hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii ndo kete ya Mwisho na hatari zaidi ya CCM kupambana na maandamo tukivuka tumeshinda japo tutaumia sana

    Mara.zote.watawala wakiishiwa nguvu hizi ndo mbinu wanazoweza kuzitumia maana kuua siyo suluhisho. 1. Divide them and rule.. 2. Fake Propaganda and illusions.. 3. If you can't convince them, confuse them rejea history ya ujenzi wa mnara wa babel (Mwz 11, 1-9) 4. Let them fight each other...
  2. JamiiForums Tanzania Hawa the Africa wilddogs ni hatari sana wanashambulia in park yan 10mins buffalo yuko chini.

  3. JamiiForums Tanzania Homa ya ini ni hatari kuliko ukimwi?

    Homa ya ini ni hatari zaidi kuliko UKIMWI kwa sababu virusi vyake vina nguvu kubwa na vinaambukiza kwa urahisi wa hali ya juu. Virusi vya homa ya ini (hasa aina ya Hepatitis B) vina uwezo wa kuambukiza kwa kasi ya mara 50 hadi 100 zaidi ya virusi vya UKIMWI (HIV). Pia, virusi hivi vinaweza...
  4. JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia 2026 Hatari sana. Huu uwanja unaogopesha kinyama.

    Aiseeee .... Kunatisha watu wamejaa sana viwanjani. Kombe limevutia sana. Tulisema halitakuwa na watu lakini tumeona hali ilivyo huko USA, Canada na Mexico. Hongera zao kwa kweli.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hii kauli hatari sana. Chalamila, kesho utawajibika kwa kauli hii. Kumbuka wewe ni M/kiti wa Kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa. Kauli yako ni AMRI

    Matumizi ya nguvu kupita kiasi mwisho wake ni KUUA WATU KAMA 29.10.2026. BADO HAMJAJUTA! HATA MKIWA KABURINI MTAWAJIBIKA! Soma Pia: RC Chalamila: Wanatamani kuleta chokochoko, nguvu tutakayotumia awamu hii kulinda amani, haijawahi kutokea
  6. R

    JamiiForums Tanzania Watu hatari katika taifa hili au machawa hatari

    1. Chalamila 2. Kihongosi 3...,.........
  7. M

    JamiiForums Tanzania Utaifa wa Tanganyika umeanza kukua kwa kasi, kuna hatari ya kuzuka mgogoro wa Kijamii, Serikali 3 ni sasa

    Ninafuatilia maandamano ya Gen Z; 7/7, kuna vitu symbolic kabisa naviona. Baada ya Tarehe 7/7 tutarajie kuona mijadala ya kuwatenga Wazanzibari walioko Tanganyika, Tutarajie kuona chuki kubwa dhidi ya Wazanzibari na hata fujo dhidi ya Wazanzibari, na kama kutakuwa na maandamano ya kuchoma moto...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hatari ya Mitandao ya Kijamii kwa Amani na Utulivu wa Tanzania

    Mitandao ya kijamii imefungua milango mikubwa kwa mawasiliano na uhuru wa kujieleza, lakini Tanzania inakabiliwa na hatari halisi inapoteza udhibiti wa jinsi vijana wanavyotumia jukwaa hili. Tatizo kubwa si mitandao yenyewe, bali ni matumizi yasiyowajibika yanayoweza kulipua amani tuliyoijenga...
  9. JamiiForums Tanzania Ujinga ni kitu hatari. Huyu mama ntilie anawalisha watu kinyesi cha binadamu

    Kaambiwa na mganga eti ndiyo atavuta wateja. Sijui na kwa mama ntilie wa bongo tunakula vya ajabu vingapi? https://youtube.com/shorts/63gg9mJ6Qug?si=qo837u5581p7h0-q
  10. JamiiForums Tanzania Mkasa wangu kama 'Stepfather' baada ya kuwa na Single mother

    Mimi ni mdau katika jamii ya wapambanaji, mjasiriamali ile mbaya. Hata hivyo, kwa sasa naona kama nakata tamaa baada ya kukutana na mama mmoja hivi. Kiukweli, nilishawahi kumiliki biashara ndogo ndogo kama vile migahwa, duka, na baa. Bila kusahau ufugaji wa kuku wa kienyeji na broiler—hapa...
  11. JamiiForums Tanzania Niliwahi kuguswa na malaika begani kunishtua hatari

