ni za kawaida sana. Kama atashinda mechi zote za nyumban na kupata hata sare moja ugenini bas atasonga mbele
  9. JamiiForums Tanzania TCRA/Idara ya Habari Maelezo zichukue hatua dhidi ya vyombo vya habari vilivyorusha maneno ya uchochezi ya Mwingira

    Mojawapo ni Star Tv pia YouTube channels zote na magazeti. Vyombo vingine vipelekewe taarifa ya tahadhari, hasa vinavyorusha matangazo ya wachungaji wahuni wahuni
  10. JamiiForums Tanzania Goba, Dar: Wanne wafariki dunia, 17 wajeruhiwa baada ya jengo kuangukia nyumba za jirani

    Watu wanne (Wanawake 2 na Wanaume 2) wameripotiwa kufariki dunia huku wengine 17 wakijeruhiwa baada ya jengo lililokuwa linajengwa eneo la Goba kwa Awadhi Jijini Dar es Salaam kuangukia nyumba za jirani Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kheri James amesema wanaendelea kuangalia iwapo kuna wengine...
  11. JamiiForums Tanzania Wapinzani tambueni umoja wa kitaifa sio kuruhusu wapinzani kufanya makosa ya jinai na kutowachukulia hatua za kisheria

    Mnalalamika hovyo kila kona eti Rais wa JMT, mama Samia hajatekeleza ahadi ya kuleta umoja wa kitaifa. Hii yote ni kwa sababu Mbowe na wenzake wanatuhuma za kupanga njama za kutekelwleza ugaidi na walikamatwa na kufikishwa mahakamani Je, mlitaka kama kweli wanahusika na njama hizo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imewezesha kushuka kwa bei ya mafuta

    Kupanda kwa bei ya mafuta kuna athiri kwa ujumla maisha ya wananchi, kwa sababu kunapelekea kupanda kwa gharama za vitu vingine. Lakini licha ya kuwa inaonekana bei ya amefuta imepanda, kwa namna nyingine unaweza kusema bei imeshuka. Imeshuka kwa sababu serikali imeondoa ada ya mafuta ya TZS...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Chanjo za COVID-19 zimepitia hatua muhimu za kiusalama

    Wataalamu wa Afya kutoka Chuo Kikuu cha John Hopkins wanasema utengenezwaji wa haraka wa chanjo za COVID-19 haumaanishi kuwa hatua za usalama zilirukwa Teknolojia zinazotumiwa kutengeneza chanjo hizo zimekuwa zikitengenezwa kwa miaka mingi ili kujiandaa na milipuko ya virusi vya kuambukiza...
  14. JamiiForums Tanzania Austria yaweka hatua za kuifunga nchi kutokana na Corona

    Austria imekuwa nchi ya kwanza katika Ulaya Magharibi kutangaza tena hatua za kusitishwa shughuli za nchi kupambana na ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona. Kansela wa Austria Alexander Schallenberg amesema hatua hiyo ya kufungwa shughuli za nchi itaanza kutekelezwa Jumatatu na agizo la...
  15. JamiiForums Tanzania Mbinu za malezi ziendane na hatua za ukuaji wa Mtoto

    Mbinu za malezi zilizoleta matokeo mazuri kwa mtoto wa miaka 13 zinaweza zisilete matokeo yanayotarajiwa kwa Mtoto wa miaka 7 kwa sababu ya hatua ya ukuaji wa watoto hao. Kuna umri unafika katika namna ya saikolojia ya mtoto huwa na kawaida ya kuuliza kwanini, “kwanini nioshe vyombo mimi na sio...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Athari za mabadiliko ya tabianchi kamwe hazitaisha kama dunia haikuchukua hatua kwa pamoja

    Na Pili Mwinyi Ukame, mafuriko, moto wa msituni, ukosefu wa chakula, kutoka nchi zenye mapato madogo hadi zenye mapato makubwa duniani, athari za mabadiliko ya tabianchi zimekuwa zikishuhudiwa kila siku katika sayari hii. Kati ya mwaka 1998 na 2017, hasara iliyotokana na hali mbaya sana ya...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kwa Katiba hii, Tanzania imefikia mwisho wa kupiga hatua za maendeleo, kama hatutatumia hiari tutakaribisha tunakaribisha mapinduzi

    Katiba ya sasa ina mapungufu makubwa sana ambayo yanazuia nchi yetu kupiga hatua za maendeleo na kufanya watanzania wengi kuishi katika ufukara wa kutisha. Takwimu zinaonyesha kuwa 96.6% ya watanzania wanaishi chini ya $2 (TSH.4600) na zaidi ya 86% wanaishi chini ya msitari wa umaskini yaani...
  18. JamiiForums Tanzania TCRA mchukulieni hatua huyu Nabii Tito, channel yake ya YouTube inamdhihaki Yesu

    TCRA na vyombo husika mchukulieni hatua huyu nabii Tito channel yake youtube kaandika YESU ni shetani Hii ni hatari kwa jamii oneni wenyewe
  19. S

    JamiiForums Tanzania Siungi mkono Serikali kuwatafutia maeneo wamachinga. Hawa ni wahalifu walipaswa kuchukuliwa hatua

    Kwanni serikali imeamua kubeba mzigo wa kuwatafutia maeneo wamachinga? Hawa wanaojiita wamachinga ni wahalifu maana wamekiuka Sheria na taratibu mbalimbali za nchi kwa kuamua kujenga mabanda barabarani ama kupanga bidhaa mbele ya maduka ya wafanyabiashara. Nilitegemea watu hawa, mmoja mmoja...
  20. JamiiForums Tanzania Muongo wa Hatua za Kuimarisha Usalama Barabarani 2021 - 2030

    Muongo (decade of action )wa hatua za kuimarisha usalama barabarani wa 2021-2030. Utangulizi Leo tunawaletea makala kuhusu Mpango wa Utekelezaji (Global Plan of Action) wa Mkakati wa miaka 10 wa Umoja wa Mataifa wa kupambana na vifo na majeruhi kutokana na ajali ambao unajulikana kama Muongo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…