Je, harusi ya Adam na Hawa ilifanyikia wapi, nani aliwafungisha ndoa?

Je, walifungia ndoa kanisani au msikitini?
Mkuu FRANCIS DA DON, swali lako libafikirisha. Kukujibu, pamoja na michango ya WanaJF, naomba upokee yafuatayo na kuyafanyia kazi.
• Wewe ni muamini wa dini?
√ HAPANA, jiulize mwanzo wa binadamu ni upi?
√ NDIYO, je, wewe ni dini gani?
π Mfuasi wa Kristo, soma Biblia kuhusu uumbaji
π Mwislam, soma Kuran pia kuhusu uumbaji.

• Unajua maana ya ndoa?
√ HAPANA, waulize walio kwenye ndoa.
√ NDIYO: jiulize ulimpataje mke.
 
Ndio, dini ya Darwinism
 
Hiyo kauli iliwahusu Adam na Hawa tu au imeturuhusu watu wote duniani hadi leo hii?
... iliwahusu Adam na kizazi chake hadi pale Mungu alipobadili sheria. Kwani mwanzo palikuwa na Amri Kumi? Zilikuja baadaye kutokana na mahitaji ya wakati vivyo hivyo kwa masuala ya ndoa na mengineyo kama utawala, n.k.
 
Back
Top Bottom