hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. Mad Max

    Morogoro Road kuna foleni leo hatari. Kama sio lazima usipite!

    Kuanzia Kibo kuelekea Mbezi foleni mbaya kwasababu ya ujenzi wa barabara. Matrafiki wamekimbia, barabara vurugu.
  2. mirindimo

    Mkurugenzi wa Bandar Dar ana Ukwasi usio wa kawaida

    Mkurugenzi anamiliki majumba ya kifahari maeneo tofauti tofauti jijini Dar huku akitumia vijana wake kadhaa kuchuma pesa kwenye bandari hiyo. Bado tunatafuta file lake, likikamilika tutalimwaga hapa
  3. A

    KERO Unyonyaji Riba Apps za Mikopo: Flying Shilling Hatari!

    Tunaomba muangalie na hizi Microfinance zinazo kopesha, riba imekuwa kubwa sana watu wanaumia especially na apps mfano wanajiita flying shilling ili uweze kupewa laki mbili ni lazima ukope laki 4 na urudishe ndani ya siku sita ukichelewesha watu wanapewa vitisho tunaomba na BOT wajulishwe...
  4. Sifi Leo

    Hatari ya matumizi majina bandia,jf Rafiki yangu kafariki na alikuwa member hapa ILA sijui alikuwa anatumia jina Gani? JE sifi Leo nikifa mtajuaje?

    Mara ya mwisho nilikutana nae kwenye kijiwe chake cha wavuvi camp" fish point, huyu hakuwa Rafiki tu Bali alikuwa classmet wangu chuo kikuu. Tukiwa wavuvi camp,A.K.A Fish point uku tukiwa tunaisubilia kusasamvua lisamaki kubwa, tukaanza kubadilishana story, nakumbuka aliniuliza SWALI ili na ndo...
  5. Zack Abdul

    Mafunzo ya Siri Vijana: Mkakati Hatari Wafichuka

    Tume ilibaini kwamba vikundi vya vijana vilifunzwa kwa zaidi ya siku 28 katika maeneo ya siri. Muda huu mrefu wa mafunzo unaonyesha wazi kwamba hii haikuwa ni operesheni ya haraka bali ni mkakati ulioandaliwa kwa uangalifu mkubwa, ukithibitisha haja ya mfumo bora wa ujasusi wa mapema wa...
  6. ufalmedigital

    Je, unaweza kweli kujilinda mwenyewe kwenye dunia ya sasa yenye hatari nyingi?

    Katika maisha ya sasa, watu wengi wameanza kuona umuhimu wa kujifunza self-defense kutokana na kuongezeka kwa matukio ya uhalifu, unyanyasaji, na mazingira yasiyotabirika. Lakini kujilinda sio kupigana tu — ni kujua namna ya kuwa salama, kuwa na confidence, na kufanya maamuzi sahihi kwenye hali...
  7. ShesRise_1

    Snitch ndiye mtu hatari zaidi🙌

    Wahenga wanasema ni bora kuishi na mchawi kuliko mnafiki usiyemjua Hivi umewahi kuishi na snitch na unajua kabisa ana kunafikia? Then ukawa una mchora tu na unafiki wake anavyojimaliza? Mara zote mnafiki ni mtu wako wa karibu sana, pengine unayemuamini zaidi na ku mkubari sana Mtu hawezi...
  8. JamiiCheck

    UHALISIA: Wanga ni Rafiki au Adui wa afya yako?

    Katika ulimwengu wa kisasa wa lishe, kumekuwepo na mijadala mingi kuhusu ulaji wa wanga. Watu wengi, hasa watoa mada za mtandaoni na watu wenye ushawishi kwa kiasi kikubwa hutoa elimu inayopinga matumizi ya aina hii ya chakula, wengine wakienda mbali zaidi kwa kuiita takataka. Hii imefanya watu...
  9. Pascal Mayalla

    Je Wajua Chuki ni Ugonjwa?. Chuki ni Ugonjwa Hatari Unaua!, na Unaoambukiza kwa Kasi!. Watanzania Tuacheni Chuki!, Tiba Yake ni Upendo!. Adui Mpende!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo, nikiwahimiza Watanzania, tuache chuki, ni ugonjwa hatari unao eneo kwa kasi kwenye taifa letu, uliokolezwa na kilichotokea October 29. Je ni wangapi miongoni mwetu, wajua kuwa chuki ikizidi ni ugonjwa?. Chuki ni ugonjwa...
  10. Carlos The Jackal

    Ni hatari sana kiusalama kwa watekaji na genge lao kuendelea kutumia "Plate Number" zisiofuata mfumo rasmi wa nchi

    Maana yake Kuna Ombwe kubwa linatengenezeka . Sina Uhakika Tena Kama Askari Barabarani wanaweza Kuyasimamisha Magari yenye hizi namba. Hawawezi kwa sababu Vichwani mwao na wao wanaamini ni ya Akina Abduli. Kiasi kwamba huu uwazi , Umetengeneza Mazingira Mazuri kwa WATU WABAYA . Leo hiii...
  11. Nelson Kileo

