harusi

  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 DC Kanoni: Marufuku sherehe za harusi na makongamano hadi baada ya uchaguzi

    Mkuu wa wilaya ya Wanging'ombe mh Kanoni amepiga marufuku sherehe zote zilizopangwa kufanyika wilayani kwake tarehe 26 na Oktoba kupisha Uchaguzi Mkuu. Mh Kanoni ametaja sherehe hizo kuwa ni pamoja na harusi na makongamano ili watu wajiandae na matayarisho ya kupiga kura siku ya Jumatano, 28...
  2. JamiiForums Tanzania Mbeba maono amevuna mioyo yetu, kila itikadi.

  3. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli harusi ni mtaji?

    Niliwah kushiriki kwenye kamati ya harusi ya mtu Wang wa karibu, ilikua ni Mara ya kwanza kwangu kushiriki ktk kamati ya maandalizi ya harusi nilijifunza Mambo mengi lakin kitu kilichoniacha mdomo wazi ni gharama ya harusi kwa Zama hizi, budget ya harusi ilikua km hivi: *Mapambo mil 1 *Picha...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Naomba rafu bajeti ya vinywaji kwenye send off au harusi na hasa vinywaji

    Naombeni wale wenye uzoefu wanisaidie kwa watu 300. je kila mtu anaweza kunywa bia ngapi? soda ngapi? juice ngapi zinatosha? maji mangapi? champain ngapi? n.k. nikipata kujua kuhusu vinywaji ingependeza zaidi. naomba mnisaidie.
  5. JamiiForums Tanzania Je, harusi ya Adam na Hawa ilifanyikia wapi, nani aliwafungisha ndoa?

    Je, walifungia ndoa kanisani au msikitini?
  6. JamiiForums Tanzania Mantiki ya kuvishwa Pete ya harusi kidole cha pili toka cha mwisho

    Napenda kupewa Elimu ilikuwaje wakachagua kidole cha kuvishwa Pete ya harusi na siyo vingine, pia kwa asiye na vidole labda kwa ajali au ugonjwa huwaje?
  7. JamiiForums Tanzania Biashara ya video production katika Harusi, Kitchen party, Send-off nk

    Naomba kuuliza wanaofanya/waliowahi kufanya hii biashara Camera gani nzuri kufanyia video na photo shooting? Camera ziwe ngapi katika usiku wa shughuli kwa ufanisi zaidi? Wanaepukaje changamoto ya kuishiwa battery charge? Kwa tanzania hususan Mbeya, huwa wanalipwa kiasi gani kwa hii shughuli...
  8. JamiiForums Tanzania Harusi harusini

  9. JamiiForums Tanzania KAHAMA: Waliochangia harusi wapigwa changa la macho, wamekutwa ukumbi umepambwa ila wanaharusi hawakufika

    Ama Kweli! Ukistaajabu ya Musa uyataona ya Firauni. Katika hali isiyotarajiwa wageni waalikuwa zaidi ya 150 katika Sherehe ya harusi ya Ephrahim Jonasi na Bisunga Nyabusani ambaye ni mtumishi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Kahama (KUWASA) wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamepigwa...
  10. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuombea zawadi za harusi kabla ya kuzifungua

    Ni jamboo moja unaweza hisi la kawaida lakini limetesa ndoa nyingi sana sana mno bila wao kuzijua. Wapo walioshtukia lakini walishapigwa sana hata amani hakuna tena ndoa src yale mabox mliokimbilia kufungua Zawadi za harusi n jambo jema lakini kuziombea kabla ya kufungua ni bora zaidi. Watu...
  11. JamiiForums Tanzania Tunatengeneza kadi za harusi, keki za sherehe na upambaji katika kumbi mbalimbali

    Habari Karibuni wateja kwa huduma za Upambaji kwenye sherehe mbalimbali, pia tunatengeneza keki za sherehe mbalimbali kama ubarikio, harusi, sendoff, nk na vilevile tunatengeneza kadi za harusi, kipaimara, sendoff, kitchen party, bag party, mazishi, kadi za hongera, seasonal cards, Business...
  12. JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua suti ya harusi kwa bei nzuri

    Nahitaji suti ya harusi, bei poa, kali na yenye rangi ya kisasa. Nijuzeni ni rangi gani nzuri na nitapata wapi kwa hapa Dar. Asante.
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya na harusi za mchana

    Naomba kufahamu, why Mnapenda fanya party za harusi mchana?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Na corona hii michango ya harusi ni ya nini sasa?

    Hebu acheni ujinga wa kutuchangisha michango ya harusi wakati hakutakuwa na sherehe yeyote kwa mwaka mzima huu. Kama kuna ulazima wa sherehe basi hamtazidi watu kumi Sasa MC, buffet, DJ, Ukumbi, Mapambo, magari ya kukodi, etc kwa ajili ya nini? Naomba mnipotezee na vikao vyenu vya Whatsapp!
  15. JamiiForums Tanzania Corona wahurumie Ma emsi wa harusi

  16. JamiiForums Tanzania Nani wa kuvunja mnyororo wa michango ya harusi?

    Ninavyoona hii michango ya harusi ni mnyororo wa kutajirisha watu tu kwa kisingizio cha kuwanufaisha/ kusherehesha wanaharusi. Kiukweli, mnyororo huu itabidi ifike wakati uvunjwe (kama sio kizazi hiki basi kijacho) kwani kamwe haupo kwa maslahi ya wanaharusi kama inavyodhaniwa na wengi, zaidi...
  17. JamiiForums Tanzania Dishdasha la harusi

    Nakumbuka siku moja nilikosa nguo ya kuvaa kwa harusi na nilialikwa kitambo na mchango nilitoa, siku yenyewe ya harusi ndio nikakumbuka kua kuna shughuli na muda haukua rafiki...basi nikajivalia dishdasha langu hili hapa na nilikua nikiulizwa na kila mtu umenunua wapi ???? Usiwe miongoni mwa hao...
  18. JamiiForums Tanzania Harusi ya Rais Uhuru na Margaret Kenyatta

    Ilikua mwaka 1991
  19. JamiiForums Tanzania Harusi yangu ilikuwa ya kawaida sana Kitche Party tuliifanya nyumbani

    Kitchen Party tuliifanya nyumbani. Tulipika wenyewe tena nilipika chapati mpaka saa 10 ndiyo nikaenda saloon. Chakula kilikuwa pilau, chapati na mchuzi wa kuku, ndizi nyama na kachumbari. Vyote tulipika nyumbani na binamu walihudumia. Watu walikuwa kama 50 hivi majirani na marafiki...
  20. JamiiForums Tanzania Nimevunja uchumba sababu ya Majina ya Watoto na gharama za harusi

    Nimendika baada ya kuona post kama hii ila ina utofauti kidogo. Kwa upande wangu hii ilinitokea Mwakajana ambapo kuna dem nilimuweka target nikasema huyu anaweza kuwa mke kwa mvuo wake, maana binafsi ninajali sana hisia zangu na ninajua mizigo inayo niwehusha. Basi huyu alikua anakaba engo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…