Habari,
Moja kwa moja kwenye hoja, Chuo cha SAUT-Mtwara kimechoche kudidimiza ubora wa wahitimu wa chuo hicho kwa miaka kadhaa sasa, sababu kubwa ni kushidwa kuwalipa walimu na kuwatengenezea madeni makubwa huku wengi wakikimbia kusaka masilahi serikalini, na kwenye vyuo binafsi. Kuna baadhi ya Idara zina Qualified personnel mmoja. Hivi kweli kwa hali hiyo kuna ufundishaji?
Kama chuo kinaweza kulipa Mwanataaluma chini ya 25% ya Mshahara, hii si nikuchezea watoto wa watu ambao wanasoma hapo?
Je, inawezekanaje elimu bora na yenye matokeo chanya kwa wahitimu na kwa Taifa? Hawa wahitimu kutoka SAUT-Mtwara katika soko la ajira na performonce?
Wanataaluma sitahiki zao zipo mashakani maani taarifa ni kwamba THTU ilpigwa marufuku na KATIBU WA TEC, DR. KITIMA, hivyo wafanyakazi hawana jukwaa la kueleza kero zao, hata kwenye KAGUZI mbili za TCU walitishiwa kufuzwa bila malipo.
Serikali kupita TCU chukua hatua mapema