hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tuliokuwa tunamkubali Trump tangu akiwa Rais 2016 - 2020

    2016 hadi 2020 ni kipindi ambacho watu wengi sana walikuwa wahanga wa kuziamini habari za kumchafua Mwamba, hasa hapa kwetu Tz ilikuwa rahisi sana kuwa brainwash wabongo, hata humu JF 98% walikuwa brainwashed kumchukia Trump, ni wachache sana tuliusoma mchezo. Trump ndie raissi mpenda amani...
  2. JamiiForums Tanzania Taarifa Potofu zimekuwepo kwenye Historia ya Binadamu kabla hata ya kugunduliwa kwa Mitandao ya Kijamii

    Habari potofu au habari za kupotosha zimekuwepo kwa muda mrefu kabla ya kuibuka kwa mitandao ya kijamii. Hata kabla ya enzi za teknolojia ya digitali, watu walikuwa wakitumia njia mbalimbali kusambaza habari potofu kwa lengo la kufikia malengo yao, iwe ni kisiasa, kiuchumi, au kijamii. Hapo...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenye kumbukumbu ya Makonda akishirikishwa kwenye mdahalo hata ndani ya chama chake atuwekea hapa tuone capacity yake

    Sijawahi kumwona Makonda akifanya mjadala wala mdahalo wowote wenye tija na usio na tija kuhusu chama chake na nchi kwa ujumla. Leo anapoomba mdahalo anataka kutuambia ametambua umuhimu wa majadiliano ya hoja? Toka lini akawa na kifua au nafsi yamajadiliano? Je, katika majadiliano hayo...
  4. JamiiForums Tanzania Wanasayansi wasisitiza umuhimu wa Bikra (Virgnity)

    Anaandika Kenge Tamaduni za wazee wa zamani waliishi kwenye misingi ya kuoa mabikra.Ilikua ni aibu kubwa sana kama ikibainika bint wa Mzee flani sio Bikra.Au Bwana fulani kaoa binti ambae sio bikra. Mapinduzi ya utandawazi yanafanya mambo haya yaonekane ni ya kizamani na yaliyopitwa na wakati...
  5. JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi ndoa haina thamani tena hata mama mchungaji?

    Aiseeh wanajamvi habari zenu Jana niliachwa hoi na kitu kilichonitokea yaan Imani imekua kitu cha kuchezewa na watu waliopewa dhamana. Jana nilishinda mitaa ya Leaders Club nikipoteza mawazo na washkaji mpaka mida ya saa sita usiku nikarudi zangu kwetu huku Country side Ilala vijijini. Wakati...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hata shirika la Reli yawezekana halijui limeagiza treni za SGR za aina gani; treni inayofanyiwa majaribio Korea haifanani na zilizowahi ingizwa nchini

    Tumekuwa tukipewa updates za ujio wa treni ya kisasa. Kila inapoletwa updates wafu waliowahi kusafiri nje ukataa kwamba hizi zimepitwa na wakati siyo treni mpya. Ukisoma huku kila uchwao wapo viongozi wa serikali na chama waliowahi kutetea kwamba zile zilizoletwa ni vichwa vya kisasa na...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi ubikira wa mwanamke una utamu gani? Maana naona watu wanaahidiwa hata peponi

    Kuna hii video sheikh anaeleza kuhusu wanawake walioandaliwa kwa ajili ya wanaume waislamu kule peponi, yaani mabikira. Hapa najiuliza, kwa nijuavyo uzuri wa kumla mwanamke bikira ni kwa sababu unajua kakuheshimisha na kwamba wewe ndiye wa kwanza kumuingia, ila shughuli yenyewe huwa usumbufu na...
  8. JamiiForums Tanzania Hezbolallah wasema Israel imepiga uraiani, hivi hivi ndivyo huwa mnalia hata kwa HAMAS

    Huwa mnachokoza Israel, mkijibiwa mnasema wamepiga raia na watoto.... Lebanon walishaonywa kwamba watafanywa kama Gaza. === An Israeli strike on a civil defense center in southern Lebanon on Thursday killed two rescuers and destroyed an ambulance, according to the Hezbollah-affiliated rescue...
  9. JamiiForums Tanzania Paving za kituo cha mabasi kibaha kurekebishwa upya, hazina hata miaka 8 ya kutumika

    Baadhi ya maeno ya paving kwenyw kituo cha mabasi kibaha maili moja yanafanyiwa marekebisho, kituo hizi hakijazidi miaka nane tangu kigunguliwe rasmi. Kwa mujibu wa website ya kibaha mji, ujenzi uligharimu 3.3 bilions, na kilianza kutumika October 2018. Stendi Kuu Mpya Kibaha Kuanza Kutumika...
  10. JamiiForums Tanzania Hata mchungaji wangu simuamini

    Kwenye safari ya kwenda mbinguni, hata mchungaji wangu simuamini. Simuamini kila mtu anayesema BWANA BWANA BWANA. Ishu ya kwenda mbinguni ipo ndefu sana. Nawakumbusheni, hao wachungaji, mashehe ni binadamu kama wewe, wanakwenda chooni, wanakula, wanakasirika, wanafanya dhambi na kadhalika...
  11. JamiiForums Tanzania Ati ni kweli kuwa kuna kada hata wafanye Kazi miaka mia hawezi kuwa na nyumba kama ya Mwijaku?

