hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Suala la Wamachinga halihitaji siasa; Hatua za kuwapanga zilizochukuliwa sasa ni sahihi

    Nimefuatilia mijadala ya Wabunge wiki hii; wengi wa waheshimiwa Wabunge wanatetea hatua zilizochukuliwa ikiwemo kuwaweka MACHINGA kwenye maeneo maalum ya biashara. WENGI wa hawa Waheshimiwa wabunge wanapendekeza machinga waruhusiwe ETI KUWAFUATA WATEJA. Tukiruhusu hiki kinachopendekezwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Saikolojia: Hatua tano za kuukubali ukweli/uhalisia

    Ulishawahi kuwa kwenye uhusiano na mtu ambaye mnapendana kwa dhati? Mmeweka mipango ya pamoja na mnapambana kuitimiza. Labda mmeshatambulishana hadi kwa jamii inayowazunguka - ndugu, jamaa na marafiki. Ukiangalia mipango na maisha yako ya baadaye yote imejawa na huyo mtu. Unamuamini kupita...
  3. JamiiForums Tanzania Namna ya kupiga Windows kwenye computer yako - Hatua kwa Hatua

    Kutokana na baadhi ya watu kuhangaika namna ya kupiga Windows kwenye computer zao. Nimeamua kukuandikia kitabu ambacho utaweza kuinstall Windows yoyote kwenye computer yako iwe XP, Vista, Server, 7, 8, 8.1, 10 & 11 kwa urahisi zaidi. Baada ya kusoma na kuangalia tutorials, utaweza kuweka Windows...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Diaspora tumepiga hatua miaka 25!

    Kuwa diaspora hasa hapa US ilikuwa kitu kigumu sana hasa kwa vijana wengi ambao tuliondoka tukiwa na miaka 1997-2001 baada ya kumaliza high school. Sio tu kulikuwa hakuna Watanzania wengi miaka hiyo 1997-2001 bali wengi walikuwa wadogo hivyo tulikuwa hatuna mifano mingi ya kuiga. Lakini kibaya...
  5. JamiiForums Tanzania Unyanyasaji/Ukatili katika Mahusiano: Fahamu aina za unyanyasaji, dalili na hatua za kuchukua

    Hii inaweza kuwa kwa vitendo vya kimwili, kingono, kihisia, kiuchumi au kisaikolojia. Hii ni pamoja na tabia zozote zinazotisha, kuumiza, kufedhehesha au hata kumjeruhi mtu Hali hii inaweza kutokea kwenye ngazi mbalimbali za mahusiano ikiwemo kwenye Ndoa, watu ambao wanaishi pamoja au walio...
  6. JamiiForums Tanzania Inawezekana watu waliokimbia nchi wanashindwa kurudi kwa sababu Bashite bado Yuko uraiani, na hajachukuliwa hatua?

    Watu kadhaa waliondoka nchini kusalimisha maisha yao, na wamekuwa na hofu kwamba watu waliowasababishia madhila hawajachukuliwa hatua, wako mtaani, na wamekuwa wakitoa wito wa kuhakikishiwa usalama ili warudi. Baada ya kumwaga maji mengi kwenye shimo la nguchiro, hewa imekata, nguchiro mmoja...
  7. JamiiForums Tanzania Ulichukuwa hatua gani ulipotambua unachukiwa bila sababu au unaonekana huna msaada wowote kwa waliokuzuguka?

    Hiko hivi, Nimepata masimulizi kutoka kwa jamaa yangu sana yanayomsibu. 1. Ni mtu wa moyo Safi, Ila atawale aliowasaidia wanamuona nonsense kwa sasa 2. Anasema wakati fulani anasaidia kutoa taarifa kwa marafiki chimbo wanapopata mzigo kea Bei rahisi Ila jamaa zake wakipata sehemu nafuu zaidi...
  8. JamiiForums Tanzania Rais tunaomba usikilize vilio vya watanzania, mfumuko wa bei ni mkubwa mno

    Ni Tanzania pekee duniani mfanyabiashara anaweza kupanga bei aitakayo bila kujali chochote Serikali kupitia waziri wa viwanda na biashara angalieni mfumuko wa bei nchini hasa bidhaa za msingi ni mkubwa mno. Ukiuliza kila kitu unaambiwa ni sababu ya vita ya Ukraine na Urusi. Sio kweli...
  9. JamiiForums Tanzania Putin alitia saini amri juu ya hatua za kulipiza visasi kwa nchi zisizo rafiki

    Rais wa Urusi Vladimir Putin mnamo Jumatatu, Aprili 4, alitia saini amri juu ya hatua za kulipiza visasi kwa nchi zisizo rafiki. Hati hiyo ilichapishwa kwenye tovuti rasmi ya mtandao ya habari za kisheria. Hati hiyo ilitiwa saini "kulingana na hitaji la kuchukua hatua za haraka katika...
  10. JamiiForums Tanzania Kumbe tumepiga hatua kwenye ujenzi wa barabara kiwango cha lami!

    Habari za mida Watanzania wenzangu, Kumbe mwaka 1961 Tanzania nzima barabara za mkoani zilizokua katika kiwango cha lami zilikua ni tatu (3) tu! Nazo ni Dar es salaam hadi Morogoro, Korogwe hadi Tanga mjini na Moshi hadi Arusha.😳 CCM hoyeeee!😂😂 Mungu hoyeeee! Source: Tanzania, Miaka 10 baada...
  11. JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati wanaCCM tujitafakari na kuchukua hatua. Je, chama chetu ni mali ya wakulima na wafanyakazi? Au ni mali ya wajanja wachache?

