Waliompiga picha na kuzisambaza binti anayehusishwa na chupa ya soda wanafaa kuchukuliwa hatua

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,979
Nalaani kitendo kilichofanywa na askari wa Jeshi la Polisi kumwita mtuhumiwa ofisini kwao nakumkalisha chini Kisha kumpiga picha nakuzisambaza. Hii siyo sahihi kabisa, sidhani kama watoto wao wanapotuhumiwa au watoto wa viongozi wanapokengeuka tunawafanyia hivi.

Lakini jambo la pili huyu mtoto ni mhanga wa ukatili unaofanywa na wanaume na watu wenye fedha, badala tutafute waliomrubuni tunakwenda kumdhalilisha na kumwaribia future yake. Hii siyo kazi ya Serikali. Mhanga wa matukio ya kialifu analindwa Duniani kote, udhalilishaji wa mtuhumiwa ni kinyume kabisa na Haki za binadamu.

Tulitegemea Jeshi liwe mfano wa kukemea picha zisizofaa wao ndio wanasambaza. Matokeo yake watoto wengi ambao wajapevuka kama alivyo mtuhumiwa wanaweza kutafuta umaarufu kwa kufanya matendo haya nakutegemea dola isambaze taarifa zao wafahamike Duniani.

Sijawahi kuona polisi Zanzibar wakipiga picha watu wanaotuhumiwa kuishi kinyume na maadili na kuzisambaza, aaskari bara mnafundishwa wapi ukatili na ya policing?Wapi nafasi ya dawati la jinsia?
 
Wewe naye bure kabisa. Halafu huwa unakurupuka sana na mada za kipuuzi kweli. Huto tu picha twa Osterbay Police ndio unacharuuuuuka utadhan umebakwa! Watoto wenyewe hao mmmewalea kizungu ngoja wawanyoooshe mkome
 
Hii picha ndio inakutoa povu humu,
Wkt mhusik anafurah kuw maaraf kw upuuz!!
IMG-20211229-WA0013.jpg
 
Nalaani kitendo kilichofanywa na askari wa Jeshi la Polisi kumwita mtuhumiwa ofisini kwao nakumkalisha chini Kisha kumpiga picha nakuzisambaza. Hii siyo sahihi kabisa, sidhani kama watoto wao wanapotuhumiwa au watoto wa viongozi wanapokengeuka tunawafanyia hivi.

Lakini jambo la pili huyu mtoto ni mhanga wa ukatili unaofanywa na wanaume na watu wenye fedha, badala tutafute waliomrubuni tunakwenda kumdhalilisha na kumwaribia future yake. Hii siyo kazi ya Serikali. Mhanga wa matukio ya kialifu analindwa Duniani kote, udhalilishaji wa mtuhumiwa ni kinyume kabisa na Haki za binadamu.

Tulitegemea Jeshi liwe mfano wa kukemea picha zisizofaa wao ndio wanasambaza. Matokeo yake watoto wengi ambao wajapevuka kama alivyo mtuhumiwa wanaweza kutafuta umaarufu kwa kufanya matendo haya nakutegemea dola isambaze taarifa zao wafahamike Duniani.

Sijawahi kuona polisi Zanzibar wakipiga picha watu wanaotuhumiwa kuishi kinyume na maadili na kuzisambaza, aaskari bara mnafundishwa wapi ukatili na ya policing?Wapi nafasi ya dawati la jinsia?
Alafu utakuta akipata bwana baba ake anataka alipwe milioni saba za mahari!
 
Kuna vitu watu hukurupuka.
Hao mabinti wamejipiga picha wao wengine mabwenini.
Mmoja wao ninamfahamu kwa jina na sura, kwao Arusha ni binti aliyetoka kwenye familia yenye uwezo na ana bf mwenye uwezo.
Nini imemponza??
Tamaaa ya pesa.
Kuna mtu amekusanya picha nyingi za uchi za mabinti....aliwadanganya anawaunga ni jamaa wa kihindi mwenye pesa chafu...unamtumia picha ya uchi ukijichezea na unakutumia 6m+
Tena aliwapa na whatsapp namba zao na jamaa akaongea kiinglish cha kihindi kabisa.
Wakafanya arenjment ya malipo kupitia paypal.
Malipo ni baada ya picha.
Ushuhuda huu ni kupitia mnusurika mmoja wa karibu kabisa na amenionyesha ushahidi wa convo yao.
I hope akikamatwa atasema huo ushahidi, ila zimevuja kama nne hivi lkn huyo dem walompeleka polisi ndo katrend sana cjui kwa nn. Inawezekana huyo unaemsemea ni moja ya wale wengine
 
Jana nilivyokuwa kioski Fulani kwa muda fulani kuna wateja walikuwa wanakifokee sana hichi kinywaji 'mirinda'...nikajua labda kimeongezwa machemical....kuingia YouTube sioni kitu zaidi ya madhara ya soda zote kiafa....badae ndo kuna jamaa akaniambia hii kasumba,duuuh niliduwaa tu kwakweli.

Ila kwa hali ya uku mtaani nahis mauzo ya mirinda yatashuka sana...
 
Nalaani kitendo kilichofanywa na askari wa Jeshi la Polisi kumwita mtuhumiwa ofisini kwao nakumkalisha chini Kisha kumpiga picha nakuzisambaza. Hii siyo sahihi kabisa, sidhani kama watoto wao wanapotuhumiwa au watoto wa viongozi wanapokengeuka tunawafanyia hivi.

Lakini jambo la pili huyu mtoto ni mhanga wa ukatili unaofanywa na wanaume na watu wenye fedha, badala tutafute waliomrubuni tunakwenda kumdhalilisha na kumwaribia future yake. Hii siyo kazi ya Serikali. Mhanga wa matukio ya kialifu analindwa Duniani kote, udhalilishaji wa mtuhumiwa ni kinyume kabisa na Haki za binadamu.

Tulitegemea Jeshi liwe mfano wa kukemea picha zisizofaa wao ndio wanasambaza. Matokeo yake watoto wengi ambao wajapevuka kama alivyo mtuhumiwa wanaweza kutafuta umaarufu kwa kufanya matendo haya nakutegemea dola isambaze taarifa zao wafahamike Duniani.

Sijawahi kuona polisi Zanzibar wakipiga picha watu wanaotuhumiwa kuishi kinyume na maadili na kuzisambaza, aaskari bara mnafundishwa wapi ukatili na ya policing?Wapi nafasi ya dawati la jinsia?
Upuuzi. Nimejua kwa nn wa-mama wa sikuhz wanashabikia umalaya na uhuni wa watoto wao wa kike coz hata wakifanya kosa wao wanakua upande wao. Yaan unatetea mtu aliepigwa picha kavaa fresh wakati yy alijipinga anagonoka huku akijichomekea chupa plus maringo kibao. Ndo maana usukumani hamsikilizwi kabisa coz akili zenu huwa ni za kitoto tu
 
38 Reactions
Reply
Back
Top Bottom