    Niliwahi kuguswa na malaika begani kunishtua hatari
  12. JamiiForums Tanzania Wingi wa maarifa na hatari YA sonona

    Simple observation nilioifanya Naona watu wenye maarifa kiduchu na taarifa chache juu ya ulimwengu na hekaheka zake wanafuraha kuliko wasomi na wajuvi wa mambo. Wao masuala kama YA Vita na mashindano YA geopolitics hawana habari nayo,mambo YA ushabiki wa Mpira,Maisha mlinganisho YA mitandaoni...
  13. JamiiForums Tanzania Nissan Bluebird na Altima ni kama wale Mademu waliokuaga Wabovu Kipindi Mpo Sekondari ila sahivi Hatari…

    Bluebird aka Sentra then (2000s): Bluebird now (2020s) Nissan Altima enzi izo (2000s): Altima ya sasa (2020s): Hii ni ukumbusho, usimchukulie mtu poa, hujui kesho yake!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa Mafuta na Hatari ya Migomo na Maandamano Nchi Nzima

    Ukienda kununua mafuta hauoneshi kadi ya CCM wala hausemi, Samia mitano tena. Badala yake unatakiwa ulipe kulingana na EWURA walivosema au zaidi. Angalia mwenendo wa bei Dar: Petroli: Feb TZS 2,788 → Mei TZS 4,115 Dizeli: Feb TZS 2,701 → Mei TZS 4,248 Ndani ya miezi mitatu petroli imepanda...
  15. JamiiForums Tanzania Pombe: Ukweli Kuhusu Faida na Hatari Zake

    KWANINI WATU WANAKUNYWA POMBE? JE POMBE INA FAIDA NI HATARI KWA AFYA? Pombe (ethanol) ni kinywaji kinachotumiwa na watu wengi duniani, lakini ndani ya mwili wako hufanya kazi kama kemikali yenye nguvu inayobadilisha namna ubongo na mwili vinavyofanya kazi. Hii ndiyo sababu mtu akinywa hubadilika...
  16. JamiiForums Tanzania Hatari ya kuwalazimisha watoto wa Watu kwenda JKT!

    Leo nimeona mkeka wa wahitimu wa kidato cha sita wapatao 60,000 ambao wamelazimishwa kwenda JKT kwa lazima kwenye makambi mbalimbali waliyopangiwa kuripoti kuanzia tarehe 01.07.2026. Huyu mtu aliyelazimisha kutungwa sheria ya wanafunzi wa kidato cha sita kwenda JKT kwa lazima ni mwendawazimu...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Marekani yaishambulia kwa makombora Iran kwa walichokiita ni hali ya kujilinda dhidi ya vitisho vya Iran

    Jeshi la Marekani usiku huu wa tarehe 26/05/2026 limefanya mashambulizi ya kijeshi kwenye sites za kurushia makombora za Iran na boti ambazo wamedai zilikuwa zinajaribu kusimika mabomu baharini ========== US military says it struck southern Iran in 'self-defence' The US military said it...
  18. JamiiForums Tanzania Morogoro Road kuna foleni leo hatari. Kama sio lazima usipite!

    Kuanzia Kibo kuelekea Mbezi foleni mbaya kwasababu ya ujenzi wa barabara. Matrafiki wamekimbia, barabara vurugu.
  19. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Bandar Dar ana Ukwasi usio wa kawaida

    Mkurugenzi anamiliki majumba ya kifahari maeneo tofauti tofauti jijini Dar huku akitumia vijana wake kadhaa kuchuma pesa kwenye bandari hiyo. Bado tunatafuta file lake, likikamilika tutalimwaga hapa
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Unyonyaji Riba Apps za Mikopo: Flying Shilling Hatari!

    Tunaomba muangalie na hizi Microfinance zinazo kopesha, riba imekuwa kubwa sana watu wanaumia especially na apps mfano wanajiita flying shilling ili uweze kupewa laki mbili ni lazima ukope laki 4 na urudishe ndani ya siku sita ukichelewesha watu wanapewa vitisho tunaomba na BOT wajulishwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…