    Bila hata ya kutumia hadubini sasa ndio wakati wa kuchambua pumba na mchele. Chama chetu kilianza na madhumuni mazuri kabisa ya kuwa chama cha kuwatumikia watanzania ambao ni wakulima na wafanyakazi. Ndio ilikuwa dhima kuu kuleta maendeleo kwa manufaa ya kila mtanzania. Hakikuwa mali ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia 2022: Droo ya Hatua makundi

    Ikiwa imesalia miezi michache kwa kombe la Dunia mwaka 2022 kuanza, leo hii itafanyika Droo ya hatua ya makundi ya michuano hiyo mjini Doha. Droo hiyo itafanyika katika Kituo cha Maonyesho na Mikutano cha Doha, huku washindi wa zamani wa Kombe la Dunia kama vile Cafu na Lothar Matthaeus wakiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza tovuti yako binafsi/ofisi au kwaajili ya kujiingizia kipato

    Habari za sasa Mabibi na Mabwana, Matumaini yangu ni kuwa mnaendelea vyema kabisa.. Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ✋ ANGALIZO: Popote utakaposhare post hii au kuihifadhi, tafadhali usibadilishe/usiedit chochote pia toa Credit kwa Muandishi UTANGULIZI Ikiwa unahitaji kufungua tovuti kwaajili...
  14. JamiiForums Tanzania Oscar Academy: Baada ya Smith kumpiga Rock, aliombwa aondoke akagoma, tutachukua hatua za kinidhamu dhidi yake

    Waandaaji wa tuzo za Oscar wanasema baada ya smith kufanya fujo na kumpiga Rock, aliombwa aondoke lakini akagoma. Oscar Academy wanasema watamchukulia smith hatua za kinidhamu kwa kufanya fujona pia kudhalilisha hadhi ya tuzo hizo za kimataifa. Watu wengi wanasema alichokifanya Smith kimezidi...
  15. JamiiForums Tanzania Ripoti binafsi: Machi 2022 ajali za barabarani zimeua watu 56, Serikali chukueni hatua

    Leo ni Machi 30, 2022, imesalia siku moja tu kabla ya mwezi huu kufikia tamati, kwa ufupi unaweza kusema huu ni mwezi wa ajali, hiyo ni kutokana na matukio mengi kutoka mikoa tofauti. Matukio mengi ya ajali yametokea na kusababisha vifo, ulemavu na wengine kujeruhiwa hasa yakihusisha magari na...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali iwachukulie hatua hawa Maaskofu wa KKKT kwa kuleta fujo katika Jamii ya waumini

    Hii sasa ni hatari kwa mustakabali wa amani nchini. Inavyoonekana kuna kikundi cha Maaskofu ambao wameamua kuleta ufarakano ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri, Tanzania-KKKT. Hili kundi yumo Askofu Bagonza wa Karagwe Askofu Mwaipopo wa Jimbo La Ziwa Tanganyika, Sumbawanga Na sasa amengia...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini 90% hawafaidi hatua ya ujana?

    Ujana : nihatua ya ukuaji anayoipitia mtu baada ya kumaliza hatua ya utoto ili kuelekea utuuzima na uzeeni na hii hatua hutakiwa kuwa Makini na mtulivu wa fikra pamoja na akili nyingi kuliko hatua nyingine yoyote, na hii ndio hatua pekee ya utambulisho halisi wa mtu kifikra, kiutendaji na hata...
  18. JamiiForums Tanzania Yawezekana kama Mwanadamu Idi Amin alikuwa na Mapungufu yake ila nimegundua Afrika ya leo iliwahitaji akina Amin wengi ili kupiga hatua

    Marehemu Idi Amin Dada.... 1. Alichukia Upuuzi (Upumbavu) 2. Alichukia Uonevu na Dharau 3. Aliwapenda sana Wananchi wake 4. Hakuwa Mnafiki na wa Kujipendekeza 5. Hakuwa Muoga kuipigania nchi yake 6. Hakuwa Fisadi (Mwizi) hata kidogo 7. Alikuwa Mbabe ili Kulinda nchi yake Sasa wakati...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania itapiga hatua kubwa ya maendeleo pale wakoloni watakaporudi upya

    Inchi za afrika, ikiwemo Tanzania haitakaa ipige hatua kama watu wengi wanavyotarajia! Tutasubiri sana! Ebu fikiria kwa haya maendeleo machache tumeyafikia baada ya miaka 60 ya Uhuru! Je ikitokea vita si ndo itakuwa kiama! Huko Ulaya watu hupigana vita na kuharibu kila kitu, lakini ndani ya...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi upo katika hatua za mwisho

    Waziri wa Habari, Nape Nnauye, leo Jumatatu, amesema muswada wa Sheria ya Ulinzi Binafsi, uko katika hatua za mwisho “hii ni sheria muhimu sababu vinginevyo uwekezaji utakuwa mgumu. Sio kwa sababu kulikuwa na kurekodi rekodi watu, hapana lakini ni kwa sababu ya kutunza faragha.” Nape ametoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…