    HATARI ! sasa mtoto wa Kiume analindwa kwenye malezi kulliko mtoto wa Kike

    Katika dunia ya sasa, watoto wa kiume nao wanahitaji uangalizi na malezi ya karibu kama watoto wa kike. Changamoto za maisha, makundi mabaya, na ushawishi wa mitandao vinaweza kuwaathiri kirahisi. Malezi bora, maadili, na muda wa wazazi kwa watoto wao ni muhimu kwa kila mtoto bila kujali jinsia...
  12. ufalmedigital

    🦠 Hantavirus: Ugonjwa Hatari Unaotoka kwa Panya (Dalili, Maambukizi na Jinsi ya Kujikinga)

    🟢 Utangulizi Hantavirus ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vinavyopatikana zaidi kwa panya wa porini. Ingawa si ugonjwa unaoenea sana kama COVID-19, ni hatari sana kwa mtu anayeambukizwa kwa sababu unaweza kuathiri mapafu na figo kwa haraka. Katika blog hii utajifunza: Hantavirus ni nini...
  13. A

    KERO Bandari kavu kwenye makazi ya watu Mtaa wa Magogoni – Kigamboni ni hatari na kero kwa Wananchi

    Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Magogoni Wilaya ya Kigamboni, mtaa wetu umekuwa na changamoto za kuwa na bandari kavu karibu na makazi ya watu katika njia zinazoingia mtaani kwetu. Mojawapo imekuwa ikileta changamoto malori yanayosubiri kupakia na kushusha kontena yana-park barabarani na kutuachia...
  14. A

    DOKEZO Je, Jamii tuna ELIMU ya kutosha kutumia ‘gesi’ na kulinda mitungi ili kuepuka hatari?

    Je, Jamii tuna ELIMU ya kutosha jinsi ya kutumia gas na kulinda mtungi wa gas ili kuepuka hatari? Kwanini kampuni za gas zisingeweka sticker ya kuonesha do's na donts za gas. Kwa mfumo wa picha na maneno maana wengi hawajasoma na hawana elimu na wana tumia Gas. Mwaka flani nilifurahi kuona...
  15. Mjusi Sharobalo

    Huyu jamaa ni hatari huko upande wa pili

    MUHOOZI ANATAKA BIKRA..😀 Kiongozi wa jeshi la Uganda na mtoto wa Rais wa nchi iyo, ametoa kauli isiyo ya kawaida kwa kuitaka nchi ya Turkish Uturuki itemize masharti yafuatayo haraka. 1) Uturuki itoe kiasi cha U.S Dola billion 1, kwaajili ya maendeleo ya nchi yake. Ikiwa ni pamoja na kuongeza...
  16. F

    Congo ni hatari wanaua madereva

    Huyu dereva kashaoza
  17. Prof Phraoh AI

    Trauma unazopata utotoni zinakuweka kwenye hatari ya kuwa Mraibu ukubwani

    Watu wengi huona uraibu kama matokeo ya maamuzi mabaya ya mtu mzima, lakini tafiti zinaonyesha kuwa mara nyingi mizizi yake huanzia mbali sana utotoni. Maumivu ya kisaikolojia (trauma) unayopitia ukiwa mtoto yanaweza kubadilisha namna ubongo wako unavyokua, na baadaye kuongeza uwezekano wa...
  18. Azniv Protingas

    KERO Miundombinu ya soko la Buguruni ni hatari kwa wafanyabiashara na wakaazi wa karibu na soko

    Soko la buguruni ni moja ya soko kubwa na maarufu ndani ya jiji la Dar es salaam ambalo linahudumia watu wengi hasa kwa wafanyabiashara wa matunda. Lakini cha kusikitisha miundombinu ya soko hilo ni kero kwa wafanyabiashara na wanunuzi ambao hufika hapo kwa ajili ya ununuzi wa mahitaji yao ya...
  19. R

    Wenye maabara za binadamu wanauza na dawa wakati leseni yao haiwaruhusu. Ni hatari kwa afya za watu

    Ndio mtindo ambao wameuànzisha. Anampima mtu anampa na dawa wakati hana kibali cha kutibu ie ku prescribe dawa. Ni hatari kwa maisha ya watu? Upuuzi huu unashika kasi Tanga!
  20. Arsenal Gunner

    Bangi na pombe Kali ni hatari nimerudi mtaani naona vijana wamezeeka ghafla

    Yaani madogo kabisa walikua wanaenda shule wananisalimia brother Sasa nikasafiri kurudi najuta madogo wamezeeka ghafla eti kisa kuvuta bangi na pombe Kali aisee hii nashindwa kuelewa yaani nimepiga nao picha Mimi naonekana dogo wenyewe kama wazee halafu miaka Yao 17 mwisho 25 lakini...
Back
Top Bottom