    Habari wakuu! Baada ya kuwakandia Machawa na kuwatukana vilivyo mpaka humu ndani uzi wangu kufutwa. Moja ya viongozi wa bodi ya Machawa Tanzania alinipigia simu jana akiwa na furaha nyingi. Nikiwa najua kuna dili la kibiashara linakuja, nashangaa ananiambia unamuona Mwijaku huko. Nikamwuliza...
  12. JamiiForums Tanzania Ethiopia wanaomba hata kilomita 20 tu za ufukwe, Tanzania tuna zaidi ya kilomita 1500 lakini hakuna cha maana. Shida ni nini?

    Nchi ya Ethiopia hawana bahari wanaomba Somalia wawape hata tu 20 km ya ufukwe na kila kitu kitabadilika vs Tanzania tuna zaidi ya 1500 km coast line kutoka tangagiza mpaka Mtwara ni bahari tupu lkn ni uchuuzi tu wa kuleta imports ktk China na kujenga fremu za GSM & co. uchumi wote bazaar tu...
  13. JamiiForums Tanzania KATIBU MKUU MTOE MWIJAKU KWENYE HAMASA..YAANI HATA 500 /=ATUTOTOA...

    Kuna vitu vinafanya watu waone hayamambo kama comedy inaendelea mh katibu tunaomba huyu mwijaku achaneni nae kwenye timuyako ya hamasaaa yaani uwepo wakee wananchi wa.eapa hata 500 hatutoi kuna taarifaa wamehojiwa anasisitiza anahitaji hataa 1000 ya kila mtanzania yaani uwepooo wake tuhuko...
  14. JamiiForums Tanzania Sifa za Kabila, muonekano, taifa, Dini,n.k. zimewahi kukufanya uonekane mbaya hata ulipokuwa mwema au uonekane mwema hata ulipofanya baya ulitetewa ?

    Nakumbuka niliwahi kwenda kituo cha polisi kwa kosa flani hivi dogo tu ila ghafla likakuzwa sana ionekane mimi ni muhalifu mkubwa, ni siku niliyojifunza waweza kuumwa kichwa usiku ukakamatwa kwa uzururaji ila polisi wakaikuza kesi iwe unachorea ramani majambazi, sasa kule kituoni huwa wanaandika...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Marekani inakuwa stronger sana kiuchumi au kijeshi kwa sababu ya strong base ya demokrasia waliyo nayo. Hata rais haiwezi kuleta migumo yake

    Sijui kwanini cho za Afrika au za Asia hazijifunzi kwa marekani wakawa na demokrasia. Hivi kwa mfano Kim jong UN, Putin nk wakifa lazima nchizi zao zitingia katika vita ya wenyewe kwa wenyewe mana mtu mmoja ndo mwamuzi wa mwisho tofauti na marekani ambapo hata Rais siyo final. Nchi za Afrika...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Hakika muhadhiri yule hata nisahau kwame mwaisha.

    sana.
  17. JamiiForums Tanzania HAMAS waondoa sharti la IDF kuondoka Gaza, wakubali basi hata wapewe wafungwa

    Juzi hapa walisema hata iweje hamna kukubali chochote kisichohusu Israel kuondoka Gaza, ila Israel wakasema hamna kitu kama hicho na kwanza wakaongeza mapigo. HAMAS sasa wanasema basi sawa jameni wapewe wafungwa wao tu wataachia mateka 40 ======================== Hamas negotiators have waived...
  18. JamiiForums Tanzania Yaani naandika kwa uchungu sana kuhusu hawa zuku, najuta hata kulipia kifurushi cha mwezi huu

    Yaani ni kama nimetapeliwa, leo ni siku ya sita naomba kuhamishiwa huduma kwenye jengo jipya ila hayo majibu ninayopewa we acha tu Huku huduma sipati, na huku siku zinakataaa na simu hawapokei na wakipokea hiyo shombo sasa Najuuuutaaa kuwajua zuku
  19. JamiiForums Tanzania Hivi kuna wa Madem wa kibongo uswazi Age ya 18-35 wanatembea na Programing code.Au hata book readers.

    Habari zenu ndugu zangu..? Hivi bongo kuna Mabint warembo age tajwa wana ujuzi wa CODE Imean Programing.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Siyo TANESCO tu hata TTCL ni Kichefuchefu kingine

    TANESCO hawana jina zuri kwa sasa mbele ya wananchi kutokana na kukatika ovyo kwa umeme lakini hawa TTCL ni wa ovyo na wazembe kupindukia. Maeneo ya Oysterbay takriban mita miatatu hivi kutoka ofisini kwao kuna nguzo ya simu ilianguka yapata siku kumi hivi zimepita. Hii nguzo imeangukia kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…